Ufisadi wa kutisha wa Bernard Membe

Ufisadi wa kutisha wa Bernard Membe

Ritz, Mamndenyi, Rejao, ZeMarcopolo, Chris Lukosi, Msalani, Chama, FaizaFoxy, Chabruma, Nape Nnauye, William J.
Malecela, na ukoo wote wa majambazi njooni muone huku. Chama chetu hakuna msafi kabisa!!! Ni sawa na kusema aliye msafi na anyanyue jiwe amrushie mwenzake!!! Kwa mantiki hii no bora Lowassa ambaye angalao ni mchapakazi, ni jembe la chuma malighafi!!!!!! Fisi hawezi kuzaa mbuzi!!! Atazaa fisi mwenzake tu!!!!
 
Ningekuwa kule kwenye Jukwaa la MMU ningeomba weka picha ila kwa vile umeweka picha sina tatizo, wasiwasi ni Ukweli wa hiyo story, Hiyo Kampuni kuwa ya Shemeji yake kuna tatizo? Je mtoa tender alimwambia cha kufanya huyo mkandarasi....Mods Mmeshutumiwa kuwa mmeongwa njooni mjibu tuhuma ..
 
Lowasa ndiyo jembe mkuu. kwanza ni binadamu makini anayejua kutubu dhambi kwa Mungu wake na mchapa kazi haswa sio huyu anayetembea kwenye kivuli cha mwenzake aliyechokwa.
 
Bahati nzuri JF kuna wasomi hivyo sio watu wa kuburuzwa kwa hoja nyepesi nyepesi.

Kama mleta mada ulitaka uungwe mkono kwa hoja yako yenye viraka vya kutosha, labda ungeenda kuiwasilisha Facebook kwa watoto wa Division 5.

Huku JF ukileta hoja ya aina hiyo utakumbana na maswali nondo hali itakayopelekea kujiona kama upo uchi vile.

Haya mleta mada, jibu nondo za NasDaz.
 
Last edited by a moderator:
Ningekuwa kule kwenye Jukwaa la MMU ningeomba weka picha ila kwa vile umeweka picha sina tatizo, wasiwasi ni Ukweli wa hiyo story, Hiyo Kampuni kuwa ya Shemeji yake kuna tatizo? Je mtoa tender alimwambia cha kufanya huyo mkandarasi....Mods Mmeshutumiwa kuwa mmeongwa njooni mjibu tuhuma ..

Jivu na masizi yote yanatokana na mkaa ila hayana sifa moja!!!!!!!!
Mtoa tenda ni serikali mimi na wewe au wewe unaweza kuelekeza hayo yaliyofanyika!!!!??????
 
NIlitarajia ungeshusha lawama kwa Tender Board, Waziri wa Ujenzi pamoja na Waandisi wa mikoa husika. Waziri wa Mambo ya Nje anahusika vipi na tenda za ndani za ujenzi? Tuseme Membe alitumia nafasi yake ili shemeji yake apate upendeleo; ilikuwaje Mheshimiwa Magufuri na bodi yake ya zabuni ikubali jambo hilo? Membe sio Mhandisi na wala wizara yake haihusiki na masuala ya uandisi...so, ilikuwaje wizara husika itoe tenda kwa kampuni isiyohusika licha ya kwamba ina wataalamu ambao wangeweze ku-asses uwezo wa kampuni husika?

Japokua huwa simkubali huyu Mr.Misifa lakini kwa hili naunga mkono hoja zako zote 100&
 
NIlitarajia ungeshusha lawama kwa Tender Board, Waziri wa Ujenzi pamoja na Waandisi wa mikoa husika. Waziri wa Mambo ya Nje anahusika vipi na tenda za ndani za ujenzi? Tuseme Membe alitumia nafasi yake ili shemeji yake apate upendeleo; ilikuwaje Mheshimiwa Magufuri na bodi yake ya zabuni ikubali jambo hilo? Membe sio Mhandisi na wala wizara yake haihusiki na masuala ya uandisi...so, ilikuwaje wizara husika itoe tenda kwa kampuni isiyohusika licha ya kwamba ina wataalamu ambao wangeweze ku-asses uwezo wa kampuni husika?

Mkuu hapo nilipo highlight ndo tatizo kubwa la nchi yetu. We are always looking who to blame. kuanzia kwa viongozi wetu mpaka wananchi wa kawaida. Mi naamini kabisa, we have to deal with these issues heads on. Blaming doesnt help anyone. Naturally, one would say..wa kulaumiwa ni fulani..but again..so what after lawama? Naona ni culture ambayo imejengeka kwa haraka sana..kila mtu anatafuta scapegoat..Tubadilike sasa. Kila mtu awe accountable kwa matendo yake.

