Ufafanuzi kuhusu tunda la mti wa katikati

Ufafanuzi kuhusu tunda la mti wa katikati

Ebu jiulize ilo tunda kwann alikua hawa ndio akampa adam nae ale kama ingekua ni kufanya mapenz ingeandikwa iv "wakala tunda la mti wa uzima" na kama bustan ya Eden ilikua ni nadharia tu kwann maaandiko yanasema mungu akawafukuza kwenye bustan ya Eden pia baada ya kula lile tunda biblia inasema mungu akaweka malaika alinde ule mti wa uzima wasije chuma matunda yake wakapata kuish milele tena na mwsho kbs baada ya hawa kuumbwa ata kabla ya kula tunda mungu aliwaambia ongezeken mkaijaze dunia je wangeongezekaje bila kuzaana semen biblia vizur sio kuish kwa kuhisi tu
 
Mkuu mleta Mada mimi nahisi sijaelewa au nina Ufahamu mdogo.

Kama Mungu hakutaka Wanaadam wafikie kileleni (orgasim) huo uumbaji (kushika) mimba kungewezekana vipi? Manii inayokuwa produced during orgasim si ndio inasababisha uumbaji (mimba)?

Yes, it's possible. Orgasm and ejaculation are two separate processes, so one can occur without the other. However, more often than not, they happen at the same time. Orgasm is the release of sexual tension that has built to a peak -- although intensity can vary with each encounter depending on physical or psychological factors. It includes an increase in heart rate, a surge in blood pressure, involuntary muscle contractions in the genitals and spasms in the arms, legs or other areas of his body. In contrast, ejaculation is the expulsion of semen from the tip of the penis.

Some men who can orgasm without ejaculating have perfected the art of flexing their pubococcygeal (PC) muscle during sex, but before ejaculatory inevitability (the point of no return). This can prevent the fluid from being released. Men can learn to isolate this muscle, which is located in the pelvic area, by stopping urination midstream, and they can strengthen it over time with repeated tightening and releasing exercises.

A guy who orgasms without ejaculating could also be experiencing retrograde ejaculation, which causes the fluid to flow backward into the bladder,rather than forward through the urethral opening, and can be detected by cloudy urine post-ejaculation. While it's most common in men with diabetes,multiple sclerosis or those who have had prostate surgery, it's best to go to a doctor for a proper diagnosis if symptoms occur.

Wanyama walikua wanazalianaje?
Habari yako
Lengo la uzi ni kuzungumzia tu nadharia ya tunda la mti wa kati.kuzakiana kwa wanyama biblia ishaeleza .soma vizuri nilichoandika hapo juu then utaelewa kuwa sijazungumzia uzalianaji bali tunda la mti wa kati pekee.
 
Ebu jiulize ilo tunda kwann alikua hawa ndio akampa adam nae ale kama ingekua ni kufanya mapenz ingeandikwa iv "wakala tunda la mti wa uzima" na kama bustan ya Eden ilikua ni nadharia tu kwann maaandiko yanasema mungu akawafukuza kwenye bustan ya Eden pia baada ya kula lile tunda biblia inasema mungu akaweka malaika alinde ule mti wa uzima wasije chuma matunda yake wakapata kuish milele tena na mwsho kbs baada ya hawa kuumbwa ata kabla ya kula tunda mungu aliwaambia ongezeken mkaijaze dunia je wangeongezekaje bila kuzaana semen biblia vizur sio kuish kwa kuhisi tu
Tunda sio kufanya mapenzi.tunda ni orgasim.binadamu tuliluhusiwa kufanya mapenzi ila tukakatazwa kufanya orgasim.mambo hayo mawili ni tofauti sana.
 
Yes, it's possible. Orgasm and ejaculation are two separate processes, so one can occur without the other. However, more often than not, they happen at the same time. Orgasm is the release of sexual tension that has built to a peak -- although intensity can vary with each encounter depending on physical or psychological factors. It includes an increase in heart rate, a surge in blood pressure, involuntary muscle contractions in the genitals and spasms in the arms, legs or other areas of his body. In contrast, ejaculation is the expulsion of semen from the tip of the penis.

