Ufoo aapa kiapo cha kuficha siri

Ufoo aapa kiapo cha kuficha siri

Yaani acha tu na maelezo yake ayakuendana na ya majirani kabisa, duh naona kaja kushtuka na kujuta kufungua mdomo bila hata kutumia akili ya kufatilia maovu yake kujiweka sawa.

Sasa akiendelea kuongea anaogopa watu watakuwepo wanajua ukweli as atakuwa anasema uongo mtupu.

Hao mabwana zake atawaweka wapi eti hataki mapenzi, huyu mdada anasiri kubwa anaficha na lazima kuna wengine ndani humo kwa mama yake labda walikuwepo wanajua zaidi.

Siri itatoka tu ghost la Mushi litakapoanza kuwaandama.

Hata mie tangu aongee story ingine tofauti na majirani nilifikiria hilo la labda yeye ndie alianza kupiga hizo risasi na wamemuua Mushi.

Ila maisha haya mmmhhh bongo hatari na mapolisi wanasoma hii eti hataongea nchi ingine angshaingizwa ndani kwa uchunguzi big time.

Lazima waweke mfano mzuri haya yasitokee na kuchukulia polisi ni toy.
hebu nijuze kidogo walichosema majirani mkuu
 
Hata kama alikuwa anatumiwa fedha utajuaje kama zilikuwa ni za matunzo ya mtoto na yeye matumizi yake?

Hapo hata kama Mushi ana majeraha mawili ni nani wakuthibitisha kwamba alipigwa hizo risasi? Kwa hali ya ufoo asingeweza kumpiga mumewe na yeye akaweza kuji shoot mgongoni! Unless kama kulikuwa na cleaner kwenye hiyo scene, na ni kitu ambacho ushahidi wake ni utata!

Am less magnet in any direction!

Kwa hiyo Mushi ni mwenda wazimu, atoke alikotoka aamue kuja kuuwa tu, halafu ajipige risasi mbili kujiuwa yeye mwenyewe?

Fedha za matumizi ya kawaida na fedha za kutunza mtoto zinajulikana na fedha za kujengea na au kuanzisha miradi mingine zinajulikana.

Wewe ni wa machame pia?
 
Hivi msongo wa akili si sawa na wazimu?
Si angetumia sheria na mabaraza? Japo umenishangaza leo kumtetea 'mzinzi' huyu alieishi na mwanamke bila kumuoa kwa miaka yote hiyo. Labda bidada ndo alijilipa mahari kwa mali?

Msongo wa akili ndio ulimuwezesha kujiua kwa risasi mbili. Au sio?
 
Hivi msongo wa akili si sawa na wazimu?
Si angetumia sheria na mabaraza? Japo umenishangaza leo kumtetea 'mzinzi' huyu alieishi na mwanamke bila kumuoa kwa miaka yote hiyo. Labda bidada ndo alijilipa mahari kwa mali?
vichaa wanapiga watu risasi?inawezekana jamaa kawaza mpaka kaona sheria itamdhulumu ingawa ni mwenye haki.Nani atapenda ampige risasi mama mkwe na mkewe?
leo Mushi anaonekana mzinzi,kama ni mzinzi huyo mwanamke why alikuwa anakaa na mzinzi?
 
Kwa hiyo Mushi ni mwenda wazimu, atoke alikotoka aamue kuja kuuwa tu, halafu ajipige risasi mbili kujiuwa yeye mwenyewe?

Fedha za matumizi ya kawaida na fedha za kutunza mtoto zinajulikana na fedha za kujengea na au kuanzisha miradi mingine zinajulikana.

Wewe ni wa machame pia?

Ok, fedha za miradi zinajulikana..so Mushi alituma sh.ngap? Na maelezo ya matumizi ya hizo hela yako wap? Nani wa kuthibitisha kuwa Mushi alitapeliwa?

Ufoo nae ana majeraha mawili ya risasi like Mushi sasa sijui hapo utapaongelea vip? Na kama ufoo angekuwa suspects angekuwa chini ya ulinzi manake crime scene ingekuwa wazi kujua risasi ni aina moja au kulikuwa na two shooters? Range ya mlengaji na alielengwa, finger prints n.k

ha ha ha! Me ni mchaga ila si wa machame.
 
Anaogopa kujichanganya.this time anaweza akaongea tofauti na mwanzoni
 
Walimshtua alishaanza kuropoka na akawa anaonge ugoro full kujichanganya!
 
Kama kaamua kutokusema basi akwepe vyombo vya habari!!!!!!

Otherwise ataamsha mapyaa!!!
 
Ok, fedha za miradi zinajulikana..so Mushi alituma sh.ngap? Na maelezo ya matumizi ya hizo hela yako wap? Nani wa kuthibitisha kuwa Mushi alitapeliwa?

Ufoo nae ana majeraha mawili ya risasi like Mushi sasa sijui hapo utapaongelea vip? Na kama ufoo angekuwa suspects angekuwa chini ya ulinzi manake crime scene ingekuwa wazi kujua risasi ni aina moja au kulikuwa na two shooters? Range ya mlengaji na alielengwa, finger prints n.k

ha ha ha! Me ni mchaga ila si wa machame.

