Ufafanuzi wa Mch. Gwajima Kuhusu Mkenya wa Dr. Ulimboka

subira yavuta heri speculatins zitakuwa nyingi ili mradi kuanzisha thread kutokana na lile tunalofikiri kichwani.

haingii akilini kwamba mtu akiwa kama kichaa na ambaye hakuonyeshwa na TV au kapelekewa kimya kimya mahakamani ni Usalama wa Taifa.
mama porojo unajua usalama wa taifa wana sura nyingi kutegemeana na kazi aliyo pewa, anaweza ku mkenya, sheikh, padri, muuza magazeti, kichaa? malaya, mlevi anashinda bar toka asubuhi mpaka jioni, hujui vijisenti vya kunywa anapata wapi, mimi ninakumbuka nilivyo kuwa nakua kuna jamaa alikuwa anauza maembe kwa biskeli, anapita maeneo posh lakini yule alikuwa kazini na wapo wengine wauza madafu, machungwa, magazeti nk, kitu kikubwa anachotakiwa kufanya ni kupata taarifa za kipelelezi.wengine ni mawaziri, mabalozi , makatibu wakuu, wakurugenzi wa mashirika.
 
Je mambo matatu tu kwamba alikwenda kanisani kama kichaa, hakuonyeshwa na Tv na kapelekwa kimya kimya mahakamani yanatosha kusema ni mtu wa TISS.

Ni wangapi wanapita kwenye njia hiyo hadi mahakamani hatujasema ni Usalama wa taifa???

Acha Porojo!
 
mama porojo unajua usalama wa taifa wana sura nyingi kutegemeana na kazi aliyo pewa, anaweza ku mkenya, sheikh, padri, muuza magazeti, kichaa? malaya, mlevi anashinda bar toka asubuhi mpaka jioni, hujui vijisenti vya kunywa anapata wapi, mimi ninakumbuka nilivyo kuwa nakua kuna jamaa alikuwa anauza maembe kwa biskeli, anapita maeneo posh lakini yule alikuwa kazini na wapo wengine wauza madafu, machungwa, magazeti nk, kitu kikubwa anachotakiwa kufanya ni kupata taarifa za kipelelezi.wengine ni mawaziri, mabalozi , makatibu wakuu, wakurugenzi wa mashirika.

Mkuu siyo kwamba mama porojo hajui ulichoandika anajua ila kazi yake ni kupindisha ukweli
 
Hivi bado Kova anaamini kuna mtanzania anaamini uongo wake? Asifikiri uongo ukirudiwarudiwa sana watu wataamini kuwa ni ukweli; nilimcheka sana jana alipokuwa akiongea huku akipepesa pepesa macho, kumbe ndani yake roho wa Mungu inamsuta jinsi anavyowaambia watanzania uongo.
 
Kova is an uninitiated coper. Hana hata ujanja wa mbuzi, maana mbuzi anakwepa gari barabarani. Kova hawezi. Amewaaibisha TISS.

Shame on us all !!!!!!!!!!!!!!!
 
jambo refu sana hili yangu macho tuuu na masikio na keybod yangu

Kwa mtazamo wangu ni kwamba...unapoona NCHI yeyote duniani....inapofikia mahala, aidha Jeshi au mamlaka za ulinzi na usalama ndo ZINAISEMEA SERIKALI...jua wazi tuko karibu kutawaliwa kijeshi.

Hii ina maana kuna muda hawa wakina Kova na Shimbo watajiuliza......"""matatizo yao (wanasiasa) ninawasovia mimi...then kwanini nisishikilie dola yote mi ndo niwe mtendaji na msemaji"" Tusubili
 
Hapana siamini kama usalama wa taifa wanaweza kuuzana wenyewe kwa wenyewe na isitoshe si tulishatajiwa jina la huyu mtu na anatokea wapi...TISS hata siku moja hawashtakiana lasivyo ungekuta wengi wao tayari wako jela
 
mpaka huu mwaka uishe tutasikia mengi....Ila mwisho wa Siku mkweli na Mwongo atajulikana.
 
