Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,541
- 61,998
Naona watabiri wengi wamempa ushindi Holland wa goli 2-1
Wazee wa vyombo vya habari maana uingereza kwenye media ni kubwa na inatisha sana ila uwanjani sasa hahahahahTusiopendwa tunacheza leo.
Ajabu, mnatuombea Ubaya ila tutashinda. Na mechi za Uingereza zinaongoza kufuatiliwa.
Mkuu tupe Maelezo 😀
Mpira wake unatabirikaFoden hawezi kuwa bora zaidi ya hapa kinachofuata baada ya misimu miwili au mitatu ataenda timu madaraja ya kati
😂Ma maeeeeee