Ufafanuzi kuhusu tunda la mti wa katikati

Ufafanuzi kuhusu tunda la mti wa katikati

Jamani naomba niweke sawa au niyatofautishe haya mambo matatu
1.Injaculation
2.ejaculation
3.orgasm.
Kwa mawazo ya kawaida wengi huzani kuwa hayo mambo matatu ni sawa .kiukweli au kitaalamu hayo mambo matatu yanatofauti kubwa sana.naomba nitumie mfano wA kupiga punyeto ili niweze kueleweka zaidi.
Wakati mwanaume anapiga punyeto mambo hayo matatu huweza kutokea kama ifustavyo:
1.ejaculation
Hii ni ile hali ambayo mwanaume hupiga punyeto na kumwaga shahawa.hali hii ni ya kawaida.kumbuku kuwA shahawa (semen) ni tofauti nay mbegu(sperm).shahawa ni maji maji tu ambayo hutumika kuzisafirisha mbegu maana mbegu zenyewe kama zenyewe hazina uwezo wa kujisafirisha .
2.injaculation
Hii ni ile hali ambayo mtu anapiga punyeto anafika orgasm lkn shahawa hazitoki.hali hii hutokea mara chache sana japo kitaalam kunanjia unaweza kutumia ili kupata orgasm na kufanya shahawa zisitoke.
3.orgasm ni hile hali ya kurelease sexual attention au hali ya kupoteza hamu ya kufanya mapenzi.hali hii haiambatani na kutoa shahawa.
Mkuu usiwe muongo sana kama vitu vngne ujui nakushaur kitu nenda kagoogle maana ya neno orgasm sio kudangnaya watu Hapa kwenye sex kuna vitu vitatu ua vinatokea excitment ejaculation and orgasm iv vyote vinatokea during sexual intercose punguza uongo aisee sio vizur kitu kama hujui acha kbs
 
Aya fungua io picha uone maana ya orgasm ss sio kungaunga tu
 
Attachments

  • 1453741655309.jpg
    1453741655309.jpg
    12.1 KB · Views: 96
_aisee kama ww ni mzima wa afya unaweza ejaculate bila kufika orgasm au orgarsm bila kuejeculate
_alaf nao dolphin walikula nao huo mti nn coz nao wanafanya sex for reproducton and pleasure at the same time
 
Bro, soma Biblia vizur. Tunda lililoongelewa ni tunda halisi na siyo kumwaga shahawa.

Soma Mwanzo 1:28. Mungu aliwaambia Adam na Eva wazae wakaongezeke kabla hata hawajala hilo tunda. Kwahyo Mungu aliruhusu kumwaga shahawa kabla ya tukio la kula tunda kwa7bu hakuna kuzaa pasipo shahawa.
 
Kama hayo maelezo yametolewa ktk Biblia basi hata majibu au usahihisho wake lazima utoke kwenye Biblia.

Mambo ya kutoa mada kwa msaada wa Google hayahitajiki hapo. Ni mwendo wa Aya na mafungu ya Biblia.
 
Mapenzi yaliyokuwa yanafanyika katika mahekalu kwa usimamizi wa Malaika binadamu gani hao waliokuwa wanafanya hayo Mapenzi ikiwa binadamu wa kwanza kabisa alikatazwa kufanya hiyo unayodai ni organism?
 
Some vizuri uzi. Uzi huu ukiusoma kama gazeti huwezi kuelewa mana ni Mada nzito ambayo nimejitaidi kuandika ktk lugha nyepesi.kujibu swali lako maana yake niludie chote nilichoandika hapo juu.so tumia muda wako kusoma uzi upya kwa utulivu
 
Kama hayo maelezo yametolewa ktk Biblia basi hata majibu au usahihisho wake lazima utoke kwenye Biblia.

Mambo ya kutoa mada kwa msaada wa Google hayahitajiki hapo. Ni mwendo wa Aya na mafungu ya Biblia.
Kukupa aya za kwenye biblia sio shida.tatizo ni kuzielewa au kuzitafsiri hizo aya.kilichopo hapa ni kwamba haya ni zile zile lkn tasfiri ni tofauti.biblia imeandikwA kwa mafumbo sana na kumbuka ilieditiwa mara kadhaa na watu ambao hawana utaalamu wa biblia.so biblia inabidi usome pamoja na vitabu vingine ili upate kuielewa zaidi.kanisa katoriki parokia ya kurasini kuna maktaba ya mapokeo matakatifu.so soma hayo mapokeo matakatifu soma pia na maandiko matakatifu then utayajua mengi
 
Bro, soma Biblia vizur. Tunda lililoongelewa ni tunda halisi na siyo kumwaga shahawa.

