Habarini wana jamvi!
Ufuatao ni ufafanuzi kuhusiana na baadhi ya mambo yaliyotokea kwenye bustani ya edeni.naomba kutoa angalizo la kuwa uchambuzi huu hauna lengo la kumfanya mtu yeyote aamini nitakayosema bali unaweza isoma kama taarifa tu.
Lengo lingine la uzi huu ni kutaka kuchokonoa siri iliopo katika kufanya mapenzi kwa maana ya uhusiano uliopokati ya mwili,roho na mwili wakataki wa kufanya mapenzi.so nitafurahi kama nitaulizwa maswali, kukosolewa na kuelimishwa pia.
Katika mada ya leo nitajikita kuzungumzia kuhusiana na miti miwili ambayo ilikuwapo katikati ya bustani ya edeni( purity state of human being) kwa maana mti wa uzima ( uti wa mgongo wa binadamu)na mti wa mema na mabaya(kufanya mapenzi).
kwa kuanza naomba niseme kuwa bustani ya edeni haikuwa bustani ambayo inaonekana au kushikika bali ni bustani ya kufikirika japo kulikuwa na seheme nchini Iraki (mesopotania) ambayo ilikuwa inaitwa edeni.kwa ufahamu wangu bustani ya edeni lilikuwa ni lugha ya fumbo ambayo ilikuwa inamaanisha hali ya usafi (purity state) na aina ya maisha ambayo binadamu tulikuwa nayo kabla ya kumuasi MUNGU.
Maandiko yanasema kuwa Adamu ndie alikuwa binadamu wa kwanza kuumbwa na kupitia Adamu akapatikana Eva kutokea kwenye ubavu wake. Adamu kimsingi hakuwa mtu kwa maana ya binadamu kama mimi na wewe bali alikuwa anawakilisha nguvu mbili za mapenzi(sexual energy) ambazo zinapatikana kwenye miili ya wanadamu na kutumika katika uumbaji..
Adamu huumaniisha nguvu ya kiume na eva humaanisha nguvu ya kike ambazo ni nguvu zitumikazo katika uumbaji. kwa maana hiyo adamu aliumbwa akiwa na nguvu mbili za uumbaji ambazo ni za kike na kiume na baada ya muda Mungu akazitenganisha na kuapata nguvu mbili tofauti katika miili tofauti na katika kipindi hiki ndo binadamu tukaumbwa katika miili ya nyama tuliyonayo.baadaya muda adamu na eva wakapewa maelekezo na kuambiwa kuwa wanaweza kula matunda yote isipokuwa tunda la mti wa kati.
Kumbuka kuwa katika Edeni kulikuwa na miti mingi tu bali miti iliozungumziwa ni miwili tu ambayo ni mti wa uzima( uti wa mgongo) na mti wa mema na mabaya( mapenzi)
adamu(mwanaume) na eva(mwanamke) waliruhusiwa kufurahia mti wa mema na mabaya (kufanya mapenzi)ila wakakatazwa kula tunda la mti huo(kufika kileleni/orgasim).
Mti wa mema na mabaya humaanisha kufanya mapenzi na tunda linalotokana na mti huo ambao walikatazwa wasile ni kufika kileleni au orgasim.kwa maana ya kawaida ni kua binadamu tuliruhusiwa kufanya mapenzi ila tukakatazwa kufanya orgasim.
Kwanini binadamu tulikatazwa kufanya orgasim?
Hapo zamani mapenzi yalikuwa yanafanyika katika mahekalu na kwa usimamizi wa malaika wa uumbaji huku binadamu tukipokea maelekezo kutoka kwa Mungu mana wakati wa kufanya mapenzi binadamu tunakuwa na sifa ya KIMUNGU ya uumbaji.so wakati tunafanya uumbaji ni lazima tupokee maelekezo kutoa kwa Mungu juu ya kufanya uumbaji huo.
Ili kuweza kuunganishwa na Mungu katika kitendo hicho na kuweza kupokea maelekezo kutoka kwake wakati wa uumbaji binadamu tunatakiwa tuwe katika hali ya ufahamu wa kiroho na ufahamu wa kimwili.ikitokea roho yetu kupoteza fahamu basi kunakuwa hakuna muunganiko kati yetu na Mungu so tunashindwa kupokea maelekezo wakati wa uumbaji na mwisho wa siku tunaumba kwa kutumia marifa ya kibinadamu na sio ya kimungu tena.
Orgasim ilikatazwa kwa sababu kuwa orgasim huwakilisha tamaa za mwili na hivyona kwa kusikiliza miili yetu hupelekea kutenganisha mwili na roho wakati wa kufanya mapenzi.orgasim hulenga kukamilisha taama za kimwili zaidi na kwa kuendekeza tamaa za kimwili tunakuwa tunakiuka kanuni za kiiumbaji.
Orgasim pia hupelekea uchovu wa roho na mwili na hali hii hupelekea mwili na roho kupoteza fahamu.roho ikipoteza fahamu basi kunakuwa hakuna njia nyingine ambayo MUngu huweza kuwasiliana na sisi. Mfano mzuri ni uchovu baada ya mtu kupata orgasim. Sasa uchovu huu si wa mwili tuu bali ni uchovu wa roho pia.
Kwa kifupi hapo mwanzo binadamu tulikuwa tuliruhisiwa kuumba lakini kuumba huko kulitakiwa kuwe kwa kufuata maelekezo ya MUNGU (kufurahia mti wa mema na mabaya).
Jambo ambalo tulikatazwa ni kuusisha tamaa za kimwili wakati tunafanya umbaji kwani tamaa za mwili hututenga na MUngu wakati wa kufanya uumbaji(tunda la mti wa kati) na kupelekea kuumba bila kufuata maelekezo ya Mungu.
Mfano mzuri ni hadithi ya samson na delila. Samsoni alikuwa na nywele ndefu na ndo kilikuwa chanzo cha nguvu zake. Katika utamaduni za kizamani nywele ndefu humaanisha sex purity kwa maana nyingine kuwa samson alikuwa anajua jinsi ya kukontroo sexual energy ndani ya mwili wake lakini baada ya kushawishiwa na delila samson akaanza kufuata tamaa za kimwili na hivyo kupoteza uwezo wake wa kukontroo sexual energy na ivo kupoteza nguvu jambo ambalo huwakilishwa na kukatwa nywele na delila.
Ieleweke pia kuna uhusiano kati ya nguvu mbali mbali zilizopo kwenye mwili wa binadamu so ikitokea binadamu anashindwa kukontroo nguvu moja hupelekea kuathiri nguvu nyingine pia.
Nyoka ambaye ndo shetani aliyemshawishi adamu hakuwa nyoka kwa maana ya mnyama bali alikuwa anawakilisha tamaa au nguvu zilizopo kwenye mwili wa binadamu.ikumbukwe pia kuna aina mbili za nguvu katika mwili wa binadamu ambazo ni hasi na chanya.kwa kuwa binadamu tunakuwa na nguvu mbili tofauti so ni jukumu letu kuweza kuzitawala nguvu hizo.ikitokea nguvu zinatutawala ndo hupelekea kufanya mambo mbayo ni mazuri au mabaya. Bali ukiweza kuzitawala utakuwa unachagua nini cha kufanya. So kitendo cha nyoka kumshawishi Eva humaanisha kuwa nguzu hasi za tamaa zilimtawala Eva na ivo kujikuta anamshawishi adamu kufanya tendo walilokatazwa.
Naomba niishie hapa kwa sasa ila nakalibisha maswali, ukosoaji na uchangiaji wenye lengo la kuelimisha kwani michango mtakayonipa itanisaidia kufungua milango mingine ya fahamu.
Karibuni!
Nenda kagoogle upyaorgasm by Definition is the climax of sexual excitemate you feel after ejaculation during sexual intercourse
Mhh! Elimu haina mwisho so jiandae kupata mambo mapya.Eti unaeza kumwaga bila orgasm mkuu ebu nambie elim ya nchi gan ii sijawai sikia mm
Hakuna kitabu kilichosema tunda likikuwa ni nn.kilichopo hapa ni kuchambua maana ya maandiko ili kupata maana ya tunda au kuweza kufahamu tunda lilikuwa ni nn.acha kupotosha, bustani ya eden ilikuwa ni bustani ya kweli, na miti ya matunda ilikuwepo kwa mujibu wa history za kidini. Na kulikuwa na tunda binadamu wa mwanzo walikatazwa kula mpaka mda mwafaka ufike.
Ni kweli pia hii hadidhi ya tunda ni fumbo kubwa sana ambalo hata wana saikolojia, teolojia na wanafalsafa bado hawajaifafanua vizuri. Labda kwenye andiko lako kuna issue ya kushinda matamanio ambayo mungu aliwapa adam na eva na wakaishindwa na kutokana na hilo aliwapa adhabu vitabu vinaaandika. Kwaiyo ujumbe mkubwa hapo ni kujitahidi kumcha mungu na kufanya yale yanayompendeza. Tunda haikuhusiana na mapenzi, maana vitabu vyote havisemi tunda la kati ilikuwa ni kufanya mapenzi.
Asante nduguMi naenda kinyume kidogo na mtoa mada. Mwenyezi Mungu alipomuumba Adam kisha Hawa/Eva, aliwaambia zaeni mkaongozeke mkaijaze dunia kama mchanga wa bahari. Kwa mantiki hii huwezi kuijaza nchi bila kufanya tendo la ndoa. Tunda lililomaanishwa ni tunda halisi la mti uliokuwepo bustanini.
