Ufafanuzi wa Mch. Gwajima Kuhusu Mkenya wa Dr. Ulimboka

jina liko mahakamani pia, haitakiwi kuzungumzwa nje ya mahakama!

Jina lililoko mahakamani ni lile tulilotajiwa sijui nani Gitu Muhindi (sijui kwa nini hawakusema mkenya?). Jina lake la ukweli haliko mahakamani. Kwa maana hii si ajabu hata hukumu ikitolewa itakuwa geresha tu na atakwenda jela mtu mwingine tu...that is, assuming huyo mtu kweli yupo na amepelekwa mahakamani kama tunavyoambiwa.
 
Hebu mwombe huyo CID akupatie jina lake huyo mwanausalama mkenya Gitu Muhindi aliyeshukiwa na roho ya upako wa Gwajima hivi karibuni. Ikiwezekana atafute na picha yake utuwekee humu ndani. Kama anajulikana sana kama ulivyosema (according to your source), lazima kutakuwa na picha yake walau moja hapa au pale katika maisha yake ya kawaida au ya kazi kabla ya kuanza LEADERS CLUB-MABWEPANDE MISSION. Tukiwa na picha yake, basi hata wale walinzi wa kanisa la Ufufuo na Uzima pamoja na Dr. Ulimboka mwenyewe watatusaidia kwenye 'gwaride la utambuzi' kujua kama mtu huyo ndiye au la!
Sidhani kama jamaa anaweza kukubali kufanya hayo mnayotaka maana kituo chake ni pale Central ofisini kwa Kova, nahisi akianza kutafuta hayo anaweza kushutukiwa. Lakini hata hii aliyoitoa ikiwa publicised itatosha tu kuwaonesha serikali na mawakala wao vyombo vya usalama kwamba siku ya kufa nyani imefika, kwa hiyo kila mti wanaoushika unateleza tu
 
subira yavuta heri speculatins zitakuwa nyingi ili mradi kuanzisha thread kutokana na lile tunalofikiri kichwani.

haingii akilini kwamba mtu akiwa kama kichaa na ambaye hakuonyeshwa na TV au kapelekewa kimya kimya mahakamani ni Usalama wa Taifa.
 
Je mambo matatu tu kwamba alikwenda kanisani kama kichaa, hakuonyeshwa na Tv na kapelekwa kimya kimya mahakamani yanatosha kusema ni mtu wa TISS.

Ni wangapi wanapita kwenye njia hiyo hadi mahakamani hatujasema ni Usalama wa taifa???
 
Hii imetoka kwa askari polisi wa upelelezi yaani CID, kuwa jamaa aliyekamatwa akidaiwa kwenda kutubu kanisa la ufufuo na uzima ni ofisa wa usalama wa taifa anajulikana sana. Na ndiyo maana mpaka leo hajawahi kupigwa picha, na hata mahakamani alipelekwa kimya kimya, lengo likiwa ni lile alilolitaja jana Kova kwamba suala hilo lisiongelewe kwa sababu lipo mahakamani. WanaJF hii ni sana kweli huyo jamaa ni mtu wao

Kazi ya usalama wa taifa si kulinda taifa kama walivyozoea kudanganya mazumbukoko,kaszi ya usalama ni kulinda status quo.Lakini wajue kwamba some of us are very inteligent people,tunaweza kuchambua kati ya pumba na mchele.Wanachofanya wao sasa ni upwagu.
 
Jina lililoko mahakamani ni lile tulilotajiwa sijui nani Gitu Muhindi (sijui kwa nini hawakusema mkenya?). Jina lake la ukweli haliko mahakamani. Kwa maana hii si ajabu hata hukumu ikitolewa itakuwa geresha tu na atakwenda jela mtu mwingine tu...that is, assuming huyo mtu kweli yupo na amepelekwa mahakamani kama tunavyoambiwa.

Tupe jina lake la kweli inaonyesha unajua sana eneo hilo
 
Mahakamani ni sehemu ya kujificha kwa waovu!

