mwene original
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 248
- 48
shemeji yake ndio yeye ?
Ni hayo tuu?
Wanajamvi kumekuwa na upotoshaji wa makusudi kwenye siasa za Tanzania kumuhusu ndg Benard Membe, waziri wa mambo ya nje na ambaye anatajwa kwenye mbio za kusaka ukuu wa nchi kuwa ni msafi na asiye na doa.
Ukweli ni kwamba huyu hana tofauti na wenzake huko kwenye chama chao,huyu bwana ameitia nchi hii kwenye hasara kubwa kwa makusudi ama kwa malengo anayoyajua yeye.
Akiitumia kampuni ya ujenzi ya shemeji yake Emmanuel Masanche iitwayo MODSPAN bwana huyu alichukua kandarasi ya ujenzi wa gati katika bandari ya Mbamba Bay huko Ruvuma na Kigoma lakini kilichofanyika ni usanii wa hali ya juu kwani gati la Mbamba Bay halikidhi viwango na liliamriwa kubomolewa na kujengwa upya.
Ajabu ni kwamba hasara hii ni ya serikali kwa sababu MODSPAN imelipwa fedha zote na kandarasi imepewa tena kampuni ya kichina kubomoa gati hilo na kulijenga upya huku MODSPAN ikiachwa kwa amani kabisa na haijachukuliwa hatua zozote kisheria kisa kazi ilikuwa ya bwana mkubwa MEMBE.
Hivi huyu anaitakia mema hii nchi kweli ndg zangu.....shime wananchi CCM ni kama ukoo wa panya hakuna aliye msafi huko tuwaondoe
View attachment 149045View attachment 149045
Pichani ni sehemu ya gati hilo la mbamba bay ambalo linavunjwa ili kujengwa upya.
NIlitarajia ungeshusha lawama kwa Tender Board, Waziri wa Ujenzi pamoja na Waandisi wa mikoa husika. Waziri wa Mambo ya Nje anahusika vipi na tenda za ndani za ujenzi? Tuseme Membe alitumia nafasi yake ili shemeji yake apate upendeleo; ilikuwaje Mheshimiwa Magufuri na bodi yake ya zabuni ikubali jambo hilo? Membe sio Mhandisi na wala wizara yake haihusiki na masuala ya uandisi...so, ilikuwaje wizara husika itoe tenda kwa kampuni isiyohusika licha ya kwamba ina wataalamu ambao wangeweze ku-asses uwezo wa kampuni husika?
ngoja tu waimbe rewaya sasa hawana chakutafuna na kusaza kama nyie unategemea wafanyeje?nyie nch ni yakwenu na vizaz vyenu wamekula kushba na kuvimbiwa wazee wenu sasa mpo nyie ndomana wenyenjaa mnatukebeh ila jua kazi 2 kubwa za mdomo.1kula 2kuongea wewe upo namba1 ndo mana tnamshangaa ambaye anaimba riwaya badala yakutafuna nch ya vizaz wenu.watunzi wa riwaya wanazidi kuongezeka JF
Nakubalina na wewe lakini inaonekana mtoa mada ni kama huko kwingine nako ni tatizo lakini tatizo ni Membe. Membe inawezekana kabisa akaomba upendeleo lakini hakuwa na final say. Sasa hapa ndipo tunapotakiwa kufahamu kwamba je, hao wenye final say wali-offer hiyo deal kwa sababu tu Membe ni Waziri au taratibu zilizingatiwa! Suala hili muhimu limeachwa na mleta mada.Ukiwa mgeni na Tanzania hoja zako zina mashiko. Lakini kwa sisi wenyeji na nchi hii tunajua fika kuwa alichosema mtoa hoja kinawezekana kabisa (ingawa sina hakika kama kweli kimefanywa na Mh Membe a.k.a Joka la Mdimu)
Tumeshuhudia viongozi wakitumia makampuni ya shemeji zao na kutumia madaraka yao kuvuruga mchakato wa tenda mara nyingi, sio kitu kugeni. Kwa Tanzania Membe na Magufuli wanaweza kupigiana simu tu na tenda ikatolewa na BOQ zikawa zinachakachuliwa kupitisha malipo fasta. Haya mambo yanatokea sana Tanzania, haitakuwa ajabu au mara ya kwanza kama ni kweli Membe amefanya ufisadi huo.
i am 17, now, assuming your interest wasn't my age, then your point is !?whoops!!! una umri gani dogo? you must be underage...!!!!
mkuu ungetumia ufahamu huu kuzalisha wala tusingekua hapa kulaumianangoja tu waimbe rewaya sasa hawana chakutafuna na kusaza kama nyie unategemea wafanyeje?nyie nch ni yakwenu na vizaz vyenu wamekula kushba na kuvimbiwa wazee wenu sasa mpo nyie ndomana wenyenjaa mnatukebeh ila jua kazi 2 kubwa za mdomo.1kula 2kuongea wewe upo namba1 ndo mana tnamshangaa ambaye anaimba riwaya badala yakutafuna nch ya vizaz wenu.
Basi kama ni kweli wasimguse Lowassa kabisa, nitazaa na mtu atakayemsema Lowassa vibaya bila kutaja hao wengine kama hili jmbazi jipya Membe. Tumeaminishwa Lowassa ni Fisadi namba moja kumbe Membe naye yumo? ndiyo maana naongea akibana puaWanajamvi kumekuwa na upotoshaji wa makusudi kwenye siasa za Tanzania kumuhusu ndg Benard Membe, waziri wa mambo ya nje na ambaye anatajwa kwenye mbio za kusaka ukuu wa nchi kuwa ni msafi na asiye na doa.
Ukweli ni kwamba huyu hana tofauti na wenzake huko kwenye chama chao,huyu bwana ameitia nchi hii kwenye hasara kubwa kwa makusudi ama kwa malengo anayoyajua yeye.
Akiitumia kampuni ya ujenzi ya shemeji yake Emmanuel Masanche iitwayo MODSPAN bwana huyu alichukua kandarasi ya ujenzi wa gati katika bandari ya Mbamba Bay huko Ruvuma na Kigoma lakini kilichofanyika ni usanii wa hali ya juu kwani gati la Mbamba Bay halikidhi viwango na liliamriwa kubomolewa na kujengwa upya.
Ajabu ni kwamba hasara hii ni ya serikali kwa sababu MODSPAN imelipwa fedha zote na kandarasi imepewa tena kampuni ya kichina kubomoa gati hilo na kulijenga upya huku MODSPAN ikiachwa kwa amani kabisa na haijachukuliwa hatua zozote kisheria kisa kazi ilikuwa ya bwana mkubwa MEMBE.
Hivi huyu anaitakia mema hii nchi kweli ndg zangu.....shime wananchi CCM ni kama ukoo wa panya hakuna aliye msafi huko tuwaondoe
View attachment 149045View attachment 149045
Pichani ni sehemu ya gati hilo la mbamba bay ambalo linavunjwa ili kujengwa upya.
i am 17, now, assuming your interest wasn't my age, then your point is !?