Ufuska Vyuoni

Ufuska Vyuoni

Hao certificate ndo wanaenda kukua
Btw inategemeana na mtu na mtu wengine wanajielewa bhana wameenda kufanya nini, malezi pia yanachangia mtu kubadilika so usiconclude wasichana wote ni malaya vyuon
 
Dah chuo raha sana hasa ukiwa unaishi incampus ikifika usiku watu ni kusimamisha minazi tu n kuna zile couple za kujulikana chuo kizima nilibatika kuwa nayo full drama
 
NILIKUWA NAENDAGA PALE MABIBO HOSTEL NA KAGARI KANGU KWA WASHKAJI ZANGU ACHA NIWANG'OE MADEMU ZAO MAANA WALIKUWA WANAJILETA WENYEWE TENA KWA MBWEMBWE
 
chuo siku ya kwanza tu nlianza kufuatwa...ila wa kwanza kabisa aliniomba twende kwetu kigambonino tukapunge upepo tukaenda but kufika nyumbani kwao sebuleni hali ikaanza kubadilika...he kissed me...french kisssss.......nashangaa ye anavua nguo mwenyeweeee...hali ilipozidi kua mbaya akatoa muhogo wa jangombe... nlichkiona ile siku..nakosa hata la kusema..nashukuru alikua mstaarabu na kuniacha niende zangu..
 
HA HA HA ILA ULILIWA
 
Wakazi wanaoishi pembeni ya maeneo ya vyuo huishia kulea wajukuu wasio na baba. Haswa wale wadada wanaofua nguo za vidume vya chuo. Nibishie!
 
Kiukweli wengi wao huwa na mambo ya ajabu sana na sio wote, wapo ambao wanajitambua sana
 
We ni Malaysia na ao roommates wako mliokutuna ni Malaysia pia bahati nzuri zaidi ukapata vidosho Malaysia hadi ikapelekea kuandika uzi huu.
 
Wanachuo wote tayari ni watu wazima wanajua wanachokifanya na wanao uhuru. Ungewashauri tu wajilinde na ngono zembe.
 
utamaduni wa mgharibi umetuharibia sana asili yetu
 
Mkuu kwa dada ztu wenye akili zao timamu wla si za kushikiwa na wnaopenda kujhoj na kujthamini juu ya kila k3 wnchokfnya pmja na impact zke ktk maisha bnfsi na kwenye majengo yao pmja na kufham nn kafuata chuoni na kikubwa wanaongozwa na hofu ya Mungu hwz akbdlshwa na maisha ya anasa za chuo cz anjheshim na ana anfham nn anatakiwa kufnya akiwa chuoni mm nmewoma weng tumesoma nao university skatai wapo walioenda wkbadlshwa na maisha ya chuo na wkasahau ht nn kiliwapeleka chuo
 
We ni Malaysia na ao roommates wako mliokutuna ni Malaysia pia bahati nzuri zaidi ukapata vidosho Malaysia hadi ikapelekea kuandika uzi huu.
mkuu Mimi ni mmoja kati ya wachache niliovuka vishawish na kushindwana navo, na hata udomo zege ulinisaidia..
 
Yaaani jamaa kwenda chuo kusoma certificate tu ndo jambo hili alilogundua.hivi akisoma na diploma unadhan atagundua nini? Au akisoma degree kabisa? Hapo kasoma certificate ya hotel management ndo kaja na utafiti wake huo😀😀
 
Back
Top Bottom