Ufoo aapa kiapo cha kuficha siri

Ufoo aapa kiapo cha kuficha siri

Ningeshangaa kama angesema.

Mushi alikosea sana kulenga.
mkuu uwe na huruma , ingawa na mimi kwa mengi yaliyosemwa humu nilijua kwamba tusingeweza pata muendelezo wake. hapa ninaanza kuyaamini yale ya udaku , inaonekana ni hatari sana huyu mama kuliko hata mchawi
 
Hata asiposema inajulikana kwamba dhuluma ni mbaya na imeenda na mama yake mzazi hilo hatalifuta mpaka afe na anajua hata kama hataki anajua DHULUMA NI MBAYA NA ATAKUA BALOZI MZURI SANA KWA WENGINE KWAMBA JAMA DHULUMA HARAM!!
 
Hakuna cha siri, mlimzika fedha na mali zake alizokuwa akituma umjengee nyumba wewe ukajijengea mwenyewe na mama'ko. Na ukamsaliti na kutembea na wengine nae akitegemea u wake pekee.

Umemuumiza moyo. Kuna uwezekano mkubwa ni wewe uliyemuuawa na kisha ukajipiga risasi mwenyewe, hawa polisi wanatakiwa wafanye uchunguzi wa kina. Itakuwaje aliyejiua awe na risasi mbili sehemu tofauti?

Mali uliyomzika huto ila kwa raha, itakutesa maisha yako yote.
 
Yaani acha tu na maelezo yake ayakuendana na ya majirani kabisa, duh naona kaja kushtuka na kujuta kufungua mdomo bila hata kutumia akili ya kufatilia maovu yake kujiweka sawa.

Sasa akiendelea kuongea anaogopa watu watakuwepo wanajua ukweli as atakuwa anasema uongo mtupu.

Hao mabwana zake atawaweka wapi eti hataki mapenzi, huyu mdada anasiri kubwa anaficha na lazima kuna wengine ndani humo kwa mama yake labda walikuwepo wanajua zaidi.

Siri itatoka tu ghost la Mushi litakapoanza kuwaandama.

Hata mie tangu aongee story ingine tofauti na majirani nilifikiria hilo la labda yeye ndie alianza kupiga hizo risasi na wamemuua Mushi.

Ila maisha haya mmmhhh bongo hatari na mapolisi wanasoma hii eti hataongea nchi ingine angshaingizwa ndani kwa uchunguzi big time.

Lazima waweke mfano mzuri haya yasitokee na kuchukulia polisi ni toy.
 
Hii ndo Tanzania marehemu hana haki....
 
Mambo mengine ni kujipa tu moyo..lakini moyo wake unajua ukweli..
 
Hapa kuna utata! Iwe yeye ndo alie mshoot mzazi mwenzie au mwenzie ndie alie mshoot hakuna wa kutoa ushaidi. Yeye mwenyewe ndio anaejua ukweli manae key suspects wote wako 6 feet down! Hata akisema hakuna wa kubalance story hata majiran hawawez kuchukuliwa na uzito sana manake hawakuwa ndani wakati wakizozana! Walisikia milio ya risasi na hawakuona aliekua anafyatua hizo risasi.

Pia hakuna mwenye ushahidi wa moja kwa moja kwamba alikuwa anatumiwa fedha za kujenga! Nani aliona hizo fedha?zilikuwa sh.ngap? Na zilitumwa kwa njia gan? Makubaliano ya yeye kumjengea mumewe nyumba yako wap? Na hiyo nyumba ingejengwa wap?

Hata akiongea nani wa kubalance na kusema yuko sawa au anaongopa? Ts a f..ng mumbo jambo!
 
Hichi kidemu bana..ngoja nisije pewa ban bure
 
nilisha sema na narudia kusema huyu bibi,ni muuaji na katili sana.ni moja ya wanawake hatar sana na wakatili sana.

