Ufanye nini brake zikifeli na uko katika mwendo kasi?

Mkuu sklful sijasema kwenye mteremko hii ina apply kwenye plain surface kumbuka remedy pekee ktk mwendo huo ni ku disengage na ndipo acceleration itashuka alternatively unaachia acceleration pedal...mteremkoni ni kesi nyingine mkuu...naona ukaamua unitusi kabisa
Acha usoro hakuna anaehitaj kuambiwa cha kufanya kwny hayo mazingira unayozungumzia coz kwny kupanda mlima na taambarare relative risk is very low burning ishu ya kufail break ni kwny mteremko
 
Mkuu sklful sijasema kwenye mteremko hii ina apply kwenye plain surface kumbuka remedy pekee ktk mwendo huo ni ku disengage na ndipo acceleration itashuka alternatively unaachia acceleration pedal...mteremkoni ni kesi nyingine mkuu...naona ukaamua unitusi kabisa
Wewe ni fundi magari tutakuomba ushaur wa kiufund tutakapouhitaji lkn kuhusu haya ya barabaran waachie madereva watueleweshe
 
Pia hapo km tambarare labda cha msingi ni kuachia accelerator km unashuka mlimani lipige kwenye gema km ni semi kata namba saba
 
Hakuna jibu sahihi....itategemee mazingira ya ajali...sio simple kiasi kicho...labda kama unarekodi movie
 
Shida wengi wa madereva wa tanzania leseni wameletewa nyumbani. Wakiambiwa nendeni mkasome wanakimbia. Pia wengi wanajua kuendesha tu auto. Hata ukimwambia kushtua gari ni shida.maana kwa mfano magari yanayotumia umeme yana muda maalum wa break kufanya kazi baada ya hapo break haishiki kama likiwa limewaka. Sasa mpe hilo gari mtu mwambie ashtue halafu likatae kuwaka ndipo shughuli inapoanzia.
 
Ngoja ntamuuliza yule jamaa wa ITV kipindi cha usafirishaji kutoka chuo cha usafirishaji cha Taifa maana anajua sana
 
hasa utahamishaje gear leaver wakati huwezi hamisha hadi ukanyage breki kwa gari za automatic
Uzoefu wako ni mdogo aisee gari ya auto ikiwa inatembea unaweza kubadili gia bila kukanyaga breki hata kupunguza mwendo!Shida tu ni kuingiza rivasi au kuweka paking ikiwa kwenye mwendo lakini gia zingine zote unatupia bila breki kugusa.
 
Back
Top Bottom