Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,618
- 2,748
Wahenga wetu walikua Na ujinga mwingi wa kutunga Misemo, kwao hiyo ndio wakaona ujanja.Hivi wakati baba na babu wawenzetu wanatinga nje huko hawa wetu walikuwa wanafanya nini? Au na wenyewe walikuwa vijana wa hovyo tuu kazi kutusimanga sie
Mwisho wa Siku wameacha kizazi cha hovyo.