UFAHAMU: Wale walinzi wa Rais ambao huwa wanabeba vibegi viwili huwa vina nini ?

Zile ni pesa za walipa kodi anazogawa ovyo
Alisema mshahara wake ni hautazidi milioni 9 kwa mwezi na kila kitu anachotumia/anachohitaji hupewa bure kwa garama za kodi zetu.

Zile pesa pasi na shaka ni mshahara wake na Mungu atamuongezea na yeye ataendelea kugawa.
 
Unatupima eeehhh...
Labda wewe utuambie huwa unaweka nini mle..
Anyway zile bags zina kazi zaidi ya pocket
 
mule kuna codes za kuongozea mitambo iliyomo kwenye gari ya machuma chuma.(jammer car).ulinzi wote wa mitambo iliyopo kwenye zile gari,zinategemewa Na vile vibegi viwili
 
Kwanza jua si kila raia lazima ajue ulinzi wa Rais ukoje,
Mengine ni siri na ni zaidi ya mabegi mawili hayo unayoona hapo
 
Bullet proof zile,likitokea varangati hutumika kama ngao moja matata sana.
0a7be13e96dae43917bfd7a6a3786870.jpg
 
Back
Top Bottom