Some men who can orgasm without ejaculating have perfected the art of flexing their pubococcygeal (PC) muscle during sex, but before ejaculatory inevitability (the point of no return). This can prevent the fluid from being released. Men can learn to isolate this muscle, which is located in the pelvic area, by stopping urination midstream, and they can strengthen it over time with repeated tightening and releasing exercises.

A guy who orgasms without ejaculating could also be experiencing retrograde ejaculation, which causes the fluid to flow backward into the bladder,rather than forward through the urethral opening, and can be detected by cloudy urine post-ejaculation. While it's most common in men with diabetes,multiple sclerosis or those who have had prostate surgery, it's best to go to a doctor for a proper diagnosis if symptoms occur.

Asante kaka kwa kunisaidia kuelimisha.
Ubarikiwe
 
Tunda sio kufanya mapenzi.tunda ni orgasim.binadamu tuliluhusiwa kufanya mapenzi ila tukakatazwa kufanya orgasim.mambo hayo mawili ni tofauti sana.
Sehem gan ilikatazwa kwenye bible au 🙁
 
Walipoambiwa zaeni mkaongezeke na kuijaza dunia, huo uzao ungefanyikaje bila kukutana kimwili? Na kama kukutana kimwili haikua shida, uzao unatokea katika hatua hipi kwa mujibu wa maelezo yako mkuu baba afrika ?
 
Kuna mchangia uzi mmoja hapo juu anaitwa GIUSEPPE kama sijakosea jina kafafanua vizuri mno.rejea maelezo yake hapo juu.uumbaji unatikea pale adam anapokutana na hawa kwa maana ya nguvu ya kike kukutana na ya kiume
 
Huyo nimemsoma na kumuelewa, nimerudi kwako mleta uzi ili tuweze kwenda sawa kuhusu elimu ya tunda la mti wa katikati huku tukizingatia kwamba Hawa alitangulia kulila kabla ya kumpa Adam, na ikumbukwe kwamba waliruhusiwa kufanya hivyo kwa ajili ya kuzaa na kuijaza dunia.
 
Kitendo cha mwanaume kumwaga mbegu ndo tu napata orgasm yake ss uo uumbaji bila orgasm utapatikanaje aisee
 
unaweza furahia mapenzi bila orgasm
Yes and No, it depends on your inner power, how to control your thought and your views and your body feelings ( see my comments above in #22). Myself i have done this several time.
 
Kitendo cha mwanaume kumwaga mbegu ndo tu napata orgasm yake ss uo uumbaji bila orgasm utapatikanaje aisee
what about procedure of pumping out sperm for sperm donation? does that include orgasm? (i am not talking about muster b)
 
what about procedure of pumping out sperm for sperm donation? does that include orgasm? (i am not talking about muster b)
Hahahaha so miaka io enz izo za kina adam wangefanya sperm donation ebu nijibu
 
Huyo nimemsoma na kumuelewa, nimerudi kwako mleta uzi ili tuweze kwenda sawa kuhusu elimu ya tunda la mti wa katikati huku tukizingatia kwamba Hawa alitangulia kulila kabla ya kumpa Adam, na ikumbukwe kwamba waliruhusiwa kufanya hivyo kwa ajili ya kuzaa na kuijaza dunia.
There you go.. watu wengi tumekuwa tukidhani mti wa katikati (wa ujuzi wa mema na mabaya) ni kuhusiana na uzinzi tu, but tupo wrong. Akikujibu ntarudi
 
Habarini wana jamvi!

Ufuatao ni ufafanuzi kuhusiana na baadhi ya mambo yaliyotokea kwenye bustani ya edeni.naomba kutoa angalizo la kuwa uchambuzi huu hauna lengo la kumfanya mtu yeyote aamini nitakayosema bali unaweza isoma kama taarifa tu.

Lengo lingine la uzi huu ni kutaka kuchokonoa siri iliopo katika kufanya mapenzi kwa maana ya uhusiano uliopokati ya mwili,roho na mwili wakataki wa kufanya mapenzi.so nitafurahi kama nitaulizwa maswali, kukosolewa na kuelimishwa pia.

