SangaweJr
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 2,968
- 2,631
Fb unampeleka mbali mno, humu humu jf, afuatilie karibia kila siku watu wanaomba msaada ukiuliza simu gani unaambiwa tecno.Kiiukweli tecno wala si nzuri wengi sana wanalalamika.
Fatilia hata page yao facebook wengi wanaokomenti hulalamika hasa hujizima. Zingine haziingii chagi hadi uizime kwanza.
Kiukweli zinasumbua na nimeshuhudia kwa watu zaidi ya watano.
Simu nzuri labda iphone, nokia, huawei na lenovo. Na sumsung
Hiyo C5 kweli ipo vzr lkn by nature hiyo kampuni simu zake hazikosi kasoro.
Mm nimetumia simu nyingi za tecno ndio maana nakueleza haya, na hadi sasa nina C8 lkn matatizo yake hayaelezeki.