Ufungaji wa mziki kwenye gari... Nani mkali wao?

Sasa suala hapo unataka mfungaji mzuri wa mziki au fundi anayefunga mziki mzuri,na kama ni swala la kuhitaji mziki mzuri mimi naona hapo ni hela yako ndio ita determine aina gani ya mziki unaoutaka,swala la kufunga mafundi ni wengi sana...
 
Nataka vyote: fundi mzuri + mziki mzuri.
 
Mkuu naomba unifafanulie hapo kwenye betri, kuna kitu nahisi!...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni hivi uhai wa betri yoyote inategemea na jinsi inavyochajiwa namaanisha mzunguko yaani re cicle so kama betri inakuwa na matumizi makubwa ina maana recycle yake inakuwa kubwa kwa maana inachajiwa sana, turudi kwenye betri ya gari ukifunga mziki mkubwa halafu ukawa unatumia betri ndogo mfano N40 na umefunga mziki wenye amplifaya kubwa watts kuanzia 1300rms na kuendelea , spika woofer double za watts 1800 , tweeter pamoja na equalizer kutokana na vitu hivyo kuwa vingi recycle itaongezeka na uhai wa betri utakiwa mdogo sana, betri miezi nane tu inabidi ubadili itakuwa imeshachoka, kwa kuliona hilo wazungu wanafunga kitu kinachoitwa tube, hiki kinacontrol moto kutoka kwenye betri kupeleka kwenye amp.

Sent using Iphone 7s
 
Back
Top Bottom