UFAHAMU: Wale walinzi wa Rais ambao huwa wanabeba vibegi viwili huwa vina nini ?

Salaam.

Huwa nawaona walinzi wawili wa Mh. Rais wamebeba mabegi wanatembea nayo karibu kabisa na Mh. Rais kila aendapo.

Yale mabegi huwa ni ya nini ?

Yamebaba nini ?
Huwa ni viwambo vya kuzuia risasi ikiwa atashambuliwa
 
ni karanga mbichi na mahindi ya kuchemsha mheshimiwa huwa anapenda kutafuna tafuna njiani
 
Vipi kutabu cha ujasusi hajaelezea hii kitu kwani mbona mna maswali
 
Back
Top Bottom