Weekend njema,

Masanja
 
Hii tunahesabu kama ni stori ya kijiweni. Kila binadamu ana ndugu,hata wewe muanzisha uzi ukifatilia vizuri utakuta una ndugu vibaka lakini haimaanishi na wewe ni kibaka.
 
Wanajamvi kumekuwa na upotoshaji wa makusudi kwenye siasa za Tanzania kumuhusu ndg Benard Membe, waziri wa mambo ya nje na ambaye anatajwa kwenye mbio za kusaka ukuu wa nchi kuwa ni msafi na asiye na doa.

Ukweli ni kwamba huyu hana tofauti na wenzake huko kwenye chama chao,huyu bwana ameitia nchi hii kwenye hasara kubwa kwa makusudi ama kwa malengo anayoyajua yeye.

Akiitumia kampuni ya ujenzi ya shemeji yake Emmanuel Masanche iitwayo MODSPAN bwana huyu alichukua kandarasi ya ujenzi wa gati katika bandari ya Mbamba Bay huko Ruvuma na Kigoma lakini kilichofanyika ni usanii wa hali ya juu kwani gati la Mbamba Bay halikidhi viwango na liliamriwa kubomolewa na kujengwa upya.

Ajabu ni kwamba hasara hii ni ya serikali kwa sababu MODSPAN imelipwa fedha zote na kandarasi imepewa tena kampuni ya kichina kubomoa gati hilo na kulijenga upya huku MODSPAN ikiachwa kwa amani kabisa na haijachukuliwa hatua zozote kisheria kisa kazi ilikuwa ya bwana mkubwa MEMBE.

Hivi huyu anaitakia mema hii nchi kweli ndg zangu.....shime wananchi CCM ni kama ukoo wa panya hakuna aliye msafi huko tuwaondoe

View attachment 149045View attachment 149045

Pichani ni sehemu ya gati hilo la mbamba bay ambalo linavunjwa ili kujengwa upya.

Yaani kampuni ni ya Shemeji,lakini anayetuhumiwa ni Membe?

Siasa zetu zitakua za kijinga sana kwa staili hii.

Nadhani hapa ni gutter politics ndani ya chama chao tu.Mafisadi wanataka kila mtu aonekane kuwa anafanana nao.
 
Mkuu hii ni tetesi au fact? Acha kumchafua Membe usije ukaingia kwenye list ya watakaopata matatizo akiingia Ikulu.

Kwa hiyo Sirikali imeidhinisha mafungu mara mbili kufanya ujenzi wa gati hiyo hiyo? tena ndani ya muda mfupi?

Maswali ni mengi kwako kuliko majawabu hebu weka full document kabla hatujadeclare huu kuwa umbea
 
NIlitarajia ungeshusha lawama kwa Tender Board, Waziri wa Ujenzi pamoja na Waandisi wa mikoa husika. Waziri wa Mambo ya Nje anahusika vipi na tenda za ndani za ujenzi? Tuseme Membe alitumia nafasi yake ili shemeji yake apate upendeleo; ilikuwaje Mheshimiwa Magufuri na bodi yake ya zabuni ikubali jambo hilo? Membe sio Mhandisi na wala wizara yake haihusiki na masuala ya uandisi...so, ilikuwaje wizara husika itoe tenda kwa kampuni isiyohusika licha ya kwamba ina wataalamu ambao wangeweze ku-asses uwezo wa kampuni husika?

Ukiwa mgeni na Tanzania hoja zako zina mashiko. Lakini kwa sisi wenyeji na nchi hii tunajua fika kuwa alichosema mtoa hoja kinawezekana kabisa (ingawa sina hakika kama kweli kimefanywa na Mh Membe a.k.a Joka la Mdimu)
Tumeshuhudia viongozi wakitumia makampuni ya shemeji zao na kutumia madaraka yao kuvuruga mchakato wa tenda mara nyingi, sio kitu kugeni. Kwa Tanzania Membe na Magufuli wanaweza kupigiana simu tu na tenda ikatolewa na BOQ zikawa zinachakachuliwa kupitisha malipo fasta. Haya mambo yanatokea sana Tanzania, haitakuwa ajabu au mara ya kwanza kama ni kweli Membe amefanya ufisadi huo.
 
Back
Top Bottom