Jamaa anatuona sijui hatusom bible aiseeacha kupotosha, bustani ya eden ilikuwa ni bustani ya kweli, na miti ya matunda ilikuwepo kwa mujibu wa history za kidini. Na kulikuwa na tunda binadamu wa mwanzo walikatazwa kula mpaka mda mwafaka ufike.
Ni kweli pia hii hadidhi ya tunda ni fumbo kubwa sana ambalo hata wana saikolojia, teolojia na wanafalsafa bado hawajaifafanua vizuri. Labda kwenye andiko lako kuna issue ya kushinda matamanio ambayo mungu aliwapa adam na eva na wakaishindwa na kutokana na hilo aliwapa adhabu vitabu vinaaandika. Kwaiyo ujumbe mkubwa hapo ni kujitahidi kumcha mungu na kufanya yale yanayompendeza. Tunda haikuhusiana na mapenzi, maana vitabu vyote havisemi tunda la kati ilikuwa ni kufanya mapenzi.
Huu ni ushauri wangu wa mwisho kwako.nafurah uko chuo ila unachokizungumza Hapa huna taaluma nacho kiache kbs au ulizia kwa watu wenye taaluma yao
Mhh! Watanzania ni watu ambao iq yao ni kubwa sana ila wanatatizo moja ambalo ni kuchelewa kuelewa jambo.so sishangaibila najua baada muda flani utanielewa.pia lazima ujue kwamba elimu inatolewa kwa ngazi tofauti na kila ngazi inakiwango chake.Mambo mapya yapo lakn sio kwa uu uongo wako acha kupotosha watu huna taaluma ya unachokizungumza aisee
Soma uzi upya then utaona kuwA ww mwenyewe ndo umejichanganya.Mi naenda kinyume kidogo na mtoa mada. Mwenyezi Mungu alipomuumba Adam kisha Hawa/Eva, aliwaambia zaeni mkaongozeke mkaijaze dunia kama mchanga wa bahari. Kwa mantiki hii huwezi kuijaza nchi bila kufanya tendo la ndoa. Kwahiyo Adam na Hawa hawakumkosea Mungu kwa kufanya tendo la ndoa. Wao walifanya kosa la kula tunda la mti lililokatazwa na Mungu pale bustanini. Tunda la mti wa ujuzi wa mema na mabaya. Tunda lililomaanishwa ni tunda halisi la mti uliokuwepo bustanini.
Hamna kitu unachojua kuusu unachokizungumza aisee IQ yako ni ndogo zaidi kuliko ya mtoto mchanga narudia tena huna elimu ya unachokizungumza hunaMhh! Watanzania ni watu ambao iq yao ni kubwa sana ila wanatatizo moja ambalo ni kuchelewa kuelewa jambo.so sishangaibila najua baada muda flani utanielewa.pia lazima ujue kwamba elimu inatolewa kwa ngazi tofauti na kila ngazi inakiwango chake.
2-4 haiwezekani kwa mtoto wa darasa la pili ila kwa darasa ka tano ni hasi mbili.swali ni lile lile majibu ni tofauti kutokana na ngazi husika.
Hata hicho ambacho ww unaita uongo au unasema hakiwezekani basi kinawezekana au ni ukweli kwa ngazi ya juu ambayo bado hujafikia.endelea kujifunza zaidi mana sikumoja utafikia ngazi hizo za juu.
Najitaidi kutumia kiwango cha chini kabisa ili kuendana na uelewa wako ila bado inashindikana mana naisi mwenzangu upo kiwango cha chini kabisa ambacho hata nikijitahidi vipi siwezi kukifikia.
Yes, it's possible. Orgasm and ejaculation are two separate processes, so one can occur without the other. However, more often than not, they happen at the same time. Orgasm is the release of sexual tension that has built to a peak -- although intensity can vary with each encounter depending on physical or psychological factors. It includes an increase in heart rate, a surge in blood pressure, involuntary muscle contractions in the genitals and spasms in the arms, legs or other areas of his body. In contrast, ejaculation is the expulsion of semen from the tip of the penis.
Some men who can orgasm without ejaculating have perfected the art of flexing their pubococcygeal (PC) muscle during sex, but before ejaculatory inevitability (the point of no return). This can prevent the fluid from being released. Men can learn to isolate this muscle, which is located in the pelvic area, by stopping urination midstream, and they can strengthen it over time with repeated tightening and releasing exercises.
A guy who orgasms without ejaculating could also be experiencing retrograde ejaculation, which causes the fluid to flow backward into the bladder,rather than forward through the urethral opening, and can be detected by cloudy urine post-ejaculation. While it's most common in men with diabetes,multiple sclerosis or those who have had prostate surgery, it's best to go to a doctor for a proper diagnosis if symptoms occur.