Ufafanuzi zaidi unahitajika kuhusu Tecno Camon C5

Kiiukweli tecno wala si nzuri wengi sana wanalalamika.
Fatilia hata page yao facebook wengi wanaokomenti hulalamika hasa hujizima. Zingine haziingii chagi hadi uizime kwanza.
Kiukweli zinasumbua na nimeshuhudia kwa watu zaidi ya watano.

Simu nzuri labda iphone, nokia, huawei na lenovo. Na sumsung
Fb unampeleka mbali mno, humu humu jf, afuatilie karibia kila siku watu wanaomba msaada ukiuliza simu gani unaambiwa tecno.
Hiyo C5 kweli ipo vzr lkn by nature hiyo kampuni simu zake hazikosi kasoro.
Mm nimetumia simu nyingi za tecno ndio maana nakueleza haya, na hadi sasa nina C8 lkn matatizo yake hayaelezeki.
 
Duuh...bola nichukue samsung hata kama j1 cio mbaya
 
Habar wana jamii forum
Najua kuna walio itumia simu aina ya tecno camon c5 Lte.
Swali langu ni kwamba hii simu ina ubora kiasi gani?
Kwa aliye wahi itumia anaweza kuniambia kuhusiana na aina ya simu hii....

Kwa matumizi ya kawaida iko vizuri, lakni matatizo ni mengi ukiifuatilia sana. Mimi nilibadilisha aina nne za c5, zote matatizo ni ya kufanana kama wangekuwa wanatoa update ya simu zao ni nzuri.

Ukiwasha hotspot baada ya mda simu hujizima na kujiwasha.
kutoonekana au kutosave majina kwenye laini.
SMS kama za whatsapp, email nk kuingia pale unapofungua app husika hata kama umeweka auto sync.
wakati mwingine ukipiga simu inagoma na kuandika call not exceed hadi uizime halafu uiwashe.
Muda mwingine unaweza kuichaji ikaishia asilimia sabini ukitoa kwenye chaji ukaizima, ukiiwasha inaandika asilimia mia.

Kibaya zaidi kamera za nyuma kwenye simu yoyote ya tecno huwa zinapoteza ubora baada ya muda, inafikia hatua kamera ya mbele inatoa picha nzuri kuliko ya nyuma.
 
kaka ina maana c5, haina longolongo lolote
Longolongo kwenye cm zote hazikosi na kama unafuatilia habari za simu kuna hii Samsung s7 ambayo wakorea wajitapa haiingii maji. Makampuni yanayo test ubora wa simu wamekuja na jibu kuwa Samsung s7 inaingiza maji na mtu yyte asijaribu hilo zoezi.

Tecno kama unavyojua ni brand ya afrika chini ya mchina na changamoto zipo hasa upande wa majina huwa inapoteza majina na ukiligundua hilo unaizima na kuwasha tena na majina ya narudi
Na ktk upande 4g naweza sema ndio simu za kwanza ktk matoleo ya bei nafuu kabisa.
Mwisho kiukweli sokoni tecno wanafanya vizuri sana kulinganisha na samsung, Huawei na hao wengine.
 
Kaka ilishatoka siku nyingi tangu mwezi wa nne.
Sasa hivi tunasubiri update ya maboresho tu.
Ingia hapa kwa maelekezo...
Tecno c8 update
yes mkuu hii ndio naitumia kwa sasa nilikuwa nahitaji hiyo yenye maboresho maana hii inazingua sana nimesha upgrade na kudowngrade karibia mara nne,,,,, pia kama kuna oficial recovery ya c8 mkuu ukinisaidia itakuwa poa sana maana ilnilijaribu ile ported by team hivatek mwanzo ilikubari then baadae nilipokuja kujaribu tena nikabrick simu.
 
Longolongo kwenye cm zote hazikosi na kama unafuatilia habari za simu kuna hii Samsung s7 ambayo wakorea wajitapa haiingii maji. Makampuni yanayo test ubora wa simu wamekuja na jibu kuwa Samsung s7 inaingiza maji na mtu yyte asijaribu hilo zoezi.

Tecno kama unavyojua ni brand ya afrika chini ya mchina na changamoto zipo hasa upande wa majina huwa inapoteza majina na ukiligundua hilo unaizima na kuwasha tena na majina ya narudi
Na ktk upande 4g naweza sema ndio simu za kwanza ktk matoleo ya bei nafuu kabisa.
Mwisho kiukweli sokoni tecno wanafanya vizuri sana kulinganisha na samsung, Huawei na hao wengine.
Maelezo meeeengi lakini mwisho umerudi kule kule kaka umetaja tatizo la simu.

Sasa hiyo S7 kuingia maji ni tatizo la simu?
Mfano ukiinunua hiyo simu wewe utaathirika vipi na hilo tatizo la kutoingia maji?
Rudi kwenye point nimenunua C5 nakutana na tatizo la simu kupoteza majina hadi nizime ni washe ndio niwezi kuitumia, kati ya hizo simu mbili ipi inatatizo?
 
Longolongo kwenye cm zote hazikosi na kama unafuatilia habari za simu kuna hii Samsung s7 ambayo wakorea wajitapa haiingii maji. Makampuni yanayo test ubora wa simu wamekuja na jibu kuwa Samsung s7 inaingiza maji na mtu yyte asijaribu hilo zoezi.

Tecno kama unavyojua ni brand ya afrika chini ya mchina na changamoto zipo hasa upande wa majina huwa inapoteza majina na ukiligundua hilo unaizima na kuwasha tena na majina ya narudi
Na ktk upande 4g naweza sema ndio simu za kwanza ktk matoleo ya bei nafuu kabisa.
Mwisho kiukweli sokoni tecno wanafanya vizuri sana kulinganisha na samsung, Huawei na hao wengine.
nimekusoma mzaziii
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom