Ufahamu UKIMWI wa kulogewa

Uongo uongo tu, sijui mnajisikiaje kudanganya watu
 
Product za mshana jr.
 
Kwahiyo wewe ukishindwa kulogwa ndio kigezo cha kutokuwepo Ulozi????



Yaani kwasababu hujawahi kuumwa ukimwi ndio kiashiria cha kutokuwepo ukimwi???
Hapana, hatuendi hivyo.

1. Inawezekana ulozi upo, sijakutana nao tu
2. Inawezekana haupo, watu wanaamini uzushi tu

Kama upo, sijakutana nao tu:-

1.Inawezekana ukawepo, na nisikutane nao mpaka nife. Hili halitanithibitishia kwamba upo.
2. Inawezekana nikatoa donge nono, nikalogwa, vile vile nilivyosema, nikapata mapele vidole vyote kumi, kesho, nikashindwa ku type JF kama nilivyosema, nikajua ulozi upo.

Kama wanaamini vuzushi tu, ulozi haupo,s iwezi kulogeka.

Hapo, njia pekee ya kuthibitisha upo ni mimi kulogwa na kulogeka. Nikiwa sijalogeka nakuwa sina uthibitisho kwamba ulozi upo.

Ili tuwe na conclusive results, inabidi mimi nilogwe nilivyosema.

Nikiwa sijalogwa, nitajuaje kwamba ulozi upo?
 
Wazungu nao ni wachawi sio mchezo, nenda sehemu walikaa wajerumani kama Lushoto na Korogwe ukahadithiwe!
ah wajerumani namba nyingine kwa uchawi......
 
Mimi natafuta mtu aniloge.

Nishindwe kuja JF kesho. Kwa sababu ya vipele vya vidole vyote.

Zawadi nono itatolewa.
Hahahahahaaha, [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] usiache kuleta mrejesho
 
Vipi, umeshalogwa vidole?
 
Hakuna kitu kama hicho..Wachawi wakitaka kumsababishia mtu maradhi ya ukimwi wa kichawi wanamlisha sumu inayotengenezwa kwa miti ya porini.. Miti hii ya porini ndio inayoenda kufanya kazi ya kudhoofisha kinga ya mwili ya MTU aliekusudiwa .Wachawi wana ufahamu mkubwa sana wa miti yenye sumu zinazo sababisha maradhi mbalimbali.Ni sayansi kama zilivyo sayansi zingine
 
Mimi natafuta mtu aniloge.

Nishindwe kuja JF kesho. Kwa sababu ya vipele vya vidole vyote.

Zawadi nono itatolewa.
Nakujua wewe,mpk mung unamkana Yani we jamaaa hewa kabisa
 
Ile ni ngwengwe OG wasani ni wetu wa kuchapachapa sana Bila kujilinda,wakiletewa wao wanachomeka tu

Ova
 
Ukimwi ni Ukimwi tu. Hakuna cha kulogana wala nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…