masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,378
- 19,271
Wewe masai dada, the way you treat carbohydrates matters a lot!
cooked starch yoyote ina the same content jamani
hata ambayo haipo cooked ukiitest ni jibu lile lile
ukitest unga wa ngano na unga wa ugali unapata kitu kile kile
FAHAMU KIMOJA TUKINACHOINGIA KATIKA DAMUBYAKO NI NUTRIENTS NA SIO UGALI HUO UNAINGIA MOJA KWA MOJA KWENYE DAMU YAKO
SO ule ugali ule baga ule mkate au ule mihogo ya mama k hapo mtaani
kitakochoingia kwenye damu yako ni the same contents
baaa ya digestion,UPO?
hahahahahahahaa hizi hasira sasaTumia chakula kitokanacho na ngano na utakuwa na akili sawa na wazungu,utalala kitanda kimoja na mbwa,utawabusu mbwa,utaongea na mbwa na utamfanya mbwa ndio kila kitu hakuna mwandani na rafiki kama madog!
Taste matters a lot kwa mlaji wa kawaida. Hayo ya kwenye damu ni wasomi kama wewe. Mimi huku kijijini naangalia utamu mdomoni/taste mdomoni. Watu wengi hawapendi ugali usiokobolwe (dona???-mie ni malji wa ndizi sijui majina hayo). wanatafuta taste ingwa usiokobolewa una virutubisho vingi na biological benefits/medicinal value against cancer katika utumbo. Sema masai
chauvhakara dogo wangu simaanisshi taste ya mdomoni my dear
namaanisha ,(jaribio la kupima ) ni nutrients gani ipo katika a certain food, kwa kutumia reagents
yaani sijui hata niwekeje
namaanisha FOOD TEST na sio FOOD TASTE
ngano na mahindi na mihogo ni sawa katika food test
ila katika food taste najua utakimbilia chapati utaacha kula mihogo ya mama k kama breakfast
Sijakuelewa, labda unieleweshe zaidid. nakubaliana na wewe kuwa chemical ingredients zinaweza kuwa sawa, lakini treatment ya hizo ingredients kabla ya kuzila will much determine the value of your food. -Uko TFNC???
vikorombwezo unavyoviweka ukikaanga baga ndo vinaweka tofauti na mihogo ya mama k kama
nyanya mbichi_typhoid
mayonize_ulcers
vitunguu_unazidi kuongeza sukari mwilini maana VITUNGUU VIBICHI NI REDUCING SUGAR
mafuta_mengi yana cholestrol unazidi jiweka mazungira ya kupata presha
lakini mihogo ya mama k
inachemshwa tu na chumvi kidogo na mara nyingi pilipili yake huwa ni ya kupikwa
chumvi_madini joto mwilini
pilipili_stimulants nzuri sana inaleta ha,u ya kula inastimulate sense za ulimi
wengine husema inaleta hamu ya kula na kufanya ule chakula kingi zaidi
asante, ni kama nilivyosema, msomi kama wewe unayajua hayo. sisi huku kijijini tunajali taste! Nashukur kwa elimu ya mayonize na nyanya mbichi-typhoid. Piza, chips, baga etc ni vipenzi vya watoto wetu, wasemaje mpenzi wangu!
teh teh teh umenikumbusha shuleni, watu wa pwani walikuwa hawatumii ugali sababu usiku walikuwa wanaota ndoto mbaya..
watoto wapi??
watoto wadogo kuwapa frying food ni janga unamtengenezea matatizo
by the way
kuna njia nyingi za kumfanya mtoto wako ale ngano products i mean vyakula ambavyo havina mafuta meeengi
kwa mfano waweza tengeneza chapati zisizo na mafuta ukamtengenezea na mchuzi akala(pale lumumba zipo ) ukitaka kujua nazungumzia nini waweza uliza pia zinavyotenenezwa
pia kuna cookies ambazo mara nyingi sio deep frying Cc farkhina (sina utaalamu sana hapa)
kama watoto unaowazungumzia ni kina miss chagga wacha wale baga tu maana wanajua contents yake na madhara na faida
kuliko watoto wa dogo wa kupewa uji
Nimesoma hapa lakin wengi hawana ufahamu kuwa MA Hindi nayo yalitoka nchi za magharibi,Kwenye karne ya 15,wareno walileta mazao mapya hapa afrika,mazoa hayo ni pamoja na mahindi,mapera,mapapai,pamoja viazi vitamu,Nafaka za mwafrika ni ulezi na mtama,mpunga asiri yake ni bara la Asia,ambao Mpunga nao uliletwa afrika na waarabu kuanzia mwaka 200KK,ngano ilitokea mashariki ya kati kwenye miaka hyo,na kuletwa Afrikaans pia na ilisambaa duniani kote,Hivyo basi wewe mwafrika usifikir kuwa mahindi ni Zao la afrika
Nimesoma hapa lakin wengi hawana ufahamu kuwa MA Hindi nayo yalitoka nchi za magharibi,Kwenye karne ya 15,wareno walileta mazao mapya hapa afrika,mazoa hayo ni pamoja na mahindi,mapera,mapapai,pamoja viazi vitamu,Nafaka za mwafrika ni ulezi na mtama,mpunga asiri yake ni bara la Asia,ambao Mpunga nao uliletwa afrika na waarabu kuanzia mwaka 200KK,ngano ilitokea mashariki ya kati kwenye miaka hyo,na kuletwa Afrikaans pia na ilisambaa duniani kote,Hivyo basi wewe mwafrika usifikir kuwa mahindi ni Zao la afrika