Soma Mwanzo 1:28. Mungu aliwaambia Adam na Eva wazae wakaongezeke kabla hata hawajala hilo tunda. Kwahyo Mungu aliruhusu kumwaga shahawa kabla ya tukio la kula tunda kwa7bu hakuna kuzaa pasipo shahawa.
Kumwaga shahawa sio tunda tunda ni orgasm.unaweza kumwaga bila kupata orgasm.orgasm hufanyika kwenye ubongo wakati umwagaji wa shahawa kwenye mrija ws mkojo
 
_aisee kama ww ni mzima wa afya unaweza ejaculate bila kufika orgasm au orgarsm bila kuejeculate
_alaf nao dolphin walikula nao huo mti nn coz nao wanafanya sex for reproducton and pleasure at the same time
Agizo lilikuw Ni kwa binadamu
 
Hapana unakosea hawakukatazwa kufika kileleni kama unavosema,kumbuka waliambia "wazae wakaijaze dunia" sasa wangewezaje kuzaa bila kufika kileleni?
Kufika kileleni na kumwaga shahawa ni vitu viwili tofauti
 
Mkuu usiwe muongo sana kama vitu vngne ujui nakushaur kitu nenda kagoogle maana ya neno orgasm sio kudangnaya watu Hapa kwenye sex kuna vitu vitatu ua vinatokea excitment ejaculation and orgasm iv vyote vinatokea during sexual intercose punguza uongo aisee sio vizur kitu kama hujui acha kbs
U have a long way to go brother!
Unapitoa mchango wako usilenge kwenye kubisha tu.kwanza soma alichoandika mwenzako kama hujaelewa uliza swali na kama unamajibu mbadala ndo upinge then ulete majibu yako maana lengo ni kutafuta ukweli na sio kubishana tu.chukua muda wako nenda kagugle kama unavyotaka."the difference btn orgasm and ejaculation" ukipata majibu rejea kwenye uzi kutoa ushuhuda wako ili uwasaidie wenye mawazo kama yako mana jamii yetu ni jamii ya ushuhuda tu.
 
Aya fungua io picha uone maana ya orgasm ss sio kungaunga tu
Rudia kusoma hicho ulichokop.umeambiwa ejaculation huwa ina accompany orgasm.sasa soma maana ya neno accompany mana ndo lina beba uhusiano au kuunganisha mameno hayo mawili kwa mujibu wa jinsi ulivoamua kuidefine orgasm.
 
OK,,mbegu zikitoka inaitwaje?
Mbegu ni mbegu yani haijalishi iko wapi.shahawA ni maji maji au kimiminika ambacho hutumia kusafirisha mbegu kutoka sehemu Zinapoifaziwa na kwenda kutunga mimba mana kazi ya mbegu ni kutunga mimba tu
 
Some vizuri uzi. Uzi huu ukiusoma kama gazeti huwezi kuelewa mana ni Mada nzito ambayo nimejitaidi kuandika ktk lugha nyepesi.kujibu swali lako maana yake niludie chote nilichoandika hapo juu.so tumia muda wako kusoma uzi upya kwa utulivu
ii mada sio nzito ww ndo mzito kuelewa
 
ngoja nikwambie kitu ndugu yangu ua sibish kitu nisichokijua nimesoma PCB na mungu kanijalia ninasomea elim ya udaktar nashukur kwa hilo ww unachofanya Hapa ni kuaminisha watu unachoamin ww wakat ni uongo mtu kwenye afya uez kwenda orgasm without ejaculation ata shetan yuko pemben anakucheka kwa ii pumba nimekwambia kitu google maan ya neno orgasm hakuna kiumbe dunian anae ejaculate asifikie orgasm hakipo usitupotoshe aisee ningekua sisom elim ya afya apo sawa ungenidangany
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom