VN Warehouse Limited
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 1,139
- 1,154
Tabu wanayoulipata france ni kubwa adse, waliwaonea portugal kwenye penalt leo ndani 90min wanakalishwa
Wamekutana na timu boraLeo beki ya Ufaransa ni kama anacheza onyango
Wametusikia, vivian ndani, yesu njeNavas uchochoro.
Fabian Ruiz=Guti= Fernando Redondo
Benzema hakufaidi na timu yake, sijui huyu kocha alimkosea niniMimi nataka France itolewe sababu ya huyu umbwa Didier Deschamp. I never liked him. Kitendo alichomfanyia Benzema si cha kiungwana kabisa
Benzema hakufaidi na timu yake
Its coming homeFuraha yangu timu za mchongo zitoke bado England ,timu zinazo tembea kibahati ziki beba ndoo huwa naumia.kama Portugal kipindi kile
Sure....Hii game iishe dakika 90 nilale kesho niwahi kuamka