Kanda ya ziwa ipi? Musoma ugali wa mtama nguvu za mwili kuliko akili, mikoa ya kisukuma ugali wa mahindi nguvu za kulima ila siyo darasani, bukoba hawatumii ugali zaidi ni ndizi kama waganda hao ndo tunawaona Kuna maprofesa hivyo ugali ni nguvu za mwili ila unadumaza akili na siyo kwamba mtu asile ugali ale ugali kwa hamu na vyakula vya kuacha ubongo unafanyakazi vizuri vitumike zaidi mfano zile mboga pendwa kama dagaa zinazopendwa kuliwa na ugali zinaweza kuliwa na mkate na kushushia juice au matunda hasa usiku na mambo yakaenda vizuri sana.Majamaa ya mitandaoni yana upuuzi sana, mpaka sasa hivi huko kanda ya ziwa ndipo panapoongoza kuwepo kwa wasomi wengi ikiwa Maprofesa zaidi ya 500 wote hutokea huko hapa TZ.
Sasa kuna mawakala wa shetwani wanashuhudia uwongo hapa kuwa ugali unaduwaza ubongo daaaah...!
Kweli kuishi kwingi duniani ni kushuhudia vituko vingi
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app