Wizara ya Afya Tanzania
Official Account
- Oct 1, 2020
- 58
- 124
Kwa mujibu wa taarifa hapo juu, Gloves sio lazima kuvaliwa wakati wa kuchoma chanjo ya COVID-19.
Hivyo tunapenda kuwatoa hofu wananchi kuwa Mhudumu aliyewachoma chanjo Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na viongozi wengine alikuwa anatekeleza majukumu yake kwa kufuata taratibu zote ikiwemo kusafisha mikono yake kwa kutumia vipukusi kabla na baada ya kutoa huduma...
Unakumbuka awamu ilopita ilisemwa nini juu ya maswala ya chanjo na matumizi ya barakoa?Wizara ya Afya Tanzania Askofu gwajima awajibishwe au aongee kwa hadhara kwamba ni salama amepotosha mamillioni ya watanzania watu wanaogopa chanjo sasa kuliko hata corona yenywe
Hapa jeKwa mujibu wa taarifa hapo juu, Gloves sio lazima kuvaliwa wakati wa kuchoma chanjo ya COVID-19.