UFAHAMU: Wale walinzi wa Rais ambao huwa wanabeba vibegi viwili huwa vina nini ?

Ukijua itakusaidia nini? Ebu tuulizane bei za mazao uko mlipo bei gani debe la mahindi, mpunga, Karanga nk, ili tuweze kusaidia wachuuzi maana mvua zimegoma kabisa mwaka huu Tanzania
Akili mgando hiyo.
 
Football nuclear briefcase ya Trump
1104662
 
Naona maswali kuhusu msafara na ulinzi wa rais yamekuwa mengi sana safari hii
mkuu yamekuwa mengi kwasababu raisi amezidisha mbwembwe kwenye msafara wake. labda ni kuogopa kiburi chake au ni mbwembwe tu za kiutawala anatembea mpaka na uzio? juzi tu hapa alikuwa anapiga push up leo anawaogopa aliowapigia push up?
 
Salaam.
Huwa nawaona walinzi wawili wa Mh. Rais wamebeba mabegi wanatembea nayo karibu kabisa na Mh. Rais kila aendapo.
Yale mabegi huwa ni ya nini ?
Yamebaba nini ?
Wanabeba "rimoti kontrolaz" zenye passwords za mabomu ya nyuklia kama zile za Trump alizomtishia Kiduku wa Korea Kaskazini.It's a mere joke,fella!Don't you dare take it seriously my friend!
 
Rais ni taasisi kwahiyo kila ukionacho ktk misafara ya yake basi tambue ni vitu vinavyohusiana na hiyo taasisi hakuna kitu kigeni na taasisi huyo.Sawa na ukimuona mwalim kabeba handbag tambua kuna vitu vinavyomuhusu mwalimu na kazi zake
 
walimu wengi wanabeba fixtures za primier betting.
 
Back
Top Bottom