Juliana Shonza
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 2,009
- 1,607
Ndio ambavyo kila mtanzania aliaminishwa kuhusu Mtaa uliopata umaarufu kwa kipindi cha hivi karibuni, mtaa wa Ufipa uliopo Kinondoni ambapo ndipo CHADEMA walipokodi nyumba na kufanya Makao Makuu yao. Sehemu hiyo ilionekana ni Pepo ambayo ndani yake waliishi Malaika wema na wazuri.
Baadhi yetu ambao tumeishi kwenye ofisi hiyo kwa muda wa masiku yenye kuhesabika tuliweza kuujua ukweli halisi nje ya ule ambao Watanzania waliaminishwa.
Baada ya kuujua Ukweli halisi kuwa eneo hilo wamejaa wapiga dili wa mjini, wezi, wababaishaji, wabinafsi na mafisadi papa waliokosa fursa tuliamua kujitenga nao na kuanzia hapo tulianza kuonyesha na kuwasaidia watanzania kuuelewa ukweli kuwa hapo wanapiamini wanaishi Malaika kimsingi wanaishi Mashetani.
Kwa muda kidogo watu hawakutuelewa, hawakuamini na kusadiki maneno yetu mpaka pale ambapo MUNGU mwenyewe alipoamua kuwadhihirishia Watanzania kuwa yeye si sehemu ya mpango wa Ufipa.
Ndivyo ilivyokuja kudhihirika leo SHETANI Mkuu amekuwa ndio jemedari wa Pango hilo lililosemekana la MALAIKA wema...MUNGU hamfichi mnafiki..
CHADEMA - Mpango wa MUNGU unaoendeshwa na SHETANI.