Katika mada ya leo nitajikita kuzungumzia kuhusiana na miti miwili ambayo ilikuwapo katikati ya bustani ya edeni( purity state of human being) kwa maana mti wa uzima ( uti wa mgongo wa binadamu)na mti wa mema na mabaya(kufanya mapenzi).

kwa kuanza naomba niseme kuwa bustani ya edeni haikuwa bustani ambayo inaonekana au kushikika bali ni bustani ya kufikirika japo kulikuwa na seheme nchini Iraki (mesopotania) ambayo ilikuwa inaitwa edeni.kwa ufahamu wangu bustani ya edeni lilikuwa ni lugha ya fumbo ambayo ilikuwa inamaanisha hali ya usafi (purity state) na aina ya maisha ambayo binadamu tulikuwa nayo kabla ya kumuasi MUNGU.

Maandiko yanasema kuwa Adamu ndie alikuwa binadamu wa kwanza kuumbwa na kupitia Adamu akapatikana Eva kutokea kwenye ubavu wake. Adamu kimsingi hakuwa mtu kwa maana ya binadamu kama mimi na wewe bali alikuwa anawakilisha nguvu mbili za mapenzi(sexual energy) ambazo zinapatikana kwenye miili ya wanadamu na kutumika katika uumbaji..

Adamu huumaniisha nguvu ya kiume na eva humaanisha nguvu ya kike ambazo ni nguvu zitumikazo katika uumbaji. kwa maana hiyo adamu aliumbwa akiwa na nguvu mbili za uumbaji ambazo ni za kike na kiume na baada ya muda Mungu akazitenganisha na kuapata nguvu mbili tofauti katika miili tofauti na katika kipindi hiki ndo binadamu tukaumbwa katika miili ya nyama tuliyonayo.baadaya muda adamu na eva wakapewa maelekezo na kuambiwa kuwa wanaweza kula matunda yote isipokuwa tunda la mti wa kati.

Kumbuka kuwa katika Edeni kulikuwa na miti mingi tu bali miti iliozungumziwa ni miwili tu ambayo ni mti wa uzima( uti wa mgongo) na mti wa mema na mabaya( mapenzi)
adamu(mwanaume) na eva(mwanamke) waliruhusiwa kufurahia mti wa mema na mabaya (kufanya mapenzi)ila wakakatazwa kula tunda la mti huo(kufika kileleni/orgasim).

Mti wa mema na mabaya humaanisha kufanya mapenzi na tunda linalotokana na mti huo ambao walikatazwa wasile ni kufika kileleni au orgasim.kwa maana ya kawaida ni kua binadamu tuliruhusiwa kufanya mapenzi ila tukakatazwa kufanya orgasim.

Kwanini binadamu tulikatazwa kufanya orgasim?

Hapo zamani mapenzi yalikuwa yanafanyika katika mahekalu na kwa usimamizi wa malaika wa uumbaji huku binadamu tukipokea maelekezo kutoka kwa Mungu mana wakati wa kufanya mapenzi binadamu tunakuwa na sifa ya KIMUNGU ya uumbaji.so wakati tunafanya uumbaji ni lazima tupokee maelekezo kutoa kwa Mungu juu ya kufanya uumbaji huo.

Ili kuweza kuunganishwa na Mungu katika kitendo hicho na kuweza kupokea maelekezo kutoka kwake wakati wa uumbaji binadamu tunatakiwa tuwe katika hali ya ufahamu wa kiroho na ufahamu wa kimwili.ikitokea roho yetu kupoteza fahamu basi kunakuwa hakuna muunganiko kati yetu na Mungu so tunashindwa kupokea maelekezo wakati wa uumbaji na mwisho wa siku tunaumba kwa kutumia marifa ya kibinadamu na sio ya kimungu tena.

Orgasim ilikatazwa kwa sababu kuwa orgasim huwakilisha tamaa za mwili na hivyona kwa kusikiliza miili yetu hupelekea kutenganisha mwili na roho wakati wa kufanya mapenzi.orgasim hulenga kukamilisha taama za kimwili zaidi na kwa kuendekeza tamaa za kimwili tunakuwa tunakiuka kanuni za kiiumbaji.

