Ufuska Vyuoni

Ufuska Vyuoni

kuna dada mmoja alikua kisu kwel kipind tuko chuo alikua kaolewa katika kipind cha miaka mitatu tuliokaa pale yule dada alipata ujauzto mara mbili na akajifungua zote.
 
Kiasi flani kuna ukweli ila huwezi kusema ni wote. Ni kweli asilimia kubwa wameharibika ila wapo pia wanaojiheshimu.

Moja kati ya kitu chakustaajabisha nlichokiona ni kitendo cha watu kulana kirahisi rahisi.... dah yani friendly game za hapa na pale.

Mambo ya kutembeleana hostles...sio kabisaaa. Mambo ya kupiga watu exile balaa tupu...
 
Ha ha akati naishi mtwara kuna TIA, UTUMISHI, COTC,SAUT ha ha Vijana wanashindananatu. Yaani watoto hawakatai na wengine wametoka maisha magumu yaani wakiona hela ha ha habari ndo kwisha
 
mkuu sijasema wote ila kati ya 100 basi 15-20 tu ndo wanaweza kuwa wako na misimamo imara.
 
Ha ha akati naishi mtwara kuna TIA, UTUMISHI, COTC,SAUT ha ha Vijana wanashindananatu. Yaani watoto hawakatai na wengine wametoka maisha magumu yaani wakiona hela ha ha habari ndo kwisha
True Wanawake wavyuoni wako easy going sana, tena sana, wagogwa na kukamuliwa hata kwa pipi, vyuoni kumechafuka sana...Nashukuru Mungu niliondoka salama bila kuingia kwenye mitego ile ya kifedhuri juu ya uchafu ule.
 
my take: kama kijana mwenzangu una mchumba ambaye anategemea kwenda chuoni andaa kabisa backup maana huyo sio wako otherwise wote muwe pamoja muda mrefu.

Kwa hiyo ukiandaa hiyo backup bda ya yy kwenda chuo thn anamaliza chuo bila ya kufanya vitu ambavo ww ulikuwa anawaza kama anawaza kuvifanya Je utafanyaje kama backup yako uliyoiweka imekushika masikio sana??????
 
True Wanawake wavyuoni wako easy going sana, tena sana, wagogwa na kukamuliwa hata kwa pipi, vyuoni kumechafuka sana...Nashukuru Mungu niliondoka salama bila kuingia kwenye mitego ile ya kifedhuri juu ya uchafu ule.
Ha ha ata ukitaka kuoa lazima wote wawili muwe committed sana na muombe mungu sana shetani asiingilie.lasivo unaweza ishia kujinyonga
 
Chuoni nilijikuta natembea na sister,,, Frida, ,Mungu anisamehe maana ndo ilikuwa njia sahihi mda huo,, Kuna siku nitakuja tena huko ,tutubu kwa mungu,,,ila we ndo chanzo,,kuanza kuvua Room kwako et ukaoge,,,wakati umeniita nikwaandikie CV yako ya kizungu,,nikala tunda,, na Pesa ukanipa,,
 
Ufuska siyo chuoni ni mahali popote wakutanapo watu wenye vikojoleo tofauti lazima ufuska uwepo tena wa hali ya juu.

Sema chuoni kinachosababisha ufuska unakuwa mkubwa ni maisha magumu kwa baadhi ya wale watoto wanaotoka familia za hali ya chini sana hawa huwa wanaliwa sana ingawa siyo wote.

Wenye tamaa nao pia huwa wanapewa wanacho-deserve pamoja na wale wanaotaka kuja kupata scandal za kuelezea uzeeni kuwa walikuwa watu wabaya sana kipindi wakiwa sehemu fulani.
 
Its true,hakuna wakubwa wala wadogo,hakuna wake za watu wala waume za watu hali kwenye vyuo ni mbaya sana.Nakumbuka wakati nasoma chuo flani walikuja kama wa mama sita hivi wake za watu,yaani mpaka namaliza chuo kila mama ana kijana pale anatembea naye,mbaya zaidi mmoja wa mume wa wale wamama alikuwa akija kila weekend ili kumpunguzia mkewe uhanga,kumbe akiondoka tu dogo anaendelea na mapenzi,ni hatari sana.
 
Chuoni nilijikuta natembea na sister,,, Frida, ,Mungu anisamehe maana ndo ilikuwa njia sahihi mda huo,, Kuna siku nitakuja tena huko ,tutubu kwa mungu,,,ila we ndo chanzo,,kuanza kuvua Room kwako et ukaoge,,,wakati umeniita nikwaandikie CV yako ya kizungu,,nikala tunda,, na Pesa ukanipa,,
Duh vp sasa uendelezi game ?
 
sio wote mm nilitoka chuo bila kumpenda mtu yeyoteee si kwamba maombi hayakuwepo basi sikuona wa maana afu wengiii malaya wanazungukana hilo lilinipa kichefuchef

nakumbuka kuna wakaka walikuwa wanauliza vip mshikaji wako yuko wap ila mpaka namalizavhawakujuaga siri yangu, kila aina ya uchafu iko chuo watu wanakunjana hadi bwenini? afu hawaogi eti wanajipangusa loh

chuoni hakuna cha ma lecture au maprofesor wote ni balaa
Hongera kama ni kweli
 
af kuna zile kozi zina mademu wachache. Unakuta mademu kumi vidume shazi...sasa hapo ndo balaa,demu mmoja vidume wanne au zaidi
 
Back
Top Bottom