Ufanye nini brake zikifeli na uko katika mwendo kasi?

Hiyo nadhan umetoa kwa Automatic cars je vipi manual mode
 
By the way kwa situation ya mwendo huo hilo ndilo unaloweza kufanya...neutral tafsiri yake gari litakwenda kama toroli na baadae kupunguza mwendo attempt yoyote ya kusimama ktk mwendo huo ni sudden stop! ambayo itakupindua...kumbuka sijasema mteremkoni...Iam a professional car mechanic man ushauri wangu si wa kubahatisha na kqma unahitaji consultation ya kiufundi njoo gerejini kwangu Mwenge Dar hapa, karibu
Trust me, wewe ni kishoka!
 
Mathalani upo katika speed ya 120/hr na ghafla breki zikafeli (automatic cars)

A. Utumie Hand Brake?
B. Uzime gari?
C.U jam gari katika Neutral?

JIBU:

Ukitumia mbinu A gari litasimama ghafla na ku skid upande kisha kubingilika hatimae ajali

Ukitumia mbinu B gari itajam mfumo wake wote usukani et al

C ndilo jibu sahihi...Weka gear lever yako katika Neutral kisha endelea kutafuta balance...ukiweka neutral maana yake ume disengage drive train na engine power kwa hiyo automatically gari litapunguza mwendo.

Nimeleta hili baada ya kusoma makala iliyobainisha kuwa miongoni mwa vyanzo vya ajali za private cars sababu ni kufeli engine

Ushauri wa ziada: Hakikisha kila baada ya kilomita 5000 mfumo WOTE wa brake unakaguliwa...ukihitaji msaada wa kiufundi usisite
Hapo sio kweli ukiweka gear neutral gari inakua nyepesi hivyo kuongeza mwendo
 
Dawa ya gari kufail break, ni mbili tu.
1-Usipaniki kua na cool head.
2-Kama manual weka gia kubwa 3-2-1. Kama automatic kuna vijigia 3-2-1-L. Kwa kufanya hivyo gari inafanywa iwe nzito na kusaidia kupunguza kasi
 
Mathalani upo katika speed ya 120/hr na ghafla breki zikafeli (automatic cars)

A. Utumie Hand Brake?
B. Uzime gari?
C.U jam gari katika Neutral?

JIBU:

Ukitumia mbinu A gari litasimama ghafla na ku skid upande kisha kubingilika hatimae ajali

Ukitumia mbinu B gari itajam mfumo wake wote usukani et al

C ndilo jibu sahihi...Weka gear lever yako katika Neutral kisha endelea kutafuta balance...ukiweka neutral maana yake ume disengage drive train na engine power kwa hiyo automatically gari litapunguza mwendo.

Nimeleta hili baada ya kusoma makala iliyobainisha kuwa miongoni mwa vyanzo vya ajali za private cars sababu ni kufeli engine

Ushauri wa ziada: Hakikisha kila baada ya kilomita 5000 mfumo WOTE wa brake unakaguliwa...ukihitaji msaada wa kiufundi usisite
Wewe umetumwa humu na Shetani, yaani gari uko kwenye mtelemko kama vile Kitonga au Sekenke, break iakatike halafu uweke "N", nina uhakika hicho kitendo kitaongeza mwendo hadi ushindwe kushika usukani. Hata hivyo, unahamishaje gear lever ili hali hakuna break ?
 
Mleta mada anataka kuua watu neutral? Huuu utakuwa udereva Wa veta asee
 
Asante kwa ushauri ila kumbuka biashara ni matangazo.
Kwanza huwez badili gear ikiwa kwenye mwendo mkali maana itakapokuwa imeingia N, ndo haitaingia tena gea wala kutoka kutokana na mzunguko kuwa mkubwa
 
Utauwa watu kwa ushauri mbovu. Ukiweks neutral gari inakuwa nyepesi na mara ingine inaongeza mwendo.

Unachotakiwa kufanya ni kuondoa mguu kwenye accelerator na kama gari ni manual punguza mwendo kwa kubadili gear yaani toa namba tano weka nne then tatu,mbili, moja.

Kama ni auto zipo zenye mfumo P R N D 3,2,1 hapo toa D weka 3,2,1 kama ni zile za P R N D 2 L achia mafuta mwendo ukipungua weka 2 then L.
Hili ndio jibu sahihi.. Asante mkuu
 
Ili ndio jibu sahihi..
 
Duuuuu..ndo maana jamaa alisema akili za kuambiwa changanya na za kwako
 
Utauwa watu kwa ushauri mbovu. Ukiweks neutral gari inakuwa nyepesi na mara ingine inaongeza mwendo.

Unachotakiwa kufanya ni kuondoa mguu kwenye accelerator na kama gari ni manual punguza mwendo kwa kubadili gear yaani toa namba tano weka nne then tatu,mbili, moja.

Kama ni auto zipo zenye mfumo P R N D 3,2,1 hapo toa D weka 3,2,1 kama ni zile za P R N D 2 L achia mafuta mwendo ukipungua weka 2 then L.

nakuunga mkono mdau, huyo mtoa mada inaonyesha haelewi anachosema...
 
Nasubiri wakujibu hapa...[emoji39]
Nishamjibu huyo. Auto unabadili from D>3>2>1>L au from D>2>L bila kukanyaga brake. Ila kutoka P lazima ukanyage brake au kutoka N>R ndio lazima ukanyage brake.

Kama ushajaribu kuvuta gari au trailer kwa auto kiusahihi unatakiwa uanze L/1 ikikolea unaweka 2>3>D wala huitaji kukanyaga brake.
 
Wewe umetumwa humu na Shetani, yaani gari uko kwenye mtelemko kama vile Kitonga au Sekenke, break iakatike halafu uweke "N", nina uhakika hicho kitendo kitaongeza mwendo hadi ushindwe kushika usukani. Hata hivyo, unahamishaje gear lever ili hali hakuna break ?
Yes unaweza kuhamisha lever kwa kuwa yenyewe inatumia umeme toka brake light switch. Lakini hii hutumika tu kwenye P position. Baada ya gari kuwa inafanya kazi(engine on) sehemu nyingine zinahama kama utakavyo.
 
Back
Top Bottom