Ufanye nini mwenye pesa akikupora mke?

Ufanye nini mwenye pesa akikupora mke?

If its true,..Plan A:- Naacha mke wafaidi hizo pesa,kwanza maradhi mengi siku hizi. Ikiwa wataendelea kunifatafata au mwenyepesa kunilazimisha niendelee kubaki na mke huku yeye akiendelea kupita mlango wa uwani,here comes plan B:- "Eliminate dem all"...
 
Jamaa ana pesa, nguvu ya ushawishi, vyombo vyote vya dola kaviweka mkononi.
Sasa umegundua anatembea na mkeo umejaribu kumkanya mkeo, mkeo anakujibu ukifanya lolote bwana mapesa atakupotezea jela.
He ufanyeje
kachimbe tanzanite meku na wewe upate pesa hutaliwa mkeo
 
Mtafute umsukume kinyesi kisha upige picha na umwambie akirudia kosa hilo sasa unazituma kwa mkewe. Jicho kwa jino
 
Wakuu msinikumbushe yanataka kunikuta haya!
 
If its true,..Plan A:- Naacha mke wafaidi hizo pesa,kwanza maradhi mengi siku hizi. Ikiwa wataendelea kunifatafata au mwenyepesa kunilazimisha niendelee kubaki na mke huku yeye akiendelea kupita mlango wa uwani,here comes plan B:- "Eliminate dem all"...
 
Last edited by a moderator:
Kwani huna bunduki karibu mkuu hat ya kuazima
 
Kama amependa hela achana nae siku hela zikiisha nae atakimbia
 
Back
Top Bottom