Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,402
- 5,984
Akili za hovyoo hizi! Wewe umeona Mimi mimesema ni Chelsea/Madrid??. Tumia kichwa kuwaza sio kiwe mzigo.
Akili za hovyoo hizi! Wewe umeona Mimi mimesema ni Chelsea/Madrid??. Tumia kichwa kuwaza sio kiwe mzigo.
Hata nami nina wasiwasi huu mwaka 2022 ndiyo Man City muda wake kuubeba ubingwa wa UEFA maana kiukweli watafia uwanjani wakikumbuka walivyoukosa mwaka 2021 dhidi ya Chelsea FC.Namuona man cty, anyway Chelsea tunarudi kujipanga upya.
Mkuu mimi sija anza kuangalia mpira 2018 labda ungeniuliza kuanzia 2000's piga hesabu mda huo UEFA champions league na EUROPA makombe yame chukululiwa na team za nchi gani kwa wingiTangu 2018 ulikuwa wapi kutojuta kuishabikia Laliga nakati mabingwa wa UEFA waliokuwa wakiongozana ni hawa?
218/19 Liverpool
2019/20 Buyern Munich
2020/21 Chelsea
2021/22 -------------------------
Jamaa wakaze tuu, timu itakayomkazia n Liverpool tuu labla huko fainali.Hata nami nina wasiwasi huu mwaka 2022 ndiyo Man City muda wake kuubeba ubingwa wa UEFA maana kiukweli watafia uwanjani wakikumbuka walivyoukosa mwaka 2021 dhidi ya Chelsea FC.
Mnamchukulia poa Villareal? Hujui ni bingwa bingwa wa Europa league na fainali alimpiga Man U? Hujui Chelsea amestruggle kuchukua Super cup dhidi yake? Hujui 16 bora amemtoa Juve kwa kumpiga 3- 0 kwake Alliance Arena. Utashangaa anamtoa Liverpool kirahisi sana.Bayern vs villareal
Mdharau mwiba, mguu huota tende
Ungeweka orodha ya mabingwa kuanzia 2018 kushuka chini ujionee mwenyewe.Tangu 2018 ulikuwa wapi kutojuta kuishabikia Laliga nakati mabingwa wa UEFA waliokuwa wakiongozana ni hawa?
218/19 Liverpool
2019/20 Buyern Munich
2020/21 Chelsea
2021/22 -------------------------
2021 na ubovu aliokuwa nao Madrid haukumpiga home and awayHata mwaka 2021 Real Madrid alilala na funza kabisa kwao Benabeu na kwetu Stamford Bridge, tena bora hata vidume Chelsea tulikomaa hadi dakika 120 kuliko wao zilikuwa 90 nyumbani na ugenini
Bayern ni overratedBayern vs villareal
Mdharau mwiba, mguu huota tende
madrid historia yake ina semaje? mara kumi na ngpi? anaye mfata ana ngapi? wa epl ana ngapi?Tangu 2018 ulikuwa wapi kutojuta kuishabikia Laliga nakati mabingwa wa UEFA waliokuwa wakiongozana ni hawa?
218/19 Liverpool
2019/20 Buyern Munich
2020/21 Chelsea
2021/22 -------------------------
Moja ya mechi bora kabisa hizi!Hizo mechi za leo zilistahili kua ndio fainali
SubutuuuuMan city bingwa
Makombe ambayo man city hanaga bahati nayo Ni uefa....Leo kuchomoka tu kwa atletiko itakua shughuli..save my word!Man city tunachukua CL mapema Sana
Kwanzia 2017 kushuka chini, ubingwa ulikuwa unatawaliwa na Madridi kwa hispania kisha akafuatia Ac Milan toka Italy kisha anafuatia Liverpool kutoka uingereza. Alipopotea Real madrid akaibuka BarcelonaTangu 2018 ulikuwa wapi kutojuta kuishabikia Laliga nakati mabingwa wa UEFA waliokuwa wakiongozana ni hawa?
218/19 Liverpool
2019/20 Buyern Munich
2020/21 Chelsea
2021/22 -------------------------
Kwenye maelezo yangu hakuna nilipoandika 2017, usifeli mtihani kizembe tu sababu ya kutofata maelezo kiusahihi.Kwanzia 2017 kushuka chini, ubingwa ulikuwa unatawaliwa na Madridi kwa hispania kisha akafuatia Ac Milan toka Italy kisha anafuatia Liverpool kutoka uingereza. Alipopotea Real madrid akaibuka Barcelona