UEFA: Real Madrid, Villarreal zaingia nusu fainali, Chelsea, Bayern hoi

Tangu 2018 ulikuwa wapi kutojuta kuishabikia Laliga nakati mabingwa wa UEFA waliokuwa wakiongozana ni hawa?

218/19 Liverpool

2019/20 Buyern Munich

2020/21 Chelsea

2021/22 -------------------------
Mkuu mimi sija anza kuangalia mpira 2018 labda ungeniuliza kuanzia 2000's piga hesabu mda huo UEFA champions league na EUROPA makombe yame chukululiwa na team za nchi gani kwa wingi
 
Hata nami nina wasiwasi huu mwaka 2022 ndiyo Man City muda wake kuubeba ubingwa wa UEFA maana kiukweli watafia uwanjani wakikumbuka walivyoukosa mwaka 2021 dhidi ya Chelsea FC.
Jamaa wakaze tuu, timu itakayomkazia n Liverpool tuu labla huko fainali.
 
Chelsea wameonyesha utoto wa hali ya juu, timu ina advantage inaongoza kwa aggregate, kwanini isirudi nyuma kuzuia?
Alafu sijui kwanini mabeki wa chelsea hawajifunzi, yani kumwachia Benzema free kwenye boksi kwenye mechi zote mbili ndo kimewacost.
 
Leo man shit akimtungua mwanangu wa damu kabisa el cholo, basi anaenda fainali, sitaki kuamini kama madrid atamzuia man shit, Fainali yaweza angukia baina ya man shit na livekuku..

Itakuwa bonge moja la fainali litapigwa pira haswaa..

Sitaki kuamini ndani ya misimu mitatu kutokea huu guardiola atakuwa hajabeba ndoo ya uefa.
 
Tangu 2018 ulikuwa wapi kutojuta kuishabikia Laliga nakati mabingwa wa UEFA waliokuwa wakiongozana ni hawa?

218/19 Liverpool

2019/20 Buyern Munich

2020/21 Chelsea

2021/22 -------------------------
Kwanzia 2017 kushuka chini, ubingwa ulikuwa unatawaliwa na Madridi kwa hispania kisha akafuatia Ac Milan toka Italy kisha anafuatia Liverpool kutoka uingereza. Alipopotea Real madrid akaibuka Barcelona
 
Kwanzia 2017 kushuka chini, ubingwa ulikuwa unatawaliwa na Madridi kwa hispania kisha akafuatia Ac Milan toka Italy kisha anafuatia Liverpool kutoka uingereza. Alipopotea Real madrid akaibuka Barcelona
Kwenye maelezo yangu hakuna nilipoandika 2017, usifeli mtihani kizembe tu sababu ya kutofata maelezo kiusahihi.
 
Ukiniwekea hapa Benzema na hapa de lima, nitaenda na Benzema....huyu mwarabu ni noma, japo sio madrid fan, na nawaombea watolewe....

I wish iwe hivi
Villa real - Man city/Atletico, final
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom