Ufuska Vyuoni

Ufuska Vyuoni

Yataka akili kubwa sana ili kuepuka vishawishi vitokeavyo vyuoni ila inahitaji ujasiri mkubwa zaidi kuoa binti alietoka chuoni tena hostel. Inahitajika uwe umekufa akili kumsomesha mchumba.
 
Hata ukifanyaje utakuta una oa aliyesema so cha msingi usifikirie aliwahi kupitiwa na wangapi hapo nyuma.Tena wengine kabla ya kuolewa anakuja kupigwa miti kwa mara ya mwisho...wenyewe wanaiita kuagana.
Ni kweli mkuu! Ila inauma lakini hamna namna ila Mungu naomba anipatie yule mwenye kujielewa na nikimpata atulie kwangu aachane kabisa na waliopita. Kmbuka hata sie (walio wengi) tunakuwa na mahusiano na wengine ila kinachotakiwa ni ustaarabu tu maana kurukaruka na kubadilisha wapenzi sio ishu aisee!
 
Hii habari sio nzuri kwa wale wanaosomesha wachumba zao.
Hahahaha ni kweli inaleta picha mbaya. Ila hakuna namna kwa walio wengi ni wachepukaji japo sio wote. Hapa inabidi ujifariji tu kuwa hafanyi hayo hata kama anafanya ili maisha yendelee vinginevyo stress hazitokwisha.
 
ndo manake..mm nasema sitokaa nimsomeshe binti. Ili nimuoe
Hahaha lakini mkuu hii ishu haiko kwa mabinti tu wengine ni wake za watu kabisa tena ameacha na watoto nyumbani hapa suala tu inatakiwa ajutambue mwenyewe! Japo tunawalaumu mabinti/wanawake tu lakini hata wavulana/wanaume tena walio wengi tabia ni zilezile tu. Mi nilishuhudia jamaa kaacha mke home lakini alidatishwa na kibinti tena nilipokuja kumwona mke wake nikamshangaa sana jamaa nn alidata kwa kibinti hicho maana uzuri wa mke wake hata nusu kale kabinti hakafikii. Dah anajua yeye alichopenda siwezi kusema sana lakini tunatakiwa tujiheshimu pande zote
 
yah...and still nlikua bikra nae anao mnene mrefu size sawa na chupa ya soda..angekuw mwingine asie mstaarbu kasimamisha unamwambia mi bado bkr halaf akiangalie tu hivihivi?? ningeenda kushonwa nyuz mia moja na kes ya aibu nyumban

huu ujana huu!!
Hhehehe we muoga mnoo.....!
Kwanini paka unaenda chuo bado upo silled? Ni kosa kubwa
Ila bado IPO???? Au wajanja washaitoa
 
Kuna chuo flani hapa cha uhasibu wanachuo wake wanajiuza usiku kila mwisho wa wiki ni mikimikiki tu
 
Wengi wanaofanya mambo hayo wengi ni wale ambao hawajazoea maisha ya uhuru..kwahiyo akishaoneshwa viwanja viwili vitatu anashtuka na yule waliekuwa na ahadi anatupwa kwenye Dustin
Daah sasa sijui tufanyeje jamani maana vitumbua vyetu tunapokonywa mkononi.
 
sio wote mm nilitoka chuo bila kumpenda mtu yeyoteee si kwamba maombi hayakuwepo basi sikuona wa maana afu wengiii malaya wanazungukana hilo lilinipa kichefuchef

nakumbuka kuna wakaka walikuwa wanauliza vip mshikaji wako yuko wap ila mpaka namalizavhawakujuaga siri yangu, kila aina ya uchafu iko chuo watu wanakunjana hadi bwenini? afu hawaogi eti wanajipangusa loh

chuoni hakuna cha ma lecture au maprofesor wote ni balaa
HIVOOOOO?
 
Nikweli wapo wema na wema niwachache, maana huwa nivurumechi 2 haikai wala 3 haisimamii watoto ni mimaunotu hawana jipya hafu saa hiyo unaitwa baby na lecture baby.
 
chuo siku ya kwanza tu nlianza kufuatwa...ila wa kwanza kabisa aliniomba twende kwetu kigambonino tukapunge upepo tukaenda but kufika nyumbani kwao sebuleni hali ikaanza kubadilika...he kissed me...french kisssss.......nashangaa ye anavua nguo mwenyeweeee...hali ilipozidi kua mbaya akatoa muhogo wa jangombe... nlichkiona ile siku..nakosa hata la kusema..nashukuru alikua mstaarabu na kuniacha niende zangu..
Daah haya basi,acha tukubali tu,maana tukipinga tutatukanwa tu,muhogo wa jangombe umetoka halafu ukarudishwa korokoroni,halafu mara jamaa kawa mstaarabu heheheeee.
 
Back
Top Bottom