idoyo
JF-Expert Member
- Jan 13, 2013
- 3,051
- 1,423
Mwenyezi Mungu alishaniongoza njia.,sina haja ya kumkufuru kwa kufikiria kujiunga na COALIATION OF HOOLIGANS.
NAENDELEA kumshukuru MUNGU kwa kunionyesha njia na kunitenga na AIBU ya kuwa pamoja na WEZI wapiga dili.
mamlaka ya juu ilikataa mkataba kuvunjwa!Umesahau na RICHMOND..
Umesahau na RICHMOND..
Wapiga deal za ESCROW, EPA, Melemeta, kagoda au wapi hao?Mwenyezi Mungu alishaniongoza njia.,sina haja ya kumkufuru kwa kufikiria kujiunga na COALIATION OF HOOLIGANS.
NAENDELEA kumshukuru MUNGU kwa kunionyesha njia na kunitenga na AIBU ya kuwa pamoja na WEZI wapiga dili.
Nimepitia hii thread nzima na hapa ndo ninaamini washabiki na wapenzi wa hii ukawa sio watu wazuri, wenye maono, wenye maadili na weredi wa kuishauri na kuipeleka hii nchi mbele. Yaani badala ya kudiscuss mada aliyotoa mtoa mada mnaishia kumtukana na kufanya vijembe.
Mtoa mada umeongea maneno mazito sana, Nchi nyingi za Africa zamekwama kimaendeleo kutokana na wanasiasa kujigeuza kuwa ndo watu wanaofikiri kwa niaba ya wananchi. Nilitegemea wapenzi na wanachama wote wa ukawa kuanza kuwahoji viongozi wao kwa hoja zenye mashiko kuwa nyie mlituambia na mlitulisha hiki juu ya huyu mtu, inakuwa je leo yanatokea haya?
Ni lazima wawahoji kwa nini msitangaze leo mbele ya watanzania wote kuwa tuliwalaghai kwa hoja zote juu ya haya mambo na mtusamee ili watanzania wawahukumu kwenye sanduku la kura kwa unafiki na tamaa zao juu ya pesa?
Kama mmejipanga kuulinda uovu wenu humu kwenye mitandao napenda kusema kuna watu ambao tuko macho, tunafuatilia every step you made na tunafanya uamuzi baada ya kufanya critical analysis. Huu ulaghai manaoufanya hapa haujawai kufanywa marekani na hata ulaya.
Kwa niaba ya watanzania wanaojielewa kamwe hatutakubali kuwapa nchi nyie msiojielewa na ma opportunist wakubwa.
Mwenyezi Mungu alishaniongoza njia.,sina haja ya kumkufuru kwa kufikiria kujiunga na COALIATION OF HOOLIGANS.
NAENDELEA kumshukuru MUNGU kwa kunionyesha njia na kunitenga na AIBU ya kuwa pamoja na WEZI wapiga dili.
Wapiga deal za ESCROW, EPA, Melemeta, kagoda au wapi hao?
KKama ufipa ndio wapiga deal huko uliko wanafanya nini?
Mwenyezi Mungu alishaniongoza njia.,sina haja ya kumkufuru kwa kufikiria kujiunga na COALIATION OF HOOLIGANS.
NAENDELEA kumshukuru MUNGU kwa kunionyesha njia na kunitenga na AIBU ya kuwa pamoja na WEZI wapiga dili.
Na ujanja wako wote unategemea ubunge wa viti maalumu? Mwenzako Mdee kakamata jimbo, wewe vipi?
Kwi! Kwi! Kwiiiii!!!!!shonza nataka tuzae.!!!
Ndio ambavyo kila mtanzania aliaminishwa kuhusu Mtaa uliopata umaarufu kwa kipindi cha hivi karibuni, mtaa wa Ufipa uliopo Kinondoni ambapo ndipo CHADEMA walipokodi nyumba na kufanya Makao Makuu yao. Sehemu hiyo ilionekana ni Pepo ambayo ndani yake waliishi Malaika wema na wazuri.
Baadhi yetu ambao tumeishi kwenye ofisi hiyo kwa muda wa masiku yenye kuhesabika tuliweza kuujua ukweli halisi nje ya ule ambao Watanzania waliaminishwa.
Baada ya kuujua Ukweli halisi kuwa eneo hilo wamejaa wapiga dili wa mjini, wezi, wababaishaji, wabinafsi na mafisadi papa waliokosa fursa tuliamua kujitenga nao na kuanzia hapo tulianza kuonyesha na kuwasaidia watanzania kuuelewa ukweli kuwa hapo wanapiamini wanaishi Malaika kimsingi wanaishi Mashetani.
Kwa muda kidogo watu hawakutuelewa, hawakuamini na kusadiki maneno yetu mpaka pale ambapo MUNGU mwenyewe alipoamua kuwadhihirishia Watanzania kuwa yeye si sehemu ya mpango wa Ufipa.
Ndivyo ilivyokuja kudhihirika leo SHETANI Mkuu amekuwa ndio jemedari wa Pango hilo lililosemekana la MALAIKA wema...MUNGU hamfichi mnafiki..
CHADEMA - Mpango wa MUNGU unaoendeshwa na SHETANI.
Mwaka huu viti maalum wasitegemee kwani kura hazitatosha mbona utakuwa mtifuano?!Na ujanja wako wote unategemea ubunge wa viti maalumu? Mwenzako Mdee kakamata jimbo, wewe vipi?