Ufisadi wa Blandina Nyoni huu hapa!

Total for Sub Saharan africa: 93,729 MW
Total for Sub saharan africa excluding South Africa: 46,700MW

1. South africa 47,027mw
2.Nigeria 10,584mw
3. Sudan 3,686mw
4.Ghana 2,831mw
5. Democratic republic of congo 2,516mw
6. Mozambique 2,383mw
7. Angola 2,377mw
8. Zambia 2,368mw
9.Ethiopia 2,094mw
10. Zimbabwe 1,970mw
11. Kenya 1,885mw
12. Ivory coast 1,632mw
13. Tanzania 1,609mw
14. Cameroon 1,245mw
15. Botswana 893mw
16. Uganda 892mw
17. Mauritius 811mw
18. Senegal 653mw
19. Mali 628mw
20. Republic of congo 620mw

http://documents.worldbank.org/curat...d-hidden-costs
 
Haya ndo maigizo ya serikali na huu ndo uzuri wa kumbukumbu za electronic. Ni huyu anayelezwa hivi sasa kawa mtu wa kuteuliwa na tena???????

No! No! Noooooooooooooooooo!
 
JF ni kiboko aisee. Mimi nadhani kitakachokuja kuwaangusha watawala wa kizazi chetu na vizazi vijavyo.....ni upatikanaji wa habari. Maana wamezoea kufanya mambo kwa siri. Lakini sasa kila kitu kiko hadharani. wajiandae kisaikolojia. There is no more hiding.
 
Back
Top Bottom