Kitu nashindwa kuelewa Mushi alijipiga risasi chapu chapu bila kuwa na hakika kama UFO zimempata alizompiga?!!! au ufo lishambuliwa na nani? maana nashindwa kuelewa kwamba Mushi ajipiga mbili bila ya kuwa na hakika kwamba aliyompiga Ufo imefanya kazi.
Huyo dada wamuweke kwenye kiti cha UMEME atasema tu kilichotokea, nchi nyingine zote huyo dada asingekuwa mtaani ili MIKONONI mwa polisi mpaka pale atakapo safishwa na upelelezi. kwanza ni nani alitoa habari kwamba shambulizi lilifanywa na MUSHI? na kwa nini imeaminika kwamba ni Mushi ndiye alifanya shambulizi?
Vipi kuna polisi report ya ili tukio? ni vyema tulio hali tukaipigia upatu hii kesi kama haujawa mchezo wa kila siku, hii habari ya polisi kutofanya kazi kwa makini na kutoa report ndio matokeo yake haya,
Mushi alikutwa na hiyo sihala je hakuna finger print za mtu mwingine kwenye hiyo siraha? kuna maswali yaulizwe majibu yatapatikana tu