Ufisadi wa Blandina Nyoni huu hapa!

Kwenye hili la linalohusu mashine ya haemodialysis binafsi sitawasamahe Linda na Blandina mpaka naenda kaburi, haiwezekani hospitali kama Muhimbili ikakosa huduma ya dialysis wakati dialysis machine kwa miaka miaka mingi tuu ila hujuma za wajanja wachache wanaojulikana vizuri tuu, kwa uzembe huo watanzania wengi tuu wanapoteza maisha hapo Muhimbili kwa kukosa huduma ya dialysis wakati mashine ipo ila ina miss some parts & reagents ambazo huwa zinaagizwa kwa gharama ya wizara ya afya kila mara, mbaya zaidi hazifiki Muhimbili badala yake zinafikia msasani kwenye hospitali ya Dr. Linda.

Nchi hii sijui ina imelaaniwa polisi wapo, usalama wa taifa wapo ( ?sijui kwa faida ya nani), serikari (hata kama ni lege lege) ipo, takukuru wapo, mahakama zipo, jeshi lipo, .. lakini sijui ni kwa nini mijizi kama Linda na Blandina inaendelea kuwaibia watanzania hasa wale wasio na uwezo.

Ipo siku tutajichukulia hatua mkononi
Sasa nimejua, ndo maana wanashadadia utaratibu mpya wa Hospitali binafsi kupokea ruzuku ya serikali. Kwa hili tunaomba utaratibu wake uwe wazi na usilete mgogoro wa kimaslahi. Ah Blandina weeeeeeeeeee, blandina uumetuua mtoto wa watuuuuuu. Utamwambia nini mola wako!
 
Samahani wakuu,
Hivi huyo Nyoni ni baba yake au mumewe?
Napata shida kidogo maana hizo tabia alizonazo, sisi akina Mapunda na Mang'ombe hatuna tabia kama zake....

wenzio wanaongelea ufisadi we unataka kuchimba chimba mambo yake ya ndoa! nani kakwambia wanawake wa mtindo huu huwa wanakaa na waume zao?
 
Jamani hivi watoto wa huyu mama nyoni wana tabia gani, maana napata shida ku-figure out tabia za watoto hasa ukizingatia kuwa ule usemi wa like--father like son na like mother-like daughter wakati mwingine huwa una mashiko!
 
Kumbe mwanamke akiwezeshwa naye hajambo. Anaweza kuiba na kujiwekea kinga kila kona. Naanza kukubali kuwa arusi ya kijana wake iligarimu us dollars 100,000/= kama ilivyoibuliwa na mtandao huu huru. Kwake hiyo ni hela ya nyanya tu​
 
Mtoa mada amesubiri mpaka limejitokeza hilo ndiyo ajifanye kutoboa siri ya ufisadi huu hewa. Nadhani ni vizuri pia atueleze jinsi mama huyu alivyomkatalia ngono fisadi mmoja aliyechochea mgomo huu na sasa anatumia fursa hii kumlipizia kisasi.

Kwa hiyo unataka kutudhibitishia kwamba Blandina Nyoni ni mtoa uchi kwa sana au? Alafu mbona na Nyoni nae amesubiri hadi Intern Doctors wamedai maslahi yao ndo akaanza habari za uhamisho Mikoani!

 
14. Amekuwa akihama hama na dereva wake toka Hazina alipokuwa Muhasibu Mkuu wa serikali hadi Wizara ya Maliasili na Utalii kama Katibu Mkuu. Pia amehama na dereva huyo huyo kutoka Maliasili hadi Wizara ya Afya kinyume na taratibu na kanuni za Utumishi wa umma ambazo haziruhusu kiongozi au mtendaji yeyote wa serikali kuhama na dereva au / na secretary



ni mshirikina nini??!!!!!
 
Mkuu mtoa mada unanikumbusha wimbo wa twanga pepeta usema " majungu si mtaji ............"
 
ni mshirikina nini??!!!!!

Ni mshirikina sana huyo bibi.
Anamtumiaga mganga mmoja wa bagamoyo anaitwa 'MAARIFA'.
Kutokana na huo ukaribu, Nyoni alimsaidia mtoto mmoja wa maarifa anayeitwa Harum Maarifa kupata tenda ya Promotion ya mambo ya dawa mseto yenye thamani ya zaidi ya TZS 3 Billioni. Hiyo kampuni inaitwa Health Focus Network Africa... Ni kampuni ya kikanjanja...
 
huyu mwanamke ana mume au mumewe ndo huyo infomer no 1? ina maana mumewe pia hapo anasaidiwa kuinform
 
Mkuu mtoa mada unanikumbusha wimbo wa twanga pepeta usema " Majungu si Mtaji."

Mkuu haya yote tuliyoyataja hakuna Jungu hata moja. Kama unataka kumtetea huyu Mama ulipaswa utengue hoja moja baada ya nyingine tena kwa hoja si kutoa hoja ya Jumla jumla tu kwamba Majungu ni Mtaji. Lakini sishangai maana hata pale Wizarani wale Informers wake wote hawana raha kwa sasa hivi na wanadai Mama ameonewa. Wanasema hivi kwa sababu Mkono unaowalisha umekatwa.
 
Hizi ni shutuma nzito.h zinahitaji kufanyiwa kazi. kama ni za kweli , basi tuna hali mbaya. hayo ni ya blandina, inawezakana kukawa na mablandina 1000 . Eeh mungu inusuru tanzania.

" human are political animals"
 
Mzee Funga namfahamu ni mtu wa misimamo big up!
Huyu mama sijafanya nae kazi ila kama ni kweli nadhani iyo ndo itakuwa reflection ya wizara zingine pia.
Usikute robo ya Bajeti ya nchi inapigwa na wajanja
 
TUMBIRI

Nyingine
1. ametengua uteuzi wa mkurugenzi msaidizi DR. MTIMBA na badla yek kumpatia rafiki yake
2. ametengua uteuzi wa muuguzi mkuu wa serikali na kumpatia cheo hicho ndugu yake
3. ametengeneza bustani ya wizar kwa karibu milioni 20
4.amewapa vyeo ndugu zake wizara ya afya
5. ametengua uteuzi wa Dr. Sawa ambaye angeenda india kuwapokea wagonjwa na kuteua classmate na ndugu yake
6.ametengua uteuzi wa dr. sawe anayesimamia uandikishaji/usajili wa hospitali binafsi na kumpatia ndugu yake
7. ametengua uteuzi wa Dr. Muhame ambaye alikuwa msajili wa tiba asilia na kumpatia ndugu yake


jamani mwageni dhambi zake
 
nyongeza
1. ametengua uteuzi wa Mpandana muuguzi mkuu wa serikali na kumpatia ndugu yake
2. amemuhamisha ndugu yake mhudumu wa afya kutoka mbeya na kumleta hospitali ya temeke na kisha ameagiza aende akasomee Diploma ya utabibu wakati hana sifa na ameagiza apelekwe bila kufata taratibu za utumishi

jamani tuhuma hizi zilikuwepo ziko nyingi

cha ajabu ni mwanamke lakini anaonekana ufisadi wake umepitiliza, achunguzwe na afukuzwe kazi mara moja ili ajifunze uchungu wa maisha

pioa anyangamnywe mali zote alizochuma kwa ufisadi
 
Back
Top Bottom