Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 3,833
- 2,790
Baada ya kuona serikali inafuatilia mali za mafisadi ili kuzibinafsisha naomba niikumbushe serikali hiyo kwamba isisahau kubinafsisha yale majengo yaliyokuwa yanamilikiwa na Kampuni ya Sigara pale Segerea (Barakuda) Maana huyu fisadi aliyanunua kwa Tsh 4 billioni fedha za wananchi yageuzwe shule watoto waweze kusoma. Eneo linazo facilitities mbali mbali kuanzia shule nzuri ya watoto wadogo (Chekechea0 Uwanja mzuri wa mpira na kadhalika.
Na kisha baadaye Lukaza mwenyewe apelekwe rumande maalumu kule kisiwa cha mafia...... au kwenye visiwa vya ukara kule ziwa victoria.
Na kisha baadaye Lukaza mwenyewe apelekwe rumande maalumu kule kisiwa cha mafia...... au kwenye visiwa vya ukara kule ziwa victoria.
dada Mwafrika,
jamani umenikumbusha mbali kweli,kule kwa bibi,yaani despite miaka yote ya kukaa US hujasahau ramani ya nyumbani!!!
I salute you bro.,well informed almost on each and every fisadi na ufosadi wao.Mkuu ubarikiwe sana.Yaani sio siri kila siku I get to know the real tanzania.
Unajua marekani walinunua Guantanamo miaka mingi sana kabla hawajaanza kupeleka magaidi huko. Inabidi sasa wapenda maendeleo Tanzania tutafute kisiwa ambacho in the future tutakitumia kuwafungia mafisadi kina Mgonja, Mramba, Yona, Mkapa, mwizi na mkoloni mwenye uraia wa Utata - Rostam na mzee visenti -Chenge.
Visiwa kama hivi ni muhimu sana ibambasi kwa shughuli kama hizi.
Leo nimeona mabasi mapya yanayowabeba wafungwa.....nikakuta jamaa wanaambiana kuwa hayo mabasi yamenunuliwa na magereza kwa ajili ya kubeba mafisadi!
...... si tuna kakisiwa kanakofaa tu.... tena very efficient logistically, kapo off ufukweni mwa msasani ... BONGOYO, that's what i'm talkin' bout!!
..... mimi naona wa strategize na kukatumia kwa lengo kama hilo... yaani hata mfungwa akipata malaria kali ni rahisi tu kutuma ka ngalawa na kumpakia hadi pale Salendar bridge, kisha wana pata high speed boat itakayo weza kwenda against tide ya mto Msimbazi na kumpeleka mfungwa huyo aliye mahututi nyuma ya SerwaHaji (sorry..sikumbuki wodi hii inaitwa nini pale Muhimbili)... kwani watakuwa wamejenga docking bays...
He's nobody in politics or national leadership only a petty criminal. Alitumiwa na mke wa marehemu Balali kuunda ka-kampuni walikotumia kuchua pesa ya EPA.
Familia yao wana uzoefu na haka kautamaduni ka ufisadi; kaka yake aitwaye Makubo aliwahi kuchukua pesa za OGL na DCP miaka ya '80s kwa mtindo huu, wakazitafuna hadi zikaisha na wakapigika kisawasawa hadi kuamua kuwa wakawa walokole familia nzima. Tangia wapate dili la EPA hawajaonekana tena kanisani.
Bwana mdogo sasa hivi yumo kwenye matatizo makubwa sana na serikali, hasa baada ya kuleta gari lake bongo la Range Rover kwenye ndege ya BA, akajiingiza kwenye msafara wa rais kwenda US na kukata tiketi ya First Class, ili aweze kupata fursa ya kuongea na rais kule, lakini kumbe alikuwa anazidi kujiponza,
Mmoja wa dada za huyu mkulu ni mke wa mshikaji wangu wa karibu sana, na wamenufaika sana na ufisadi wa mkulu, lakini sasa mambo sio mazuri kabisa, maana mkulu sasa is going down the hill kwa kukaliwa kooni na uwt!