msafiri.razaro
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 1,239
- 731
Wale wenye jamaa magerezani, kama mahabusu watumie fursa za kupata data through wao.Tupe jina lake la kweli inaonyesha unajua sana eneo hilo
Wale wenye jamaa magerezani, kama mahabusu watumie fursa za kupata data through wao.Tupe jina lake la kweli inaonyesha unajua sana eneo hilo
mama porojo unajua usalama wa taifa wana sura nyingi kutegemeana na kazi aliyo pewa, anaweza ku mkenya, sheikh, padri, muuza magazeti, kichaa? malaya, mlevi anashinda bar toka asubuhi mpaka jioni, hujui vijisenti vya kunywa anapata wapi, mimi ninakumbuka nilivyo kuwa nakua kuna jamaa alikuwa anauza maembe kwa biskeli, anapita maeneo posh lakini yule alikuwa kazini na wapo wengine wauza madafu, machungwa, magazeti nk, kitu kikubwa anachotakiwa kufanya ni kupata taarifa za kipelelezi.wengine ni mawaziri, mabalozi , makatibu wakuu, wakurugenzi wa mashirika.subira yavuta heri speculatins zitakuwa nyingi ili mradi kuanzisha thread kutokana na lile tunalofikiri kichwani.
haingii akilini kwamba mtu akiwa kama kichaa na ambaye hakuonyeshwa na TV au kapelekewa kimya kimya mahakamani ni Usalama wa Taifa.
Je mambo matatu tu kwamba alikwenda kanisani kama kichaa, hakuonyeshwa na Tv na kapelekwa kimya kimya mahakamani yanatosha kusema ni mtu wa TISS.
Ni wangapi wanapita kwenye njia hiyo hadi mahakamani hatujasema ni Usalama wa taifa???
mama porojo unajua usalama wa taifa wana sura nyingi kutegemeana na kazi aliyo pewa, anaweza ku mkenya, sheikh, padri, muuza magazeti, kichaa? malaya, mlevi anashinda bar toka asubuhi mpaka jioni, hujui vijisenti vya kunywa anapata wapi, mimi ninakumbuka nilivyo kuwa nakua kuna jamaa alikuwa anauza maembe kwa biskeli, anapita maeneo posh lakini yule alikuwa kazini na wapo wengine wauza madafu, machungwa, magazeti nk, kitu kikubwa anachotakiwa kufanya ni kupata taarifa za kipelelezi.wengine ni mawaziri, mabalozi , makatibu wakuu, wakurugenzi wa mashirika.
jambo refu sana hili yangu macho tuuu na masikio na keybod yangu
jamani tuwe waelewa,picha za mtuhumiwa si ruksa kuziangalia wala kuzizungumzia kwani swala lake lipo mahakamani
Suala sio kama unavyojaribu kupotosha Mama Porojo, suala ni kwamba huyu mtu anatambulika sana na aliyesema hivyo ni askari polisi wa upelelezi au CID. Au nikupe mfano, miaka ya 1990 mwisho waliwahi kuja vichaa wawili wakitaka kuombewa kanisani kwa Kakobe. Kwasababu Mchungaji Kakobe ana roho wa Mungu aliwatambua na kuangizwa waingizwe ofisi za kuchungaji. Baada ya hapo aliwafokea kwamba mnaweza kumpleleza Mungu? Akawaambia naweza kuomba sasa hivi mkafa. Wale jamaa walianza kutetemeka na kichaa kiliwaisha hapohapo, na alipowaambia wapotee mara moja walikimbia bila ya kuwa na kichaa wala nini. Kwa hiyo hizo ni mbinu zao wanazotumia
Je mambo matatu tu kwamba alikwenda kanisani kama kichaa, hakuonyeshwa na Tv na kapelekwa kimya kimya mahakamani yanatosha kusema ni mtu wa TISS.
Ni wangapi wanapita kwenye njia hiyo hadi mahakamani hatujasema ni Usalama wa taifa???
Hapana siamini kama usalama wa taifa wanaweza kuuzana wenyewe kwa wenyewe na isitoshe si tulishatajiwa jina la huyu mtu na anatokea wapi...TISS hata siku moja hawashtakiana lasivyo ungekuta wengi wao tayari wako jela
haya mambo ya kutoongelea suala fulani kisa lipo mahakamani ni upuuzi mkubwa sana...,
Mkuu umenichekesha sana!kumbe na wenyewe wanaogopa kufae!dah
Kazi ya usalama wa taifa si kulinda taifa kama walivyozoea kudanganya mazumbukoko,kaszi ya usalama ni kulinda status quo.Lakini wajue kwamba some of us are very inteligent people,tunaweza kuchambua kati ya pumba na mchele.Wanachofanya wao sasa ni upwagu.
. Hatuna mahakama! Ni genge la walaji tu wanaofunga watu wasiona uwezo kifedha....nyambaff..zao! .Jina lililoko mahakamani ni lile tulilotajiwa sijui nani Gitu Muhindi (sijui kwa nini hawakusema mkenya?). Jina lake la ukweli haliko mahakamani. Kwa maana hii si ajabu hata hukumu ikitolewa itakuwa geresha tu na atakwenda jela mtu mwingine tu...that is, assuming huyo mtu kweli yupo na amepelekwa mahakamani kama tunavyoambiwa.