Ufanye nini brake zikifeli na uko katika mwendo kasi?

Ufanye nini brake zikifeli na uko katika mwendo kasi?

Mimi nikiwa kwenye mwendokasi, sitakuwa na la kufanya zaidi ya kusubir dereva acontrol gari yke vzr. Na kwa sababu mabasi ya mwendokasi yana njia zake rasmi kama kutoka Kimara mpk kariakoo, ni rahisi kupunguza ajali. Cha muhimu ni abiria kusali ili kuombea maisha yenu, na kumuombea dereva afanikiwe kusimamisha gari.

Mkisema abiria wote muende pale kwa dereva hamtatosha.
 
Hahahaah mzee unaongelea magari ya mwendokasi tu?
 
Sasa huku kudanganyana, kwa hiyo ukiwa unashuka mlima mkali utaweka neutral ili gari ipunguze mwendo!!???? Sijui hiyo gari yako aina gani?!!!?
Hii inategemea mazingira uliyopo na muundo wa gari hivyo hapa hakuna jibu sahihi
Hicho ndicho unaweza kukifanya braking system iki stall am telling you this from expertise perspective wewe unaweza kutumia njia unayoona inafaa,ain't necessarily so for you to consider my advise lady
 
Let say unashuka kitonga upo semi trelar 40ft limekula shaba za maana alafu break systems ime fail ukiweka neutral unataka gar ikubake au mtoa post mungu anakuona kwa uuaji
 
Sasa huku kudanganyana, kwa hiyo ukiwa unashuka mlima mkali utaweka neutral ili gari ipunguze mwendo!!???? Sijui hiyo gari yako aina gani?!!!?
Hii inategemea mazingira uliyopo na muundo wa gari hivyo hapa hakuna jibu sahihi
Uko sahihi sana,inategemea na mazingira uliopo.Mimi iliwahi kunitokea hiyo nikiwa kwenye mteremko,niliamua kutumia hiyo njia ya 3 then nikalipelika gari pembeni kulikuwa na ngema kwahiyo ikala side mirror,indicator na milango yote upande wa kushoto ikaharibika vibaya na niliamua hivyo kwani mbele yangu kulikuwa na Lorry limepaki kwahiyo ingekuwa mbaya zaidi kwangu.
 
Utauwa watu kwa ushauri mbovu. Ukiweks neutral gari inakuwa nyepesi na mara ingine inaongeza mwendo.

Unachotakiwa kufanya ni kuondoa mguu kwenye accelerator na kama gari ni manual punguza mwendo kwa kubadili gear yaani toa namba tano weka nne then tatu,mbili, moja.

Kama ni auto zipo zenye mfumo P R N D 3,2,1 hapo toa D weka 3,2,1 kama ni zile za P R N D 2 L achia mafuta mwendo ukipungua weka 2 then L.
Kumbuka nimesema ukiwa kwenye mwendo mkubwa kama 120 per hr,kumbuka kwa mwendo huo action yoyote nje ya Neutral ni kupinduka hata hizo gia unazozitaja ukizi engage wakati say ukiwa 120 gari itasimama ghafla na ku skid,kumbuka hapa sizungumzii manual,I think wewe ndo unawadanganya watu kwa kuwaambia warisk zaidi kwa kuendelea Ku engage gia nyingine...
 
hasa utahamishaje gear leaver wakati huwezi hamisha hadi ukanyage breki kwa gari za automatic
Kakudanganya nani? Kipindi pekee ambacho gear level ya automatic haihamishiki ni kama gari imezimwa kabisa lakini ikiwa idle ama kwenye motion unahama bila ya kukanyaga break. Na hapo hapo kumbuka kilochofail ni system ya kusimamisha gari sio gear box kwahiyo kama unafanya kwa mazoea bado unaweza kukanyaga pedal ya break kuweka neutral
 
Let say unashuka kitonga upo semi trelar 40ft limekula shaba za maana alafu break systems ime fail ukiweka neutral unataka gar ikubake au mtoa post mungu anakuona kwa uuaji
Duuuhh hapo ni kujirusha dereva tu hakuna ujingaaa wa kufa
 
G
Anata

Anataka mteremkoni uweke neutral yakukute
By the way kwa situation ya mwendo huo hilo ndilo unaloweza kufanya...neutral tafsiri yake gari litakwenda kama toroli na baadae kupunguza mwendo attempt yoyote ya kusimama ktk mwendo huo ni sudden stop! ambayo itakupindua...kumbuka sijasema mteremkoni...Iam a professional car mechanic man ushauri wangu si wa kubahatisha na kqma unahitaji consultation ya kiufundi njoo gerejini kwangu Mwenge Dar hapa, karibu
 
Mathalani upo katika speed ya 120/hr na ghafla breki zikafeli (automatic cars)

A. Utumie Hand Brake?
B. Uzime gari?
C.U jam gari katika Neutral?

JIBU:

Ukitumia mbinu A gari litasimama ghafla na ku skid upande kisha kubingilika hatimae ajali

Ukitumia mbinu B gari itajam mfumo wake wote usukani et al

C ndilo jibu sahihi...Weka gear lever yako katika Neutral kisha endelea kutafuta balance...ukiweka neutral maana yake ume disengage drive train na engine power kwa hiyo automatically gari litapunguza mwendo.

Nimeleta hili baada ya kusoma makala iliyobainisha kuwa miongoni mwa vyanzo vya ajali za private cars sababu ni kufeli engine

Ushauri wa ziada: Hakikisha kila baada ya kilomita 5000 mfumo WOTE wa brake unakaguliwa...ukihitaji msaada wa kiufundi usisite
Mkuu ukiweza gari free kwenye mteremko Mkali Wakati haina break utakuwa umejitengenezea ajali ya makusudi kabisa, cha msingi Kama ni out wewe toa mkono wa gia kutoka alama D, na weka drive 2 Ingine utakuwa nzito ukiona bado inakuzidi peleka kwenye gia ya taratibu zaidi yenye alama low hapo utakuwa umepunguza Kiwango kikubwa cha mwendo na kitakacho fuatia wewe kufanya ni kutumia handbrake kwa kuvuta nusu jino mpaka gari itasimama
 
Kumbuka nimesema ukiwa kwenye mwendo mkubwa kama 120 per hr,kumbuka kwa mwendo huo action yoyote nje ya Neutral ni kupinduka hata hizo gia unazozitaja ukizi engage wakati say ukiwa 120 gari itasimama ghafla na ku skid,kumbuka hapa sizungumzii manual,I think wewe ndo unawadanganya watu kwa kuwaambia warisk zaidi kwa kuendelea Ku engage gia nyingine...
Wewe mimi ni dereva mzoefu. Nimeendesha gari up to 240kph. 120kph sio mwendo kutisha kama unavyotaka kutuaminisha. Ninachokiona hapa wewe sio dereva. Kama ungekuwa dereva usingethubutu kusema mtu aweke N ili gari ipunguze mwendo.
 
Utauwa watu kwa ushauri mbovu. Ukiweks neutral gari inakuwa nyepesi na mara ingine inaongeza mwendo.

Unachotakiwa kufanya ni kuondoa mguu kwenye accelerator na kama gari ni manual punguza mwendo kwa kubadili gear yaani toa namba tano weka nne then tatu,mbili, moja.

Kama ni auto zipo zenye mfumo P R N D 3,2,1 hapo toa D weka 3,2,1 kama ni zile za P R N D 2 L achia mafuta mwendo ukipungua weka 2 then L.
Good, huyo Jamaa mtoa mada atakuwa lazima anakula ugoro
 
Back
Top Bottom