Ufipa: Heaven on Earth

Ufipa: Heaven on Earth

ndio ambavyo kila mtanzania aliaminishwa kuhusu mtaa uliopata umaarufu kwa kipindi cha hivi karibuni, mtaa wa ufipa uliopo kinondoni ambapo ndipo chadema walipokodi nyumba na kufanya makao makuu yao. Sehemu hiyo ilionekana ni pepo ambayo ndani yake waliishi malaika wema na wazuri.

Baadhi yetu ambao tumeishi kwenye ofisi hiyo kwa muda wa masiku yenye kuhesabika tuliweza kuujua ukweli halisi nje ya ule ambao watanzania waliaminishwa.

Baada ya kuujua ukweli halisi kuwa eneo hilo wamejaa wapiga dili wa mjini, wezi, wababaishaji, wabinafsi na mafisadi papa waliokosa fursa tuliamua kujitenga nao na kuanzia hapo tulianza kuonyesha na kuwasaidia watanzania kuuelewa ukweli kuwa hapo wanapiamini wanaishi malaika kimsingi wanaishi mashetani.

Kwa muda kidogo watu hawakutuelewa, hawakuamini na kusadiki maneno yetu mpaka pale ambapo mungu mwenyewe alipoamua kuwadhihirishia watanzania kuwa yeye si sehemu ya mpango wa ufipa.

Ndivyo ilivyokuja kudhihirika leo shetani mkuu amekuwa ndio jemedari wa pango hilo lililosemekana la malaika wema...mungu hamfichi mnafiki..

Chadema - mpango wa mungu unaoendeshwa na shetani.
huna jipya dada!pole sana.
 
Ndio ambavyo kila mtanzania aliaminishwa kuhusu Mtaa uliopata umaarufu kwa kipindi cha hivi karibuni, mtaa wa Ufipa uliopo Kinondoni ambapo ndipo CHADEMA walipokodi nyumba na kufanya Makao Makuu yao. Sehemu hiyo ilionekana ni Pepo ambayo ndani yake waliishi Malaika wema na wazuri.

Baadhi yetu ambao tumeishi kwenye ofisi hiyo kwa muda wa masiku yenye kuhesabika tuliweza kuujua ukweli halisi nje ya ule ambao Watanzania waliaminishwa.

Baada ya kuujua Ukweli halisi kuwa eneo hilo wamejaa wapiga dili wa mjini, wezi, wababaishaji, wabinafsi na mafisadi papa waliokosa fursa tuliamua kujitenga nao na kuanzia hapo tulianza kuonyesha na kuwasaidia watanzania kuuelewa ukweli kuwa hapo wanapiamini wanaishi Malaika kimsingi wanaishi Mashetani.

Kwa muda kidogo watu hawakutuelewa, hawakuamini na kusadiki maneno yetu mpaka pale ambapo MUNGU mwenyewe alipoamua kuwadhihirishia Watanzania kuwa yeye si sehemu ya mpango wa Ufipa.

Ndivyo ilivyokuja kudhihirika leo SHETANI Mkuu amekuwa ndio jemedari wa Pango hilo lililosemekana la MALAIKA wema...MUNGU hamfichi mnafiki..

CHADEMA - Mpango wa MUNGU unaoendeshwa na SHETANI.

Bendera.jpg
Post yake tayari imechakaa kama libendera lenu.
 
Kojoa ukalale..naona viti maalumu ...hupati...sasa ...imekuma hii ndio chadema
 
Ndio ambavyo kila mtanzania aliaminishwa kuhusu Mtaa uliopata umaarufu kwa kipindi cha hivi karibuni, mtaa wa Ufipa uliopo Kinondoni ambapo ndipo CHADEMA walipokodi nyumba na kufanya Makao Makuu yao. Sehemu hiyo ilionekana ni Pepo ambayo ndani yake waliishi Malaika wema na wazuri.

Baadhi yetu ambao tumeishi kwenye ofisi hiyo kwa muda wa masiku yenye kuhesabika tuliweza kuujua ukweli halisi nje ya ule ambao Watanzania waliaminishwa.

Baada ya kuujua Ukweli halisi kuwa eneo hilo wamejaa wapiga dili wa mjini, wezi, wababaishaji, wabinafsi na mafisadi papa waliokosa fursa tuliamua kujitenga nao na kuanzia hapo tulianza kuonyesha na kuwasaidia watanzania kuuelewa ukweli kuwa hapo wanapiamini wanaishi Malaika kimsingi wanaishi Mashetani.

Kwa muda kidogo watu hawakutuelewa, hawakuamini na kusadiki maneno yetu mpaka pale ambapo MUNGU mwenyewe alipoamua kuwadhihirishia Watanzania kuwa yeye si sehemu ya mpango wa Ufipa.

Ndivyo ilivyokuja kudhihirika leo SHETANI Mkuu amekuwa ndio jemedari wa Pango hilo lililosemekana la MALAIKA wema...MUNGU hamfichi mnafiki..

CHADEMA - Mpango wa MUNGU unaoendeshwa na SHETANI.

Uko kwenye tope zaidi maana hata mwenyekiti wako kumbe ni walewale.Na yeye hana tofauti na Chenge...Umeambiwa Mwenyekiti wako Richmond lilikuwa deal lake.

Kwa uhakika Pamoja na kwamba Lowassa is not part of my cake lakini naomba nikuulize swali na unijibu kwa facts ili usije ukavuliwa uanachama huko:

1.Lowassa alijiuzulu miaka nane iliyopita tunaomba utueleze nani alitengeneza deal la Escrow?

2.Deal La BVR kits ni la nani?Maana zile machine ni za zamani sana na mbaya zaidi ni second hand aka used machines sasa wewe I msomi kama ni used materials mbona pesa zilizotumika ni kwa ajili ya kununua brand new machines?

3.Imekuwaje sisi Tanganyika na Zanzibar ni nchi moja lakini wenzetu mashine zao ni very updated na brand new?

4.Rushwa na ufisadi ulioongezeka kwa kiasi kikubwa hivi ni nani muhusika mkuu?

Kama siyo Lowassa then huko Lumumba MASHETANI YAMEZIDI ndiyo maana Lowassa kaikimbiza roho yake apate kuuona uzima wa milele and this I mean it.

Angalia Mdogo wangu uwe unajitahidi kuweka AKIBA ya maneno.
 
Back
Top Bottom