Ufanye nini mwenye pesa akikupora mke?

Ufanye nini mwenye pesa akikupora mke?

Tatzo ni aibu kwa ndugu, jamaa na marafiki. Kumuacha si kazi tatzo ile aibu ya kuibiwa mke na ww kibaba umeshindwa la kufanya ndio kinacho muumiza mtu. Bob usiombe yakukute. Noma Sanaa !!! Hahahaha

Aibu yake mm sitoona aibu kwa tamaa zake za fedha
 
Hakuna huo ni uhanithi yaan kamvulia mtu mwingine na mm nije kuingia tena hapo hapo.

Na mbaya zaidi ni wakati wa njaa kali ndo kasepa! Hata aniroge imekula kwake. Wacha nife na ukwasi kama sikupata mwingine lakini siwezi kula matapishi ya mtu mwingine.

Nimng'ang'anie umekuwa mgodi nikiingia naongeza utajiri f*** it kama si wa kuishi hata ufanyaje utakonda wenzio wanajinenepea fanya yako kalagabao...


Single and happily ever after

Umeongea kama mwanaume kweli. I'm proud of u brother. Hata mm ningefanya tha same.
 
Unaachana nae na kutafuta mwingine, usiogope aibu kwan umezaliwa naye tumbo moja huyoo.
 
Tatzo ni aibu kwa ndugu, jamaa na marafiki. Kumuacha si kazi tatzo ile aibu ya kuibiwa mke tena mke wako wa ndoa na alaf wewe kibaba umeshindwa kufanya chochote na mwanamke anakula uroda nnje tu bila wasi ndio kinacho muumiza mtu. Bob usiombe yakukute. Noma Sanaa !!! Hahahaha

inaniuma sana
 
Aibu yake mm sitoona aibu kwa tamaa zake za fedha

Ni kweli unachosema. Lakini trust me itakusumbua sana kichwani. Huyo mwanamke atadharaulika na jamii ndio but still kuna aibu flan hvi itaku gharimu sanaa ww. Nimeshawahi ona such a case kwa mtu flan hvi, jamaa ikabidi aoe mwanamke mwingine lakn ilimchukua muda sana ku recover na yule mwanamke aliyetoka nnje alikuja kufa kwa ngoma...Mungu si athumani yule bwana alipona hakupata maambukizi yeyote na alienda kushuhudia kanisani na kutoa sadaka ya shukrani kwan Mungu alimuokoa na matatzo. Ile story iliwagusa sanaa watu. Sasa imagine kama angeendelea kumganda yule mwanamke ingekuaje ???
Moral of the story: Just move on with ur life, the best is yet to come. Na siku zote tamaa mbayaa !!
 
mfuate huyo kigogo ukifka kwake unamwita mzazi wake halafu unamishia kwamba mke wako umemtega ,wakinasana kazi kwao na hutaki lawama,ataogopa kufa mchezo .
 
Jamaa ana pesa, nguvu ya ushawishi, vyombo vyote vya dola kaviweka mkononi.
Sasa umegundua anatembea na mkeo umejaribu kumkanya mkeo, mkeo anakujibu ukifanya lolote bwana mapesa atakupotezea jela.
He ufanyeje

Mkuu jinyonge
 
---------------------- na mjinga na mtu asiye na darasa kichwani Hulipa kisasi,
--------------mwenye akili husamehe,
--------------Tajiri wa akili hupotezea


Jiangalie uko kundi gani hapo na ufanye maamuzi.
Ni ushauri wangu dogo.
 
inaniuma sana

Ndio maana mtu kama umeshindwa kumfanya kitu, mtu anafanya kumvizia hata kama ni usiku hamuoni mtu anamfanya kitu mbayaa bila ushahidi. Watu wengine lazma wanaku time wanakutia kilema tu. Kwan hela zako kitu gani ???
 
Unatakiwa kushukuru ameku nyang'anya kimeo....muachie tafuta mwingine
rafiki naomba msaada hapa......
ni mwenye pesa kampora mke au mkewe kakimbilia kwa mwenye pesa? hapa napata shida kidogo.....
Mke ana hadi jeuri ya kumjibu mume "jaribu kuleta zako uone", huyo kaporwa au kakuacha?
 
hivi jukwaa la siasa haliwatoshi mpaka mje kula kuberi zenu na kuvuta shisha huku? hili jukwaa liheshimiwe bangi zenu pelekeni huko huko siasani.

sema tena ndugu yangu....!
..tuko kwenye mahusiano na mapenzi..mambo ya kina kikwete/slaa wapeleke siasani
 
Ngoja kina Mangi waone huu uzi watakuja na majibu mazuri.
 
I will simply walk away...

Till when?
We are quite aware that the judicial system might not be fair to the poor in a set up where the poor are the majority; one thing has to be done with the help of the local leader who are somehow similar to the large population majority. they should call the person (wife or mr. rich) and warn them before they are subjected to mass justice happens when they are caught in hand!
 
Back
Top Bottom