Ufoo,tambua kwamba mi nakuchukia milele,na mzimu wa mushi utakuandama daima na hutafanya jambo la maana maidhani kamwe.!!laana hii utabaki nayo milele na milele wewe ni muuuaji.
kitendo cha kusema kwamba hutasema kilikuwa kikiwagombanisha ni dalili kwamba we ndo mwenye makosa 100%., umempoteza mama na hata wewe huta dumu,damu ya marehem itakusuta kila utembeapo,tamaa ni mbaya na kwa jinsi ulivo katili hauoneshi hata kujuta,wala kuumia kwa kumpoteza mama yako,hii ni dalala kwamba unajua kosa lako ni kubwa.

kwa jinsi ulivo hakuna mwanaume anaweza kujiua kwa ajili yako,ni dhuluma nau katili ndo ulichofanya.

kila mtu anajua kwba chanzo cha magomvi yenu ni nyumba uliokuwa unamdhulumu marehem live we na mama yako(rip).sasa unaapa kutosema nn ??,na kila kitu kiko waz??,hutapata furaha ya moyon kamwe,na kitendo hiki kimedhihirisha uhalisia wa kabila lako
 
Hapa kuna utata! Iwe yeye ndo alie mshoot mzazi mwenzie au mwenzie ndie alie mshoot hakuna wa kutoa ushaidi. Yeye mwenyewe ndio anaejua ukweli manae key suspects wote wako 6 feet down! Hata akisema hakuna wa kubalance story hata majiran hawawez kuchukuliwa na uzito sana manake hawakuwa ndani wakati wakizozana! Walisikia milio ya risasi na hawakuona aliekua anafyatua hizo risasi.

Pia hakuna mwenye ushahidi wa moja kwa moja kwamba alikuwa anatumiwa fedha za kujenga! Nani aliona hizo fedha?zilikuwa sh.ngap? Na zilitumwa kwa njia gan? Makubaliano ya yeye kumjengea mumewe nyumba yako wap? Na hiyo nyumba ingejengwa wap?

Hata akiongea nani wa kubalance na kusema yuko sawa au anaongopa? Ts a f..ng mumbo jambo!

Ushahidi wa kutumiwa fedha ni rahisi sana kuupata ukitakikana.

Uliona au ulisoma au kusikia wapi mtu anajiua kwa kujipiga risasi mara mbili sehemu tofauti?
 
Ushahidi wa kutumiwa fedha ni rahisi sana kuupata ukitakikana.

Uliona au ulisoma au kusikia wapi mtu anajiua kwa kujipiga risasi mara mbili sehemu tofauti?

Hata kama alikuwa anatumiwa fedha utajuaje kama zilikuwa ni za matunzo ya mtoto na yeye matumizi yake?

Hapo hata kama Mushi ana majeraha mawili ni nani wakuthibitisha kwamba alipigwa hizo risasi? Kwa hali ya ufoo asingeweza kumpiga mumewe na yeye akaweza kuji shoot mgongoni! Unless kama kulikuwa na cleaner kwenye hiyo scene, na ni kitu ambacho ushahidi wake ni utata!

Am less magnet in any direction!
 
Stori:Brighton Masalu na Chande Abdallah
SIKU chache baada ya Mtangazaji wa Runinga ya ITV, Ufoo Saro kuruhusiwa hospitalini alipokuwa amelazwa baada ya kudaiwa kupigwa risasi na mzazi mwenzake, marehemu Anther Mushi, ameibuka na kula kiapo cha siri.

Ufoo ambaye alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, katika tukio la yeye kupigwa risasi, alimpoteza mama yake mzazi aitwaye Anastazia Saro aliyedaiwa kuuawa na marehemu Mushi aliyejiua kwa risasi.

Akizungumza na gazeti hili Ufoo alisema, kamwe hawezi kusema kilichokuwa kikiwagombanisha yeye na marehemu Mushi mpaka siku ya mwisho wa uhai wake.

“Siwezi kuzungumzia kabisa chanzo wala ugomvi wetu mimi na marehemu Mushi. Hiyo itakuwa siri yangu,” alisema Ufoo.

Katika mahojiano na gazeti hili, mtangazaji huyo alipoulizwa kuhusu msimamo wake wa uhusiano baada ya kupona kabisa alisema, hawezi kujiingiza tena kwenye mapenzi kwa sasa.

“Sitaki kabisa kusikia juu ya mapenzi, siwezi kuliweka suala hilo akilini tena,” alijibu kwa kifupi kwa sauti ya chini lakini yenye mkazo.

GPL

CHA UMUHIMU ATUELEZE TU,KWA NiNi MAREHEMU ALIKUA NA MAJERAHA MAWILI YA RISASI. MAANA ANAE JIUA HAJINYONGI MARA MBILI WALA KUJIPIGA RISASI MARA MBILI. NANI ALIANZA KUMPIGA MWENZAKE RISASI??????
 
Watu mlikuja na maswali mia kidogo kwa story yake ya kwanza, kaona akitoa part 2 ntakuja na maswali elfu kidogo. Akaamua apoteze upepo upite.
 
Back
Top Bottom