Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

Niko mbioni kuanza jambo hili, kwa sasa nafukuzia kijipesa flani cha loan toka NMB ili nikalipe Ardhi kisha naanza mchakato. Tusitupane humu ndani, tuwe tunapeana feedback. Asanteni nyote kwa mawazo yenu mazuri na ya kujenga
 
Tutaendelea kufahamishana-
 
Asante sana kwa Elimu nzuri. Mungu akubariki sana.
Je kina kinatakiwa kiwe mita 3?
 
Jamani mimi nipo Lindi nina bwawa heka moja natamani kufuga samaki aina ya kambare , perege na kamba wa maji baridi sasa mtaji sina nahitaji mwekezaji tushirikiane
 
NDUGU ZANGU MUNGU AWABARIKI KWA ELIMU HII. ILA TUNAOMBA CHANGAMOTO ZAKE YAKIWAMO MAGONGWA.
 
Sure naona wengi tumeangalia uwekezaji upande mmoja tuu..

[/QUOTE]
 
Mkuu naomba number yako nipo Arusha nahitaji kuchimba pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…