Ufafanuzi zaidi unahitajika kuhusu Tecno Camon C5

Kiiukweli tecno wala si nzuri wengi sana wanalalamika.
Fatilia hata page yao facebook wengi wanaokomenti hulalamika hasa hujizima. Zingine haziingii chagi hadi uizime kwanza.
Kiukweli zinasumbua na nimeshuhudia kwa watu zaidi ya watano.

Simu nzuri labda iphone, nokia, huawei na lenovo. Na sumsung
 
Samsung,nokia na iPhone
Nakubaliana nawe
Ila lenovo na huawei ni vimeo vilevile

Napenda samsung tatito lake
Lipo kwenye Random Access Memory yaan RAM yake huwa ndogo ukiringanisha na Tecno
Pia simu nying za samsung hazina 4g
Zilizo kuwa nazo ni chache
 
Kizuri gharama wengi tunakimbilia tecno bei ndogo rom kubwa na ram kubwa.
But lazima ziwe vimeo.
Me binafsi sikushauri ununue tecno.
Bola hizo zingine zinadumu. Hazisumbui sumbui. Jalibu labda sony na htc nazo bei ndo mbaya balaa
 
Afu we mbaaaya[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom