Ufafanuzi wa Mch. Gwajima Kuhusu Mkenya wa Dr. Ulimboka

Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
37,420
2,000
Unaweza kudhani suala la ulimboka ni big issue sana , kuna watu nasikia walitaka baraza la usalama la umoja wa mataifa lijadili suala la ULIMBOKA,
UN SECURITY COUNCIL WAKASEMA HAWANA MDA WA KUCHEZEA.
Sasa wandugu hii issue ya ulimboka isiwe sasa ndo tumekua kama kasuku au tape recorder.
Badilisheni CD,kuna yule albino nae aliuliwa siku hizohizo alizopigwa ulimboka.hebu Nae tumjadili huyo mlemavu wa ngozi.
Praise the Lord..
 
Mkirindi

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
6,459
2,000
Kuna ukweli gani , ya maneno haya, hebu tusiwafanye wenzetu wapumbavu. kumtuhumu mwenzao anayejulikana na kila mtu. Hiyo ni below the belt. Tuache kupeana habari sizizo na msingi wa uhakika. Na huyo polisi aliyekueleza hafai kabisa na wala usimuamini.

Unajkua hii inakua fitina ambayo tusipoangalia itawatenganisha watanzania vibaya.
 
mito

JF-Expert Member
Jun 20, 2011
9,626
2,000
Hii imetoka kwa askari polisi wa upelelezi yaani CID, kuwa jamaa aliyekamatwa akidaiwa kwenda kutubu kanisa la ufufuo na uzima ni ofisa wa usalama wa taifa anajulikana sana. Na ndiyo maana mpaka leo hajawahi kupigwa picha, na hata mahakamani alipelekwa kimya kimya, lengo likiwa ni lile alilolitaja jana Kova kwamba suala hilo lisiongelewe kwa sababu lipo mahakamani. WanaJF hii ni sana kweli huyo jamaa ni mtu wao

Mmmh siamini kama ni ofisa wa usalama wa taifa, ingekuwa hivyo hata asingekamatwa
 
Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
37,420
2,000
Watu wanatunga katiba,watu mmekalia ulimboka ,ulimboka.by the time you wake up katiba kwisha andikwa tayari.AM OUT OF THIS THREAD
 
Michael Scofield

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
1,225
1,195
Huyo mkenya atahukumiwa fasta kabla hata Dr Ulimboka ajatua kutoka kwa Zulu, kwani atakiri makosa yote, then atakula mvua, Dr akirudi ataambiwa tulia aliekutesa tayari kashahukumiwa na jalada limefungwa.
Hapo kazi ya Usalama wa Taifa inakuwa ishakamilika. na kamwe mtuhumiwa hatoonyeshwa kwenye luninga wala magazeti.
Tusubili na tuone.
 
Azipa

JF-Expert Member
Mar 19, 2012
1,071
1,225
kwakweli mimi ni miongoni mwa wanaosoma thread zote katika ukwaa hili ila siku ingawa si mchangiaji sana ila leo nimevutika kuchangia kitu kimoja hapa.

Hivi jamani kwanini tunakubali akili zetu kuendeshwa kama feni? so long as iko on na kuna power basi itazunguka wee bila kuchoka. Zimekuja thread nyingi sana juu ya huyu mkenya lakin cha ajabu hakuna hata moja ambayo tumeonyeshwa picha ama kutajiwa jina sahiihi la muhusika. kibaya zaid mara tunaambiwa Gwajima kakakunusha habari hii.

sasa sisi kama GTs twapaswa kuelewa kwamba yatupasa tufike mahali tuwe na mtazamo mpana sana. siamini kweli miongoni mwa memba zaid ya laki mja akosekane mmoja mwwenye uwezo angalau wa kutuletea picha na jina kamili ili tumjue.

pia huyu Kova ukiangalia ka undani hana kosa manake kama anapokea oda kurtoka juu what do you expect? sitegemei Kova aje atusmiulie mapungufu ya serkali wala atuambie mipango ya serkali. so to me ifike mahali kwamba unazo evidence zote ndipo uanzishe uzi
Mbona picha tunazo tayari. Tunasuburi tu tuone janja ya Kova.
 
Utotole

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,608
2,000
Mkuu umenichekesha sana!kumbe na wenyewe wanaogopa kufae!dah

Wanaweza kuwa wana uzoefu wa kuua kwa risasi, vitako vya bunduki, ngumi, mateke, sumu n.k.; lakini likija suala kama hilo la kufa kwa nguvu za Mungu ambazo wanaamini hawawezi kujikinga nazo kama zikiteremka, kwa nini wasiogope nao bado wanapnda kuendelea kula hizo fedha walizopewa kuigizia ukichaa?
 
Nyanya mbichi

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
3,697
2,000
"tumefikia hapa

kwa udhaifu wa rais

kwa upuuzi wa CCM

kwa uzembe wa wabunge

na jikujipendekeza kwa

USALAMA wa TAIFA kwa wanasiasa"
 
Utotole

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,608
2,000
Mmmh siamini kama ni ofisa wa usalama wa taifa, ingekuwa hivyo hata asingekamatwa

Anaweza kuwa miongoni mwa wale expendable officers, au ni mhalifu flan aliyekuwa na kesi kubwa sana kama inayostahili hukumu ya kifo sasa akiambiwa 'anunue' kesi ya utekaji nyara na utesaji kwa ahadi kuwa sentence yake itakuwa reduced to, say, miaka 10, parrole-eligible anachangamkia tender chap chap!
 
magosha

JF-Expert Member
Apr 25, 2012
689
225
yule kichaa wa kova ni geresha tu za serikali lakini walishakwama kwani kanisa lilishawakana.
 
Hofstede

JF-Expert Member
Jul 15, 2007
3,578
0
ulimboka nae atakuja na single yake.

Mkuu what do you mean by single yake?. Kuwa anadanganya alipigwa na kuteswa na kung'olewa kucha au?. It is unfair to place the victim in the same standard as perpetrators. Ulimboka bado ana macho yake na akili zake ni wazi kuwa anawatambua walio mfanyizia na hakuna cha single!. Unaposema single maana yake ni msanii, watoto wa mjini huita muongo au mtunzi wa mambo. and this is too low
 
nguluvisonzo

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
515
225
kwakweli mimi ni miongoni mwa wanaosoma thread zote katika ukwaa hili ila siku ingawa si mchangiaji sana ila leo nimevutika kuchangia kitu kimoja hapa.

Hivi jamani kwanini tunakubali akili zetu kuendeshwa kama feni? so long as iko on na kuna power basi itazunguka wee bila kuchoka. Zimekuja thread nyingi sana juu ya huyu mkenya lakin cha ajabu hakuna hata moja ambayo tumeonyeshwa picha ama kutajiwa jina sahiihi la muhusika. kibaya zaid mara tunaambiwa Gwajima kakakunusha habari hii.

sasa sisi kama GTs twapaswa kuelewa kwamba yatupasa tufike mahali tuwe na mtazamo mpana sana. siamini kweli miongoni mwa memba zaid ya laki mja akosekane mmoja mwwenye uwezo angalau wa kutuletea picha na jina kamili ili tumjue.

pia huyu Kova ukiangalia ka undani hana kosa manake kama anapokea oda kurtoka juu what do you expect? sitegemei Kova aje atusmiulie mapungufu ya serkali wala atuambie mipango ya serkali. so to me ifike mahali kwamba unazo evidence zote ndipo uanzishe uzi

nshangaa namna mnavyopoteza resources zenu kwa kujadili kitu ambacho hakipo suala hili ni kanyaboya.
 
Balozi Chriss

Senior Member
Jan 21, 2011
154
0
Ndipo ukweli aliousema Mh LISU kuwa uteuzi wa viongozi wa mahakama umejaa ubabaishaji sana.MAHAKAMA hazina ukweli na uwazi.VIVA Tanzania,VIVA T 2015 CDM
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom