Mshawa
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 776
- 306
Alisema mshahara wake ni hautazidi milioni 9 kwa mwezi na kila kitu anachotumia/anachohitaji hupewa bure kwa garama za kodi zetu.Zile ni pesa za walipa kodi anazogawa ovyo
Zile pesa pasi na shaka ni mshahara wake na Mungu atamuongezea na yeye ataendelea kugawa.