Snrmoudy
JF-Expert Member
- Jul 6, 2016
- 285
- 177
- Thread starter
- #61
🙂🙂🙂🙂Maelezo meeeengi lakini mwisho umerudi kule kule kaka umetaja tatizo la simu.
Sasa hiyo S7 kuingia maji ni tatizo la simu?
Mfano ukiinunua hiyo simu wewe utaathirika vipi na hilo tatizo la kutoingia maji?
Rudi kwenye point nimenunua C5 nakutana na tatizo la simu kupoteza majina hadi nizime ni washe ndio niwezi kuitumia, kati ya hizo simu mbili ipi inatatizo?