kachimbe tanzanite meku na wewe upate pesa hutaliwa mkeo
Hahahahaaaaaa very tru! What if akiporwa mke na masikini inakuwaje?
kachimbe tanzanite meku na wewe upate pesa hutaliwa mkeo
maskini akikulia mkeo muweke jela kama babu seaHahahahaaaaaa very tru! What if akiporwa mke na masikini inakuwaje?
Kama naye ana mke jipendekeze au jilengeshe kwa mke wake....nawe utalelewa kiaina....Jamaa ana pesa, nguvu ya ushawishi, vyombo vyote vya dola kaviweka mkononi.
Sasa umegundua anatembea na mkeo umejaribu kumkanya mkeo, mkeo anakujibu ukifanya lolote bwana mapesa atakupotezea jela.
He ufanyeje
Achana nae tumia fursa hiyo kuchagua Tena mtoto mkali endelea na maishaJamaa ana pesa, nguvu ya ushawishi, vyombo vyote vya dola kaviweka mkononi.
Sasa umegundua anatembea na mkeo umejaribu kumkanya mkeo, mkeo anakujibu ukifanya lolote bwana mapesa atakupotezea jela.
He ufanyeje
Kama mmezaa watoto je?Achana nae tumia fursa hiyo kuchagua Tena mtoto mkali endelea na maisha
Huyo anaekuja atawalea na kwasasa wabaki na house girl na kama wamefikia umri wa shule hawana shida hao, ila ukiendelea kumg'ang'ania huy mke wako wewe ndio utaumia mzee mwenzangu move on angalia watoto fanya mambo Yako coz hata ukifanikiwa kumrudisha mtangalianaje humo ndan! Je? Ile heshima itaendelea kuwepoKama mmezaa watoto je?
Ohooooo 🤣🤣🤣Achana nae tumia fursa hiyo kuchagua Tena mtoto mkali endelea na maisha
Mimi nyumba ya udongo sihimili vishindo,mpe talaka muachane kwa amani aende kwa amaniJamaa ana pesa, nguvu ya ushawishi, vyombo vyote vya dola kaviweka mkononi.
Sasa umegundua anatembea na mkeo umejaribu kumkanya mkeo, mkeo anakujibu ukifanya lolote bwana mapesa atakupotezea jela.
He ufanyeje
Jamaa ana pesa, nguvu ya ushawishi, vyombo vyote vya dola kaviweka mkononi.
Sasa umegundua anatembea na mkeo umejaribu kumkanya mkeo, mkeo anakujibu ukifanya lolote bwana mapesa atakupotezea jela.
He ufanyeje
Mwanamke sio nyumba ukiona kachepuka tena wazi wazi huyo sio wako achana naye katafute wako.Jamaa ana pesa, nguvu ya ushawishi, vyombo vyote vya dola kaviweka mkononi.
Sasa umegundua anatembea na mkeo umejaribu kumkanya mkeo, mkeo anakujibu ukifanya lolote bwana mapesa atakupotezea jela.
He ufanyeje