Ngoja akina Mushi nao wako kazini, ukweli utadhihiri tu. Huyo Unidentified Flying Object UFO, anachokifanya siri ni nini kama yu mkweli?

Vipi, na wewe ni wa machame?

Swali lako la kwanza kwaninii usimuulize Ufo?
 
Swali la kwanza nimekuuliza wewe sababu unalazimisha kwamba ufoo alimtapeli mushi nyumba! Na wengne wenye mawazo kama yako mtoe majibu yakuthibitisha hizo acussations toward ufoo!

Kwan wewe si mmachame? Wewe ni wa wap? Nadhan nimeshakujibu hilo!

Wewe kila kinachotokea chumbani na mumeo huo unapeleka kwenye press? Kwanin unalazimisha mambo binafsi ya ufoo ayaweke hadharani? Na hata aliyosema ushasema ni uongo so hata akisema utamuamin kwa hiyo attitude uliyomjengea?
 
Stori:Brighton Masalu na Chande Abdallah
SIKU chache baada ya Mtangazaji wa Runinga ya ITV, Ufoo Saro kuruhusiwa hospitalini alipokuwa amelazwa baada ya kudaiwa kupigwa risasi na mzazi mwenzake, marehemu Anther Mushi, ameibuka na kula kiapo cha siri.

Ufoo ambaye alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, katika tukio la yeye kupigwa risasi, alimpoteza mama yake mzazi aitwaye Anastazia Saro aliyedaiwa kuuawa na marehemu Mushi aliyejiua kwa risasi.

Akizungumza na gazeti hili Ufoo alisema, kamwe hawezi kusema kilichokuwa kikiwagombanisha yeye na marehemu Mushi mpaka siku ya mwisho wa uhai wake.

“Siwezi kuzungumzia kabisa chanzo wala ugomvi wetu mimi na marehemu Mushi. Hiyo itakuwa siri yangu,” alisema Ufoo.

Katika mahojiano na gazeti hili, mtangazaji huyo alipoulizwa kuhusu msimamo wake wa uhusiano baada ya kupona kabisa alisema, hawezi kujiingiza tena kwenye mapenzi kwa sasa.

“Sitaki kabisa kusikia juu ya mapenzi, siwezi kuliweka suala hilo akilini tena,” alijibu kwa kifupi kwa sauti ya chini lakini yenye mkazo.

GPL

Huyu dada alivyokomaa,lakini kwenye gazeti wamemtoa ana nyama nyama. Mkatili sana. Alaaniwe milele.
 
Mambo ya shigongo bana eti "Alijibu kwa sauti ya chini lakini yenye mkazo"....kuuza gazeti si kazi ndogo
 
Haya usituambie ukae nalo mwenyewe kama mwenzio lulu si mnaona raha.
 
nilisha sema na narudia kusema huyu bibi,ni muuaji na katili sana.ni moja ya wanawake hatar sana na wakatili sana.

Ufoo,tambua kwamba mi nakuchukia milele,na mzimu wa mushi utakuandama daima na hutafanya jambo la maana maidhani kamwe.!!laana hii utabaki nayo milele na milele wewe ni muuuaji.
kitendo cha kusema kwamba hutasema kilikuwa kikiwagombanisha ni dalili kwamba we ndo mwenye makosa 100%., umempoteza mama na hata wewe huta dumu,damu ya marehem itakusuta kila utembeapo,tamaa ni mbaya na kwa jinsi ulivo katili hauoneshi hata kujuta,wala kuumia kwa kumpoteza mama yako,hii ni dalala kwamba unajua kosa lako ni kubwa.

kwa jinsi ulivo hakuna mwanaume anaweza kujiua kwa ajili yako,ni dhuluma nau katili ndo ulichofanya.

kila mtu anajua kwba chanzo cha magomvi yenu ni nyumba uliokuwa unamdhulumu marehem live we na mama yako(rip).sasa unaapa kutosema nn ??,na kila kitu kiko waz??,hutapata furaha ya moyon kamwe,na kitendo hiki kimedhihirisha uhalisia wa kabila lako

Mkuu nipo upande wako..
 
kama yule askari wa CRDB mapato branch kule Arusha e!

yaani hawa vijana wa siku hizi, kazi kununua bastola harafu kulenga "BULL" wanapata Div FIVE, Mulugo type
 
Hakuna cha siri, mlimzika fedha na mali zake alizokuwa akituma umjengee nyumba wewe ukajijengea mwenyewe na mama'ko. Na ukamsaliti na kutembea na wengine nae akitegemea u wake pekee.

Umemuumiza moyo. Kuna uwezekano mkubwa ni wewe uliyemuuawa na kisha ukajipiga risasi mwenyewe, hawa polisi wanatakiwa wafanye uchunguzi wa kina. Itakuwaje aliyejiua awe na risasi mbili sehemu tofauti?

Mali uliyomzika huto ila kwa raha, itakutesa maisha yako yote.
kwa mara ya kwanza nasoma post yako iliyoenda shule
 
Back
Top Bottom