Weka jina lake tumjadili kwa kina.
 
kwakweli mimi ni miongoni mwa wanaosoma thread zote katika ukwaa hili ila siku ingawa si mchangiaji sana ila leo nimevutika kuchangia kitu kimoja hapa.

Hivi jamani kwanini tunakubali akili zetu kuendeshwa kama feni? so long as iko on na kuna power basi itazunguka wee bila kuchoka. Zimekuja thread nyingi sana juu ya huyu mkenya lakin cha ajabu hakuna hata moja ambayo tumeonyeshwa picha ama kutajiwa jina sahiihi la muhusika. kibaya zaid mara tunaambiwa Gwajima kakakunusha habari hii.

sasa sisi kama GTs twapaswa kuelewa kwamba yatupasa tufike mahali tuwe na mtazamo mpana sana. siamini kweli miongoni mwa memba zaid ya laki mja akosekane mmoja mwwenye uwezo angalau wa kutuletea picha na jina kamili ili tumjue.

pia huyu Kova ukiangalia ka undani hana kosa manake kama anapokea oda kurtoka juu what do you expect? sitegemei Kova aje atusmiulie mapungufu ya serkali wala atuambie mipango ya serkali. so to me ifike mahali kwamba unazo evidence zote ndipo uanzishe uzi
 
Jina lililoko mahakamani ni lile tulilotajiwa sijui nani Gitu Muhindi (sijui kwa nini hawakusema mkenya?). Jina lake la ukweli haliko mahakamani. Kwa maana hii si ajabu hata hukumu ikitolewa itakuwa geresha tu na atakwenda jela mtu mwingine tu...that is, assuming huyo mtu kweli yupo na amepelekwa mahakamani kama tunavyoambiwa.

Yaani mpaka Dr Ulimboka arejee tutaambiwa mengi! Kaanza Kova bado Chagonja na Said Mwema na huenda na Jack Zoka atatuambia kitu nyie subirini.
 
Kazi ya usalama wa taifa si kulinda taifa kama walivyozoea kudanganya mazumbukoko,kaszi ya usalama ni kulinda status quo.Lakini wajue kwamba some of us are very inteligent people,tunaweza kuchambua kati ya pumba na mchele.Wanachofanya wao sasa ni upwagu.[/QUOTE]

Na pia kumlinda Raisi
 
subira yavuta heri speculatins zitakuwa nyingi ili mradi kuanzisha thread kutokana na lile tunalofikiri kichwani.

haingii akilini kwamba mtu akiwa kama kichaa na ambaye hakuonyeshwa na TV au kapelekewa kimya kimya mahakamani ni Usalama wa Taifa.
Suala sio kama unavyojaribu kupotosha Mama Porojo, suala ni kwamba huyu mtu anatambulika sana na aliyesema hivyo ni askari polisi wa upelelezi au CID. Au nikupe mfano, miaka ya 1990 mwisho waliwahi kuja vichaa wawili wakitaka kuombewa kanisani kwa Kakobe. Kwasababu Mchungaji Kakobe ana roho wa Mungu aliwatambua na kuangizwa waingizwe ofisi za kuchungaji. Baada ya hapo aliwafokea kwamba mnaweza kumpleleza Mungu? Akawaambia naweza kuomba sasa hivi mkafa. Wale jamaa walianza kutetemeka na kichaa kiliwaisha hapohapo, na alipowaambia wapotee mara moja walikimbia bila ya kuwa na kichaa wala nini. Kwa hiyo hizo ni mbinu zao wanazotumia
 
Je mambo matatu tu kwamba alikwenda kanisani kama kichaa, hakuonyeshwa na Tv na kapelekwa kimya kimya mahakamani yanatosha kusema ni mtu wa TISS.

Ni wangapi wanapita kwenye njia hiyo hadi mahakamani hatujasema ni Usalama wa taifa???

Hayo hayo matatu, tosha kabisa! Just tell me ni jambazi gani nchi alipelekwa mahakamani this way without much publicity? Kibaka tu mkwapuzi wa simu na mlevi muuza chang'aa ataonyeshwa kwenye tv,why not the 'killer' of our Doctors?
 
Back
Top Bottom