Suala sio kama unavyojaribu kupotosha Mama Porojo, suala ni kwamba huyu mtu anatambulika sana na aliyesema hivyo ni askari polisi wa upelelezi au CID. Au nikupe mfano, miaka ya 1990 mwisho waliwahi kuja vichaa wawili wakitaka kuombewa kanisani kwa Kakobe. Kwasababu Mchungaji Kakobe ana roho wa Mungu aliwatambua na kuangizwa waingizwe ofisi za kuchungaji. Baada ya hapo aliwafokea kwamba mnaweza kumpleleza Mungu? Akawaambia naweza kuomba sasa hivi mkafa. Wale jamaa walianza kutetemeka na kichaa kiliwaisha hapohapo, na alipowaambia wapotee mara moja walikimbia bila ya kuwa na kichaa wala nini. Kwa hiyo hizo ni mbinu zao wanazotumia

Mkuu umenichekesha sana!kumbe na wenyewe wanaogopa kufae!dah
 
Je mambo matatu tu kwamba alikwenda kanisani kama kichaa, hakuonyeshwa na Tv na kapelekwa kimya kimya mahakamani yanatosha kusema ni mtu wa TISS.

Ni wangapi wanapita kwenye njia hiyo hadi mahakamani hatujasema ni Usalama wa taifa???

Weak and fanatic ARGUMENT!!!!! sometime kukaa KIMYA ni Busara you're trying to pre-empty, your empty mind here!!!!!!.
 
Hapana siamini kama usalama wa taifa wanaweza kuuzana wenyewe kwa wenyewe na isitoshe si tulishatajiwa jina la huyu mtu na anatokea wapi...TISS hata siku moja hawashtakiana lasivyo ungekuta wengi wao tayari wako jela

je unaamin kuwa mtuhumiwa wa kova yupo jela?????
 
haya mambo ya kutoongelea suala fulani kisa lipo mahakamani ni upuuzi mkubwa sana...,

Mbona JK aliongelea suala la madaktari na Dr. Uli wakati kesi iko mahakama ya kazi na Pinda na Makinda wakisema haliwezi kujadiliwa bungeni kwa sababu hiyo hiyo? Kova ameongelea pia mgomo wa madaktari na Dr. Uli likiwa mahakamani. Kinachoonekana sasa mahakama imekuwa kimbilio na kichaka kikubwa kwa maovu yote ya serikali. Sasa huyu Mkenya (Usalama wa CCM) amefikishwa lini mahakamani? Na kama ni kweli kwanini afikishwe kimya kimya? Hii mipango ya kipuuzi ya akina Kova haitafanikiwa kamwe kwani ukweli unajulikana kwamba serikali kupitia usalama wa CCM unahusika asilimia 100% kwa tukio la Dr Uli. Bahati nzuri sana Dr. Uli anaendelea vizuri na atakuja kuweka wazi kila kitu!! Shindwa kabisa Shetani Kova na majambazi wenzako wa CCM.
 
Hii thread ni kweli..... huyo Mkenya ni UWT haswa sbb ni hizi...

1: Hajapigwa picha.....
2: Mahakamani wala watu hawakumuona kapelekwa
kimya kimya while this is public issue....
3: Halafu kakamatwa eti muda tu then juzi ndio Kova
katangaza bila mhalifu kuonyeshwa....

Hii movie ya Dr. Uli inawaaibisha kweli.... kila scene wanayojaribu wanafeli vibaya sana.... Oooohhh Mungu wa Abraham, Isaka & Jacob yupo macho na wahusika watatajana, Dr. Uli huyo karibu anakuja
 
Kazi ya usalama wa taifa si kulinda taifa kama walivyozoea kudanganya mazumbukoko,kaszi ya usalama ni kulinda status quo.Lakini wajue kwamba some of us are very inteligent people,tunaweza kuchambua kati ya pumba na mchele.Wanachofanya wao sasa ni upwagu.

huko state kuna ,homeland security,NATIONAL SECURITY AGENCY,FBI,SECRET SERVICE,C.I.A,POLICE DEPARTMENTS na mashirika mengi ambayo yako commited kuhakisha kunakuwepo na usalama wa nchi pamoja na raia zake.
Taasisi hizi wanatumia high teknolojia na vifaa vya kisasa kabisa vya kupambana na uhalifu .LAKNI WATU BADO WANAUAWA ,WANATEKWA NA UHALIFU MWINGINE KIBAO.
Na hii nchi si kisiwa.people will always commit crime.
Utalaumu weee but that is pure truth
 
Jina lililoko mahakamani ni lile tulilotajiwa sijui nani Gitu Muhindi (sijui kwa nini hawakusema mkenya?). Jina lake la ukweli haliko mahakamani. Kwa maana hii si ajabu hata hukumu ikitolewa itakuwa geresha tu na atakwenda jela mtu mwingine tu...that is, assuming huyo mtu kweli yupo na amepelekwa mahakamani kama tunavyoambiwa.
. Hatuna mahakama! Ni genge la walaji tu wanaofunga watu wasiona uwezo kifedha....nyambaff..zao! .
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom