commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,957
Na wewe ni nani yake na shonza? Maana unaelekea kama ni shemeji yetu vile.Kwani we mwita ni nan ake wegesa, kwanin yy aloiba majina asije hapa kufafanua? Mwaka wenu huu kwakweli.

Ndugu wanaJF,
Nimelazimika kuanzisha thread hii kwa lengo moja tu la kutoa ufafanuzi juu ya upotoshwaji wa jina la mwenyekiti wa baraza la vijana Chadema unaofanywa na kundi la masalia kwa sababu maalum.
Mwishoni mwa mwaka jana TUNTEMEKE aliwahi kuibuka na madai kama haya kwamba John Heche anatumia cheti cha ndugu yake, na kwamba hakuwahi kusoma chuo kikuu cha mtakatifu augustino (SAUT) cha mwanza. Leo tena katika thread iliyoanzishwa na mwanamasalia aliyetimuliwa Chadema bi. Juliana Shonza amejitahidi sana kutumia jina la Wegesa Charles Suguta ama Wegesa Suguta.
Bila shaka ameamua kufanya hivyo kama muendelezo wa tuhuma walizozianzisha kundi la masalia kwa kutumia ID yao ya kundi ya Tuntemeke kama nilivyoeleza hapo mwanzo. Hili kundi la PM7 linataka kumuonyesha John Heche kwamba naye amegushi jina kama walivyo baadhi ya viongozi wakubwa huko ccm (wafadhili wao). Mathalani imetajwa mara kadhaa kwamba miongoni mwa watu wanaotumia majina ya kugushi huko ccm ni pamoja na Naibu katibu mkuu bara Bw. Mwigulu Nchemba (Lameck Madelu?) na Dr. HKigwangalla (Saidi Bagaile?) ambao wanadaiwa kutumia majina ya bandia.
Sasa nirudi kwenye hoja ya msingi. Kawaida sisi wakurya hata kama umezaliwa mjini ama katika mazingira ya mbali na nyumbani/kijijini lazima unapewa jina la kikurya, kwahiyo kwa wakurya wengi wanakuwa na majina mawili ama matatu lakini yote yakiwa ya mtu mmoja.
Kwa mfano mwalimu Nyerere, majina yake ni Julius Kambarage Nyerere(Julius jina la kikristo). Kuna mwanae Charles Makongoro Nyerere (Charles jina la kikristo), kuna Dr. James Mnanka Wanyancha-mwenyekiti wa Road Fund (James jina la kikristo), Marehemu Jenerali Ernest Mwita Kyaro (Ernest jina la kikristo), Jenerali mstaafu George Marwa Waitara (George jina la kikristo. Nadhani kwa kutaja hao wachache mnaweza kuona scenario ya majina ya kikurya, naamini kuna makabila mengine yenye utamaduni kama wa kwetu.
Sasa nije kwa John Heche Suguta:
Jina lake la kikurya ni Wegesa na baba yake mzazi anaitwa Heche Suguta. Wegesa Heche Suguta jina lake la kikristo ni John, ndipo sasa unapata John Heche Suguta. Jina la kikristo la baba yake John Heche (Heche Suguta) ni Charles, ndipo sasa unapata Charles Heche Suguta.
Katika vyeti vyake vya shule John Heche anatumia jina la Wegesa Charles Suguta (Wegesa Suguta). Aliandikishwa shule kwa jina la Kikurya na akaendelea kulitumia katika harakati zake zote za kishule. Ndugu zake na John Heche ni pamoja na Bw.Manchare Heche Suguta (Mwanasheria NEMC), Chacha Heche Suguta (M/Kiti Bavicha Tarime) na Mome Heche Suguta (Tarime) kwa kutaja wachache ambao angalau wanafahamika na watu wengi.
Nimalizie kwa kuwajulisha masalia kwamba kama mnadhani mnaweza kumchafua Bw. John Heche kwa staili ya majina basi nawashauri msahau kwakuwa watu wote waliokua nae toka utotoni Tarime, shuleni alikosoma sekondari ya Bulima (O level), Musoma Alliance (A level), Bunda TTC na hatimaye SAUT Mwanza wanamfahamu sana John Heche kwa majina yote mawili.
John Heche aligombea na kushinda kiti cha udiwani Tarime mjini mwaka 2008 katika uchaguzi mdogo kufuatia kifo cha Chacha Wangwe, kwa kumshinda mbabe wa Tarime Bw. Peter Zakaria. Wakati huo alikuwa mwanafunzi wa chuo cha mtakatifu augustino (SAUT) Mwanza. Kama angelikuwa anatumia majina ya bandia ama majina ya mtu mwingine bila shaka hilo lisingejificha wakati wa kampeni za uchaguzi.
Baada ya kusema hayo nadhani nime-clear doubts zilizokuwa zimeanza kujitokeza kwa baadhi ya watu hapa JF.
Nawatakia jioni njema.
Tunashukuru Mkuu Mwita Maranya kwa ufafanuzi makini na wa hekima kubwa.
Masalia na Shetani wao,Chadema na Mungu wetu.

Pole mkuu naona unakula dona na maharage...
Mwita Maranya: Vipi yule John Heche Suguta ambaye kwa sasa anaitwa Manchare Suguta (Mwanasheria wa NEMC)? Alijiunga na JWTZ mwaka 2002 mwezi March tarehe 4 kwa mafunzo ya kijeshi nikiwa na maana kwamba alikuwa askari kamili mnamo tarehe 30.08.2002 baada ya kuhitimu mafunzo hayo na kula kiapo cha utii kule Kunduchi DSM. Baada ya hapo alipelekwa kikosi cha 42KJ Songea ambako alikaa kwa muda mrefu kidogo na kuacha jeshi kisha kuja chuo kikuu cha Tumaini DSM ambako alichukua shahada yake ya sheria. Kwa sasa ananichanganya sana kwani amebedili jina kutoka John Heche Suguta hadi kuwa Manchare Suguta. Huyu bwana hata Force number zake nadhani bado nazikumbuka.
Kama naongopa naomba Mwitamaranya anisahihishe na kama kuna mwenye ufafanuzi zaidi atujuze.
Peooooplesssss power
Ndugu wanaJF,
Nimelazimika kuanzisha thread hii kwa lengo moja tu la kutoa ufafanuzi juu ya upotoshwaji wa jina la mwenyekiti wa baraza la vijana Chadema unaofanywa na kundi la masalia kwa sababu maalum.
Mwishoni mwa mwaka jana TUNTEMEKE aliwahi kuibuka na madai kama haya kwamba John Heche anatumia cheti cha ndugu yake, na kwamba hakuwahi kusoma chuo kikuu cha mtakatifu augustino (SAUT) cha mwanza. Leo tena katika thread iliyoanzishwa na mwanamasalia aliyetimuliwa Chadema bi. Juliana Shonza amejitahidi sana kutumia jina la Wegesa Charles Suguta ama Wegesa Suguta.
Bila shaka ameamua kufanya hivyo kama muendelezo wa tuhuma walizozianzisha kundi la masalia kwa kutumia ID yao ya kundi ya Tuntemeke kama nilivyoeleza hapo mwanzo. Hili kundi la PM7 linataka kumuonyesha John Heche kwamba naye amegushi jina kama walivyo baadhi ya viongozi wakubwa huko ccm (wafadhili wao). Mathalani imetajwa mara kadhaa kwamba miongoni mwa watu wanaotumia majina ya kugushi huko ccm ni pamoja na Naibu katibu mkuu bara Bw. Mwigulu Nchemba (Lameck Madelu?) na Dr. HKigwangalla (Saidi Bagaile?) ambao wanadaiwa kutumia majina ya bandia.
Sasa nirudi kwenye hoja ya msingi. Kawaida sisi wakurya hata kama umezaliwa mjini ama katika mazingira ya mbali na nyumbani/kijijini lazima unapewa jina la kikurya, kwahiyo kwa wakurya wengi wanakuwa na majina mawili ama matatu lakini yote yakiwa ya mtu mmoja.
Kwa mfano mwalimu Nyerere, majina yake ni Julius Kambarage Nyerere(Julius jina la kikristo). Kuna mwanae Charles Makongoro Nyerere (Charles jina la kikristo), kuna Dr. James Mnanka Wanyancha-mwenyekiti wa Road Fund (James jina la kikristo), Marehemu Jenerali Ernest Mwita Kyaro (Ernest jina la kikristo), Jenerali mstaafu George Marwa Waitara (George jina la kikristo. Nadhani kwa kutaja hao wachache mnaweza kuona scenario ya majina ya kikurya, naamini kuna makabila mengine yenye utamaduni kama wa kwetu.
Sasa nije kwa John Heche Suguta:
Jina lake la kikurya ni Wegesa na baba yake mzazi anaitwa Heche Suguta. Wegesa Heche Suguta jina lake la kikristo ni John, ndipo sasa unapata John Heche Suguta. Jina la kikristo la baba yake John Heche (Heche Suguta) ni Charles, ndipo sasa unapata Charles Heche Suguta.
Katika vyeti vyake vya shule John Heche anatumia jina la Wegesa Charles Suguta (Wegesa Suguta). Aliandikishwa shule kwa jina la Kikurya na akaendelea kulitumia katika harakati zake zote za kishule. Ndugu zake na John Heche ni pamoja na Bw.Manchare Heche Suguta (Mwanasheria NEMC), Chacha Heche Suguta (M/Kiti Bavicha Tarime) na Mome Heche Suguta (Tarime) kwa kutaja wachache ambao angalau wanafahamika na watu wengi.
Nimalizie kwa kuwajulisha masalia kwamba kama mnadhani mnaweza kumchafua Bw. John Heche kwa staili ya majina basi nawashauri msahau kwakuwa watu wote waliokua nae toka utotoni Tarime, shuleni alikosoma sekondari ya Bulima (O level), Musoma Alliance (A level), Bunda TTC na hatimaye SAUT Mwanza wanamfahamu sana John Heche kwa majina yote mawili.
John Heche aligombea na kushinda kiti cha udiwani Tarime mjini mwaka 2008 katika uchaguzi mdogo kufuatia kifo cha Chacha Wangwe, kwa kumshinda mbabe wa Tarime Bw. Peter Zakaria. Wakati huo alikuwa mwanafunzi wa chuo cha mtakatifu augustino (SAUT) Mwanza. Kama angelikuwa anatumia majina ya bandia ama majina ya mtu mwingine bila shaka hilo lisingejificha wakati wa kampeni za uchaguzi.
Baada ya kusema hayo nadhani nime-clear doubts zilizokuwa zimeanza kujitokeza kwa baadhi ya watu hapa JF.
Nawatakia jioni njema.
Discuss issues not personalities, hata ukishamjua itasaidia nini hapa JF?Mwita Maranya: Vipi yule John Heche Suguta ambaye kwa sasa anaitwa Manchare Suguta (Mwanasheria wa NEMC)? Alijiunga na JWTZ mwaka 2002 mwezi March tarehe 4 kwa mafunzo ya kijeshi nikiwa na maana kwamba alikuwa askari kamili mnamo tarehe 30.08.2012 baada ya kuhitimu mafunzo hayo na kula kiapo cha utii kule Kunduchi DSM. Baada ya hapo alipelekwa kikosi cha 42KJ Songea ambako alikaa kwa muda mrefu kidogo na kuacha jeshi kisha kuja chuo kikuu cha Tumaini DSM ambako alichukua shahada yake ya sheria. Kwa sasa ananichanganya sana kwani amebedili jina kutoka John Heche Suguta hadi kuwa Manchare Suguta. Huyu bwana hata Force number zake nadhani bado nazikumbuka.
Kama naongopa naomba Mwitamaranya anisahihishe na kama kuna mwenye ufafanuzi zaidi atujuze.
Peooooplesssss power
Discuss issues not personalities, hata ukishamjua itasaidia nini hapa JF?
peleka utupu wako huko kwani ninini ambacho hukielewi hapo?ungekuwa uko TARIME kwa wanaume tungekutahiri!Kwani we mwita ni nan ake wegesa, kwanin yy aloiba majina asije hapa kufafanua? Mwaka wenu huu kwakweli.
Huyu bundi wa CHADEMA si mchezo....
Mkuu Osokoni Kuna issue hapa?
Ndugu sijakusoma vizuri tatizo lako,Kuna ubaya gan bi Shonza kumtaja ndugu heche kwa jina lake la asiliNiliposoma tu ile makala ya utetezi ya Bi Juliana Shoza huku nikijua ni msomi wa chuo kikuu nilihisi haraka sana ile kitu ya majina tofauti ya John Heche imepikwa, kama ilikua na ukweli wowote, mwandishi au mtoa shutuma akiwa ni msomi, nilitegemea angeonesha pia wapi huyu bwana ali Cook hayo majina, hadi mwisho wa makala yake sikuona then nikajua aidha hana ushahidi au kafanya makusudi kuposha jamii au alifanya vile ili John Heche mwenyewe aje ajibu na waanze kukosoa kwakusema ni wapi tulipokutumuhu kwamba unatumia jina la mtu? Bahati mbaya mtego wake umeferi vibaya tena, RIP kisiasa bi Juliana.
Mkuu AUTOMATIC iweke hiyo issue wazi tudiscuss!Mkuu Osokoni Kuna issue hapa?