Orgasim pia hupelekea uchovu wa roho na mwili na hali hii hupelekea mwili na roho kupoteza fahamu.roho ikipoteza fahamu basi kunakuwa hakuna njia nyingine ambayo MUngu huweza kuwasiliana na sisi. Mfano mzuri ni uchovu baada ya mtu kupata orgasim. Sasa uchovu huu si wa mwili tuu bali ni uchovu wa roho pia.

Kwa kifupi hapo mwanzo binadamu tulikuwa tuliruhisiwa kuumba lakini kuumba huko kulitakiwa kuwe kwa kufuata maelekezo ya MUNGU (kufurahia mti wa mema na mabaya).

Jambo ambalo tulikatazwa ni kuusisha tamaa za kimwili wakati tunafanya umbaji kwani tamaa za mwili hututenga na MUngu wakati wa kufanya uumbaji(tunda la mti wa kati) na kupelekea kuumba bila kufuata maelekezo ya Mungu.

Mfano mzuri ni hadithi ya samson na delila. Samsoni alikuwa na nywele ndefu na ndo kilikuwa chanzo cha nguvu zake. Katika utamaduni za kizamani nywele ndefu humaanisha sex purity kwa maana nyingine kuwa samson alikuwa anajua jinsi ya kukontroo sexual energy ndani ya mwili wake lakini baada ya kushawishiwa na delila samson akaanza kufuata tamaa za kimwili na hivyo kupoteza uwezo wake wa kukontroo sexual energy na ivo kupoteza nguvu jambo ambalo huwakilishwa na kukatwa nywele na delila.

Ieleweke pia kuna uhusiano kati ya nguvu mbali mbali zilizopo kwenye mwili wa binadamu so ikitokea binadamu anashindwa kukontroo nguvu moja hupelekea kuathiri nguvu nyingine pia.

Nyoka ambaye ndo shetani aliyemshawishi adamu hakuwa nyoka kwa maana ya mnyama bali alikuwa anawakilisha tamaa au nguvu zilizopo kwenye mwili wa binadamu.ikumbukwe pia kuna aina mbili za nguvu katika mwili wa binadamu ambazo ni hasi na chanya.kwa kuwa binadamu tunakuwa na nguvu mbili tofauti so ni jukumu letu kuweza kuzitawala nguvu hizo.ikitokea nguvu zinatutawala ndo hupelekea kufanya mambo mbayo ni mazuri au mabaya. Bali ukiweza kuzitawala utakuwa unachagua nini cha kufanya. So kitendo cha nyoka kumshawishi Eva humaanisha kuwa nguzu hasi za tamaa zilimtawala Eva na ivo kujikuta anamshawishi adamu kufanya tendo walilokatazwa.

Naomba niishie hapa kwa sasa ila nakalibisha maswali, ukosoaji na uchangiaji wenye lengo la kuelimisha kwani michango mtakayonipa itanisaidia kufungua milango mingine ya fahamu.

Karibuni!

Kama umetumia Rejea ya Biblia si kitabu kingine umekosea..... angalia, baada tu ya kuumbwa wanadamu (Kabla hata ya kula hilo tunda) waliambiwa wazaane yaani Mungu aliwaruhusu kuzaana, we unadhani walizaana kwa kutumia viungo gani?
"Mwanzo 1:28; Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi."

Baadae.....
"Mwanzo 3: 6; Mwanamke alipoona ya kuwa ule mti wafaa kwa chakula, wapendeza macho, nao ni mti wa kutamanika kwa maarifa, basi alitwaa katika matunda yake akala, akampa na mumewe, naye akala."
******
Then angalia... mwanamke anaambiwa anazidishiwa...ina maana hapo kabla ilikuwa uchungu kidogo...
Mwanzo 3:16; Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa utungu utazaa watoto; na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala.....

*******
Hitimisho
Kufanya mapenzi halikuwa tunda, kwakuwa Adamu na Eva walisharuhusiwa kuzaana hata kabla ya kula tunda ina maana walifanya mapenzi .....labda wewe uje na andiko linalosema walitumia njia nyingine kuzaana!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom