Ufuska Vyuoni

Ufuska Vyuoni

Haahaaaa naingia wa 3 sasa na ufuska huo sina na nmekaa hostel... Life aint the same kwa watu wote.... Kuna watu wake zao ni mama wa nyumbani ila washatembea na wauza mkaa wote wauza maji na wauza genge had wa mtaa wa 7. Na kuna wengeni wapo home na wametulia.... Kuna waume wametembea had na ndugu wa mke.. Na wafanyakaziwenzake na housegal na waumini wenzake... Na wapo wanaume waliopo chuo na wanajua wanachofanya
 
Tuombe tu Mungu.... Nimeumia sana hearing that 99.99% ya chuo gals wanafanya ufuska.... Kwa wanawake ambao hawajapitia chuo ndo malaika?
Tunapewa sifa ambazo aint ours...
only umpate tu mwanaume muelewa na sio hawa wenye akili za kukaririshwa et kila bint aliepitia chuo kafanya umalaya..wapo waelewa
 
Wanawake wa chuo wanachoniudhi wanatoa mimba sana ili waendelee kuchuna wanaume haijalishi hata kama mwanaume ameonesha interest ya kumuoa.

Wahuni sana
 
............................wasaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaalaaaaaaaaaaaaam............
Slogani za Wana Ndani ya miezi pendwa na siku mujarabu yenye tukio bora miongoni mwake la Eid El Hadji..kwa Ndugu zangu waislamu Barakatul La Eid ...

Huwa Kuna Jambo huwa Lanisikitisha na Hata kuniogopesha Sana hasa nikikumbuka Maisha ya chuoni na yale ya ndani ya Hostel zake. Vyouni Kuna ufuska sana tena umekithiri kwa kiwango cha Zege, metal zinafanya Wala haziogopi na hata kukumbuka kabisa kuwa yuko mahali gani na anafanya nini, Vyuoni ni sehemu ambayo kama ulikuja na Couple yako ni ngumu kudumu nayo Maybe uipige Chupi ya chuma na Hata kama ulikuwa na Demu wako ama Hata mchumba au mkeo ni Dhahili shaili utamkosa na kama utakuwa nawe basi juu kabisa jamaa washapiga sana mitindo huru, tena kavukavu na kwa uhuru.

Vyuoni ni sehemu mabinti wanajiuza mchana bila woga, hasa hivi vibinti vya dip na Certificate vinaburuzwa sana ,sometime mpaaka inakuwa too much, vyouni waweza akaja bint na mchizi room mwishowe huyo bint akaburuzwa na Roommates wote mpaka.

vyuoni ni sehemu ambayo binti anakuja na upako anaondoka na ukurutu mwili mzima, uliojaan kila aina ya makorombwezo,
Laiti wazazi wao wangekuwa wanajua wanayoyafanya watoto zao vyuoni daah sidhani kama wangewaruhusu..

my take: kama kijana mwenzangu una mchumba ambaye anategemea kwenda chuoni andaa kabisa backup maana huyo sio wako otherwise wote muwe pamoja muda mrefu. na kama una mke unategemea akapige chuo kama inawezekana mvungie tuu maisha ndo haya haya hakuna kuyaogopa.
Iv ukiambia ulete evidnce ya uhakika na picha utaweza? Useme chuo gani hall gan wanapojiuza hao wana dip na certificate....
Na hao wanunuzi uandike takwim zao na kama ni wazee...vijana...wanachuo au wafanyakazi... Na hao wanunuzi ni wakike au wakiume... Maana some issues tunaongea tu bila takwim halisi
 
Wanawake wa chuo wanachoniudhi wanatoa mimba sana ili waendelee kuchuna wanaume haijalishi hata kama mwanaume ameonesha interest ya kumuoa.

Wahuni sana
Mi cjawah toa ata moja na nko chuo..... Na tunaoonaga kwenye mitaro uswaz watoto wametupwa ni wewe umetoa?
 
Yan mi cjaridhika kwa kweli... Maana ndo nmerud tu hom af nakutana na uzi kama huu... Ngoja nkaoge npumzike nije nimtolee uvivu mleta uzi
 
ndo mambo ya kwenu hayo.umalayaa tu.sio kila mwanamke ni kama dada zako na sio kila mwanaume ni kama wewe..eid njema mwaya!
Namimi umenitukana??? Au ni kiranja tuu



Mmmmmmmmh
 
sio wote mm nilitoka chuo bila kumpenda mtu yeyoteee si kwamba maombi hayakuwepo basi sikuona wa maana afu wengiii malaya wanazungukana hilo lilinipa kichefuchef

nakumbuka kuna wakaka walikuwa wanauliza vip mshikaji wako yuko wap ila mpaka namalizavhawakujuaga siri yangu, kila aina ya uchafu iko chuo watu wanakunjana hadi bwenini? afu hawaogi eti wanajipangusa loh

chuoni hakuna cha ma lecture au maprofesor wote ni balaa
Mi nakumbuka kuna madem wanapgwa sana nawakufunzi tena ole wenu demu apendwe namkufunzi alaf azingue mtasapu darasa zima au we boyfriend wake
 
Iv ukiambia ulete evidnce ya uhakika na picha utaweza? Useme chuo gani hall gan wanapojiuza hao wana dip na certificate....
Na hao wanunuzi uandike takwim zao na kama ni wazee...vijana...wanachuo au wafanyakazi... Na hao wanunuzi ni wakike au wakiume... Maana some issues tunaongea tu bila takwim halisi
Haaah Queen, mumie ngoja nikueleze kitu kama kweli wewe ni miongoni mwa wachache walobahatika kwenda shule na kufika chuo , basi umejionea , wanaofanya ufuska huu, level zote za kuanzia cert mpaka degree, nimekaaa miaka minne chuoni nimejionea, na hata kushuhudia ...so kama wewe haujaviona hivi naimani utakuwa , kipofu.
 
hali ni mbaya nimejionea mwenyewe pale mbeya chuo cha uhasibu tia kinazungukwa na viwanja vya starehe city pub mbeya carnival na green lounge 60% ya changudoa wanaojiuza kwenye zile club ni wanachuo achana na ile vibe new maisha club ambayo iko pale mzumbe geitini ni hatari tupu nahisi iko siku tutapata kiongozi mkubwa serikalini ambaye amewahi fanya uchangudoa
 
Back
Top Bottom