#COVID19 Ufafanuzi: Muuguzi aliyemchoma chanjo Mhe. Rais Samia na viongozi wengine kutovaa mipira ya mikono (gloves)

Ukiona nguvu kuubwa inatumika kufafanua Jambo

Ujue Kuna kanuni zimekiukwa ila wanataka kuuaminisha umma kuwa hakuna makosa

Sheria zipo wazi GLOVES n lazima pale unapohudumu suala lolote linalohusu damu Kwan hatujui damu hyo inatatizo gani

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu zangu!

Kauli hii ya wizara yetu ya afya imenitoa kamasi, kujifunza hakuna mwisho.
IMG_2098.jpg

IMG_2096.jpg

IMG_2097.jpg

Hebu tuelimishane tafadhali.

Ncha Kali.
 
Shida ni kuwa watanzania huwa mnajifanya wajuaji sana...mtoa mada unazijua principals za injection?...unazijua standard precautions and infection prevention and control anazotakiwa kuzifua mtoa huduma yoyote kama vile kusafisha kidonda ama kuchoma sindano.........PUNGUZENI UJUAJI KAMA WEWE NI DEREVA KOMAA NA TAALUMA YAKO ....ULIISHIA DARASA LA SABA HIVYO HIVYO KOMAA NA UNACHOKIAMINI...NDIO MAANA WANASIASA WANAFANYA YALE WANAYOYATAKA WAO BILA KUWASHIRIKISHA KWA SABABU WAMEISHAONA WATANZANIA WENGI WANAJIFANYA WAJUAJI KUMBE NI MBUMBU MZUNGU WA RELI...
 
Hili ni swali la ufahamu kwa wenye akili timamu, ni nani amejifanya mjuaji hapa?

Pumbavu.
 
Kama una uhakika na afya ya unayemuhudumia gloves ni za nini ?

Uhakika wa afya ya mtu unaupata wapi? Je, na yeye ana uhakika na afya yako?

Ukiachana na huyo Rais, ukiachana hata na hiyo chanjo…. kumhudumia mgonjwa bila bila gloves imeanza lini?
 
ushauri wangu kwa serikali na yule aliyemchoma mama chanjo! akubali tu kuwa amekosea na wa kumkumbusha hakuwepo, sasa wa akili za kisiasa za bongo wanaweza kujifanya gloves sio lazima na kupelekea watu kuchomwa bila precaution
 
Nimeshangaa sana, hasa kwa tamko la wizara ya Afya kuwa eti gloves haziruhusiwi kwenye chanjo yoyote!

Uungwana wa kukiri makosa Na kurekebishana hatuna kabisa, sasa inatengenezwa hoja ionekane ni sahihi na salama.

Injection procedure ya wapi hii?
 
Uhakika wa afya ya mtu unaupata wapi? Je, na yeye ana uhakika na afya yako?

Ukiachana na huyo Rais, ukiachana hata na hiyo chanjo…. kumhudumia mgonjwa bila bila gloves imeanza lini?
Kwani mmelazimishwa mkachanjwe nyi mazumbukuku!!! Si endeleeni na msimamo wenu
 
Uhakika wa afya ya mtu unaupata wapi? Je, na yeye ana uhakika na afya yako?

Ukiachana na huyo Rais, ukiachana hata na hiyo chanjo…. kumhudumia mgonjwa bila bila gloves imeanza lini?
Siku hiyo aliwahudumia wangapi?
 
Siku hiyo aliwahudumia wangapi?

Ninahitajika kuhesabu wote? La hasha!

Japo hakuwa mchanjaji mmoja, walikuwa wengi na wote hawakuvaa gloves…. waliochanjwa pia ni wengi kuanzia Rais hadi Kigwangalla.

Rejea YouTube ilikuwa mubashara.
 
Back
Top Bottom