TUPAC WA MWAKALELI
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 354
- 109
Jamaa ana pesa, nguvu ya ushawishi, vyombo vyote vya dola kaviweka mkononi.
Sasa umegundua anatembea na mkeo umejaribu kumkanya mkeo, mkeo anakujibu ukifanya lolote bwana mapesa atakupotezea jela.
He ufanyeje

nisha porwa sasa nifanyeje?
Acha upuuzi sio jamaa kakupora mke ni mke na kaendekeza njaa akidhani hela ndo kila kitu!Jamaa ana pesa, nguvu ya ushawishi, vyombo vyote vya dola kaviweka mkononi.
Sasa umegundua anatembea na mkeo umejaribu kumkanya mkeo, mkeo anakujibu ukifanya lolote bwana mapesa atakupotezea jela.
He ufanyeje
Jamaa ana pesa, nguvu ya ushawishi, vyombo vyote vya dola kaviweka mkononi.
Sasa umegundua anatembea na mkeo umejaribu kumkanya mkeo, mkeo anakujibu ukifanya lolote bwana mapesa atakupotezea jela.
He ufanyeje
Wanawake wote hawa duniani unapata tabu gani sasa?
Zisake na wewe jamaa akifulia atarudi tu